Global ETD Search
Search theses and dissertations gathered from participating repositories worldwide. Every result links back to the library that holds it. No account is needed.
Results
Showing 1 to 20 of 89 for “"490 Other languages"”.
-
The Influence of Code-Switching and Code-Mixing on Learning English Language in Secondary Schools: The Case of Rombo District
… Tanzania. Specifically it strived to find out other causes of Code-Switching and Code-Mixing on learning English language, determine how Code-Switching and Code-Mixing contribute toward student’s success or failure in learning English language in class and examine other ways which can be used …
-
Kutathimini Mbinu za Ufutuhi Katika Kuelimisha Jamii Kuhusu Janga la Ukimwi, katika tamthiliya ya Embe Dodo ushuhuda wa mifupa
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa kulinganisha kazi mbili za tamthiliya ya Embe dodo na Ushuhuda wa Mifupa ili kubaini mbinu za ufutuhi zinavyowafananisha na kuwatofautisha wasanii wa vitabu hivyo katika kuliwasilisha suala la ugonjwa …
-
Kutathimini Mbinu za Ufutuhi Katika Kuelimisha Jamii Kuhusu Janga la Ukimwi,Katika Tamthiliya ya Embe Dodo Ushuhuda wa Mifupa
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa kulinganisha kazi mbili za tamthiliya ya Embe dodo na Ushuhuda wa Mifupa ili kubaini mbinu za ufutuhi zinavyowafananisha na kuwatofautisha wasanii wa vitabu hivyo katika kuliwasilisha suala la ugonjwa …
-
Kuchunguza Dhamira za Nyimbo za Siti Bint Saad
Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumuni mahususi mawili yalitimizwa. Madhumuni hayo yalihusu kuchunguza na kutathminidhamira za nyimbo za Siti binti Saad na kubainisha mbinu za kisanii zilizotumiwa na msanii huyo katika kuibua dhamira. …
-
Kuchunguza fani na dhamira katika semi zilizoandikwa katika vyombo vya safari vya Baharini Kisiwani Pemba
Utafiti huu unalenga kuchunguza fani na dhamira katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani pemba semi hizo zinatumika katika shughuli za maisha ya wapemba ambapo zimeibua dhamira mbalimbali. Utafiti huu ulikua na malengo kama yafuatayo:lengo kuu la utafiti huu ni kuchukunguza fani na …
-
Kuchunguza Dhima za Nyimbo za Singo Katika Kijiji cha Uzini Zanzibar
Utafiti huu ulifanywa kwa lengo la kuchunguza dhima za nyimbo za singo katika kijiji cha Uzini Zanzibar. Katika kutimiza lengo hilo data zilikusanywa kwa kutumia mbinu za usaili, hojaji pamoja na mbinu ya ushuhudiaji katika maeneo ya Uzini Mshomarini, Mitakawani, Tunduni, Mpapa na Mgeni Haji, …
-
Kuchunguza Dhima za Nyimbo za Ngoma ya Kibati Mkowa wa Kusini Pemba
Nyimbo za ngoma ya Kibati ni nyimbo maarufu sana visiwani Zanzibar. Asili ya nyimbo hizo ni kutoka kisiwani Pemba, katika Mkoa wa Kusini, Wilaya ya Mkoani katika kiambo cha Chokocho Michenzani. Nyimbo hizo zimekuwa maarufu sana na zinaendelea kupendwa kutwa kucha. Utafiti huu umefanywa, kuchunguza …
-
Kutathmini Mila na Desturi za Mwanamke wa Visiwani katika Tenzi za Howani na Mwana Kukuwa
Diwani ya Howani Mwana Howani ni Diwani ambayo imekusanya tenzi mbili ambazo ni Howani na Mwana Kukuwa.Tenzi hizo zinazungumzia mila na desturi za Mwanamke wa Visiwani kuanzia alipobeba ujauzito mpaka alipoolewa na kupelekwa kwake. Hivyo katika utafiti huu mtafiti alichunguza vipengele vya fani …
-
Kuchunguza Ujinsia na Matumizi ya Lugha katika Methali za Wakurya
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchunguza jinsi ujinsia katika methali za Kikurya unavyijitokeza katika mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume. Katika harakati za kukamilisha lengo hili data za utafiti zilikusanywa kwa mbinu ya hojaji …
-
Kuchunguza Mchomozo Katika Fasihi ya Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Ushairi Katika Diwani ya Ustadhi Andanenga
Lengo la utafiti huu kama lilivyobainishwa katika sura ya kwanza ilikuwa ni kuchunguza Mchomozo katikaDiwani ya Ustadh Andanenga ili kubaini vipengele vya Mchomozovilivyotumika katika kufikisha ujumbe kwa jamii. Utafiti huu ulitumia mbinu moja ya ukusanyaji data ambayo ni; maktaba.Aidha data za …
-
Kuchunguza Dhamira za Nyimbo za Siti Bint Saad
Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumuni mahususi mawili yalitimizwa. Madhumuni hayo yalihusu kuchunguza na kutathmini dhamira za nyimbo za Siti binti Saad na kubainisha mbinu za kisanii zilizotumiwa na msanii huyo katika kuibua dhamira. …
-
Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke Katika Riwaya ya Utengano na Kamwe si Mbali tena: Utafiti Linganishi.
