Global ETD Search

Search theses and dissertations gathered from participating repositories worldwide. Every result links back to the library that holds it. No account is needed.

Results

Showing 1 to 20 of 2867 for “"YA"”.

  1. Tathmini ya Mabadiliko ya Rara Mintarafu Maendeleo ya Jamii

    Utafiti huu umeshughulikia mabadiliko ya rara yaliyojitokeza kama matokeo ya maendeleo ya jamii yaliyofikiwa. Rara, tendi, visasili na visakale vya kishairi ni tanzu za ghani-masimulizi. Aidha, rara imefafanuliwa kama tungo za kishairi zinazoimbwa kwa kuambatana na ala ya muziki. Nyimbo za rara …

    ou-tanzania Repository record for Tathmini ya Mabadiliko ya Rara Mintarafu Maendeleo ya Jamii (opens in a new tab)

  2. Mtindo katika Riwaya ya Marimba ya Majaliwa ya Edwin Semzaba

    … la utafiti huu lilikuwa ni kuchambua matumizi ya mtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Malengo mahususi yalikuwa mawili ambayo ni kuchambua matumizi ya mtindo yanayohusiana na lugha katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa na kubainisha matumizi ya mtindo yanayohusiana na vipengele …

    ou-tanzania Repository record for Mtindo katika Riwaya ya Marimba ya Majaliwa ya Edwin Semzaba (opens in a new tab)

  3. Nkanelo wa maendlelo ya vuvumbamarito ya Xitsonga eka mihongoti ya sayense ya ntumbuluko na thekinoloji

    … ra ku tumbuluxiwa ka theminoloji. Ndzawulo ya Vutshila na Ndhavuko yi vile yi tlanga xiave xa nkoka hi ku tumbuluxa theminoloji eka tindzimi to hambanahambana eAfrika-Dzonga ku katsa na Xitsonga. Xikongomelonkulu xa ndzavisiso lowu i ku kanela hi maendlelo ya vuvumbamarito ya Xitsonga hi ku …

    venda Repository record for Nkanelo wa maendlelo ya vuvumbamarito ya Xitsonga eka mihongoti ya sayense ya ntumbuluko na thekinoloji (opens in a new tab)

  4. Haja ya lugha ya Kiswahili kutumika kufundishia elimu ya Sekondari.Mifano Kutoka Wilaya ya Ilemela-Mwanza

    Utafiti huu ulikusudia kuchunguza haja ya lugha ya Kiswahili kutumika kufundishia elimu ya sekondari kwa kutumia mifano kutoka Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza uhusiano baina ya kutotumika kwa Kiswahili katika ufundishaji wa masomo katika shule za …

    ou-tanzania Repository record for Haja ya lugha ya Kiswahili kutumika kufundishia elimu ya Sekondari.Mifano Kutoka Wilaya ya Ilemela-Mwanza (opens in a new tab)

  5. Theto ya sebjalebjale ya maitekelo (Sepedi)

    … is to make the reading of the poems more enjoyable, and to bring coherence to the stanzas of the poem. The sonnet is also discussed, and Spanish and English sonnets analyzed and compared with Sepedi sonnets. Sepedi sonnets are shown by this comparison to be governed to a greater extent by …

    pretoria Repository record for Theto ya sebjalebjale ya maitekelo (Sepedi) (opens in a new tab)

  6. Etimolojia ya Majina ya Mahali ya Kaskazini Pemba Kuwa Utambulisho wa Utamaduni wa Wapemba

    Utafiti huu ulihusu Etimolojia ya majina ya mahali. Ulichunguza etimolojia ya majina ya mahali ya Kaskazini Pemba kuwa utambulisho wa utamaduni wa Wapemba. Mtafiti aliongozwa na malengo matatu. Kwanza, kubainisha etimolojia ya majina ya mahali yanayopatikana Kaskazini Pemba; pili, kufafanua vigezo …

    ou-tanzania Repository record for Etimolojia ya Majina ya Mahali ya Kaskazini Pemba Kuwa Utambulisho wa Utamaduni wa Wapemba (opens in a new tab)

