Back to results

The Open University of Tanzania

Mafunzo ya Nyimbo za jando na unyago kwa Jamii ya Wahiyao wa Masasi, Tarafa ya Lulindi

Abstract

dc:description.abstract

Utafiti huu unahusu mafunzo ya nyimbo za jando na unyago kwa jamii ya wahiyao wa Lulindi Wilaya ya Masasi. Utafiti umechunguza ubora na udhaifu wa mafunzo hayo kwa vijana wa jamii hiyo. Utafiti umelenga kukusanya na kuchanganua data, kuhakiki na kuelezea mafunzo ya nyimbo za jando na unyago kwa jamii ya Wahiyao wa Lulindi wilayani Masasi. Utafiti umeweka msisitizo zaidi juu ya mafunzo ya yapatikanayo kwenye nyimbo za jando na unyago kama tanzu ya fasihi simulizi. Nyimbo za jando na unyago zimekuwa na mjadala mkubwa kwa jamii ya wahiyao. Hii imetokana na mwelekeo hasi wa vijana wa kihiyao. Hali hiyo imechochea kufanyika kwa utafiti huu ili kupata ukweli wa yale yanayosemwa na wasemaje wa tatizo hilo.

Degree

thesis:*
Level dc:type.qualificationlevel
masters
Grantor dc:publisher.institution
The Open University of Tanzania
Year dc:date.issued
2013

Author and committee

dc:creator, dc:contributor.*
Author dc:creator
  • Rashid, Hadija Utukulu

Subjects

dc:subject × 1

Rights

Language dc:language
en

Chain of custody

source
Harvested from
Open University of Tanzania
Base URL
repository.out.ac.tz/cgi/oai2
Last updated
2026-07-24
Source record
OAI-PMH GetRecord
citation

Rashid, Hadija Utukulu. Mafunzo ya Nyimbo za jando na unyago kwa Jamii ya Wahiyao wa Masasi, Tarafa ya Lulindi. masters thesis, The Open University of Tanzania, 2013.