Utafiti huu unahusu Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke katika riwaya za Utengano na Kamwe si mbali tena: Utafiti linganishi. Utafiti huu ni utafiti linganishi ambao lengo kuu ni Kutathmini kwa undani ni kwa vipi mwandishi amekuwa na amebadilika katika kumsawiri mwanamke kupitia riwaya …
-
Ujidhihirishaji wa Mofu Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu
Kazi hii ilihusika na Ujidhihirishaji wa Mofu zinazowakilisha Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti linganishi wa lahaja ya Kipemba na Kiswahili sanifu. Utafiti huu ulikuwa na malengo mawili ambayo ni kulinganisha ujidhihirishaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na Kipemba pamoja …
-
Maana za Majina ya Watu wa Pemba Katika Lugha ya Kiswahili: Uchunguzi Kifani
Utafiti huu ulichunguza maana za majina ya watu wa Pemba. Utafiti huu ulifanyika katika kisiwa cha Pemba mkoa wa kusini, Wilaya ya Chake-Chake. Mtafiti aliongozwa na malengo mahususi matatu. Kwanza, kubainisha maana za majina ya watu katika jamii ya Wapemba, pili kueleza mazingira yanayosababisha …
-
Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika katika Shule za Tumbatu Zanzibar
Utafiti huuumejadili “Athari za Kiisimu za Lahaja za Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Katika Shule za Tumbatu Zanzibar”.Utafiti ulifanyika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja na uliongozwa na Nadharia Kidhi ya Mawasiliano. Nadharia hiyo ilianzishwa na Howard (1973) ambayo lengo lake kuu …
-
Changamoto za Kutumia Istilahi Mbili kwa Dhana Moja Katika Kufundisha Isimu na Fasihi Shule za Sekondari: Mfano Kutoka Mkoa wa Kusini Pemba, Tanzania
Utafiti huu umeshughulikia changamoto za kutumia istilahi mbili kwa dhana moja katika kufundisha isimu na fasihi shule za sekondari za Tanzania. Lengo la utafiti huu ni kuchunguza matumizi ya istilahi mbili kwa dhana moja katika kufundisha isimu na fasihi ya Kiswahili kwa shule za sekondari, …
-
Athari za Itikadi katika Nyimbo za Harusi za Kizanzibari
Utafiti huu unahusu Athari za Itikadi katika nyimbo za Harusi za Kizanzibari. Utafiti ulifanyika katika visiwa vya Unguja na Pemba. Kwa upande wa kisiwa cha Unguja, utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi katika shehia za Mwanyanya na Mfenesini. Kwa upande wa kisiwa …
-
Ulinganishi Changanuzi wa Mofu Njeo za Kikara na Kiswahili
Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchunguza, kubaini na kulinganisha mofu njeo za kitenzi cha Kikara na za Kiswahili ili kujua idadi yake, mazingira zinapotokea na athari ya maumbo yake inayotokana na mazingira zilimo. Utafiti huu ulifanywa katika kata za Bukiko na Nyamanga wilaya ya Ukerewe kwa …
-
Mtindo katika Riwaya ya Marimba ya Majaliwa ya Edwin Semzaba
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchambua matumizi ya mtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Malengo mahususi yalikuwa mawili ambayo ni kuchambua matumizi ya mtindo yanayohusiana na lugha katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa na kubainisha matumizi ya mtindo yanayohusiana na vipengele …
-
Uchambuzi wa Viangama Tamati Katika Lahaja ya Kitumbatu
Utafiti huu umefanyika Unguja katika kisiwa cha Tumbatu, kwenye shehia nne ambazo ni Gomani, Uvivini, Mtakuja na Jongowe. Lengo kuu ni kuchambua viangama tamati katika lahaja ya kitumbatu. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya viangama ya Zwicky (1977). Data zimekusanywa kwa njia ya mahojiano na …
Page 1 of 5