  7. Kuchunguza Matumizi ya Methali katika Jamii ya Wanyiramba

    Tasnifu hii inahusu matumizi ya methali katika jamii ya Wanyiramba. Kutokana na utafiti uliofanywa ulilenga kuchunguza methali za Kinyiramba huundwaje na zina muundo gani. Pili, utafiti huo ulichunguza matumizi ya methali na nafasi yake katika kujenga na kuimarisha maadili katika jamii. Kutokana na …

    ou-tanzania Repository record for Kuchunguza Matumizi ya Methali katika Jamii ya Wanyiramba (opens in a new tab)

  8. Thodisiso ya ndeme ya mutupo wa muthu ubva vhutukuni haw u swika a tshi lovha u ya nga mvelele ya Tshivenda

    … dzi re hone Afrika na lwone lu na mitupo ye ya lu vhumba lwa vha lushaka lwo dziaho. Ṱhoḓisiso ya ndeme ya mutupo kha ṅwana wa Muvenḓa u bva a hawe u swika a tshi lovha i ḓo bveledzwa Venḓa vhuponi vhu welaho fhasi ha Masipala wa Thulamela Tshiṱirikini tsha Vhembe vhubvaḓuvha. Musalauno …

    venda Repository record for Thodisiso ya ndeme ya mutupo wa muthu ubva vhutukuni haw u swika a tshi lovha u ya nga mvelele ya Tshivenda (opens in a new tab)

  9. Phokelelo ya kgaso mo barutwaneng ba Setswana Puo ya Gae Mephato ya 11 le 12

    Setswana: Botlhokwa jwa tiriso ya puo e e kannweng bo gatelelwa ke maitemogelo a a tseneletseng a dingwaga tse di fetang 30 a motlhotlhomisi jaaka morutabana wa Setswana Puo ya Gae. Maitemogelo a a fetang dingwaga di le 25 jaaka motshwai wa Setswana Puo ya Gae, Tlhatlhobo ya Mophato wa 12, gammogo …

    pretoria Repository record for Phokelelo ya kgaso mo barutwaneng ba Setswana Puo ya Gae Mephato ya 11 le 12 (opens in a new tab)

  10. Usawiri wa masuala ya Kijinsia katika Lugha ya mashairi: Mifano kutoka Mashairi ya Bongo Fleva

    … la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kijinsia katika Lugha ya Mashairi: Mifano kutoka Mashairi ya Bongo fleva. Lengo hili limeweza kufanikiwa kutokana na kukamilika kwa madhumuni mahususi yaliyohusu, kubainisha tamathali za semi katika mashairi ya bongo fleva, kuonesha jinsi …

    ou-tanzania Repository record for Usawiri wa masuala ya Kijinsia katika Lugha ya mashairi: Mifano kutoka Mashairi ya Bongo Fleva (opens in a new tab)

  11. Maana za Majina ya Watu katika Jamii ya Wayao

    Utafiti huu ulilenga kuchunguza majina ya watu katika jamii ya Wayao ili kuona iwapo yana maana. Kulikuwa na haja ya kufanyika utafiti huu ili kutoa mchango wa kitaaluma katika semantiki kuhusu maana za majina ya watu katika jamii hii. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya semiotiki ili kuweza …

    ou-tanzania Repository record for Maana za Majina ya Watu katika Jamii ya Wayao (opens in a new tab)

  12. Kuchunguza Dhamira za Kijamii katika Tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama.

    Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama. Katika harakati za kuishughulikia mada hii utafiti ulikuwa na malengo mahususi matatu ambayo ni kuelezea dhamira za kijamii zinazojitokeza katika tamthiliya ya Hatia …

    ou-tanzania Repository record for Kuchunguza Dhamira za Kijamii katika Tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama. (opens in a new tab)

  13. Mafunzo ya Nyimbo za jando na unyago kwa Jamii ya Wahiyao wa Masasi, Tarafa ya Lulindi

    Utafiti huu unahusu mafunzo ya nyimbo za jando na unyago kwa jamii ya wahiyao wa Lulindi Wilaya ya Masasi. Utafiti umechunguza ubora na udhaifu wa mafunzo hayo kwa vijana wa jamii hiyo. Utafiti umelenga kukusanya na kuchanganua data, kuhakiki na kuelezea mafunzo ya nyimbo za jando na unyago kwa …

    ou-tanzania Repository record for Mafunzo ya Nyimbo za jando na unyago kwa Jamii ya Wahiyao wa Masasi, Tarafa ya Lulindi (opens in a new tab)

  14. Maendeleo ya lugha ya Kiswahili na Athari zake kwa Jamii ya Kiaarabu: Mtazamo wa Kilughawiya Jamii

    … huu lilikuwa ni kuchunguza chimbuko na maendeleo ya Kiswahili na athari zake kwa jamii ya Kiarabu kupitia mtazamo wa Kilughawiya jamii. Lengo hili limeweza kufanikiwa kutokana na kukamilika kwa malengo mahususi yaliyohusu; kuchunguza chumbuko la lugha ya Kiswahili na sababu za madai kwamba …

    ou-tanzania Repository record for Maendeleo ya lugha ya Kiswahili na Athari zake kwa Jamii ya Kiaarabu: Mtazamo wa Kilughawiya Jamii (opens in a new tab)

  15. Tathmini ya nafasi ya Lugha za Kijamii katika Fasihi ya Kiswahili: Mifano kutoka Riwaya ya Bwana Myombekere na Bibi Bugonoka Ntulinalwo na Bunalihwali.

    Utafiti huu unahusu Tathmini ya Nafasi ya Lugha za Kijamii katika Fasihi ya Kiswahili: Mifano kutoka Riwaya ya Bwana Myombekere na Bibi Bugonoka Ntulinalwo na Bunalihwali. Lengo lilikuwa ni kutathimini nafasi ya lugha za Kiafrika katika fasihi ya Kiswahili ili kubaini jinsi vipengele vya utamaduni …

    ou-tanzania Repository record for Tathmini ya nafasi ya Lugha za Kijamii katika Fasihi ya Kiswahili: Mifano kutoka Riwaya ya Bwana Myombekere na Bibi Bugonoka Ntulinalwo na Bunalihwali. (opens in a new tab)

  16. Nkucetelo wa mavito ya xilungu eka mathyelo ya mavito ya vanhu eka Vatsonga va le ka Muhlava

    … lowu Xilungu xi nga na wona eka mathyelo ya mavito ya vanhu eka Xitsonga. Ku thyiwa ka mavito ya munhu ku na ntikelo lowukulu eka vanhu hikuva ku komba ndhavuko, matitwelo, mitolovelo, maendlelo, ku navela na ripfumelo ra vanhu va rixaka ro karhi. Hi xitalo mavito ya tisa hungu ro karhi …

    venda Repository record for Nkucetelo wa mavito ya xilungu eka mathyelo ya mavito ya vanhu eka Vatsonga va le ka Muhlava (opens in a new tab)

  17. Kutathmini Nafasi ya Mwanamke katika Mashairi ya Kiswahili: Uchunguzi wa Mashairi ya Shaaban Robert na Mathias Mnyampala

    Mada ya utafiti huu ni “Kutathmini Nafasi ya Mwanamke katika Mashairi ya Kiswahili: Uchunguzi wa Mashairi ya Shaaban Robert na Mathias Mnyampala.” Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kulinganisha nafasi ya mwanamke katika mashairi ya Shaaban Robert na Mathias Mnyampala ili kubaini falsafa yao juu …

    ou-tanzania Repository record for Kutathmini Nafasi ya Mwanamke katika Mashairi ya Kiswahili: Uchunguzi wa Mashairi ya Shaaban Robert na Mathias Mnyampala (opens in a new tab)

  18. Kuchunguza Dhamira katika Riwaya ya Kiu ya Mohamed Suleiman Mohamed

    Mada ya utafiti huu ilikuwa ni Kuchunguza Dhamira katika riwaya ya Kiu ya Mohamed Suleiman Mohamed. Mada hii iliundwa na lengo kuu na malengo mahususi. Lengo kuu la utafiti lilikuwa ni kuchunguza dhamira za kijamii katika riwaya ya Kiu ya Mohamed Suleiman. Malengo mahususi ya utafiti yalikuwa ni …

    ou-tanzania Repository record for Kuchunguza Dhamira katika Riwaya ya Kiu ya Mohamed Suleiman Mohamed (opens in a new tab)

Page 1 of 144