Back to results

The Open University of Tanzania

Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika katika Shule za Tumbatu Zanzibar

Abstract

dc:description.abstract

Utafiti huuumejadili “Athari za Kiisimu za Lahaja za Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Katika Shule za Tumbatu Zanzibar”.Utafiti ulifanyika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja na uliongozwa na Nadharia Kidhi ya Mawasiliano. Nadharia hiyo ilianzishwa na Howard (1973) ambayo lengo lake kuu ni kueleza sababu za kubadili mtindo wa matamshi wakati wa mawasiliano wa kijamii na kuangalia athari zake katika jamii. Katika utafiti huu, data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya hojaji, usaili na uchunguzi shirikishi. Jumla ya watafitiwa walikuwa 68. Miongoni mwao walimu walikuwa 29, na wanafunzi walikuwa 39. Vilevile utafiti huu umeonesha matokeo. Miongoni mwa matokeo hayo ni kwamba lahaja ya Kitumbatu baadhi ya wakati maumbo ya maneno hutumia ulahaja. Pia, lahaja ya Kitumbatu hudondosha viambishi katika maneno.Mwisho, sura imehitimisha kwa kutoa mapendekezo ambayo yatasaidia wanajamii kufanya tafiti kwa za lahaja mbalimbali kwa lengo la kuweka kumbukumbu kwa vizazi vya baadaye.

Degree

thesis:*
Level dc:type.qualificationlevel
masters
Grantor dc:publisher.institution
The Open University of Tanzania
Year dc:date.issued
2017

Author and committee

dc:creator, dc:contributor.*
Author dc:creator
  • Ame, Pandu Machano

Subjects

dc:subject × 1

Rights

Language dc:language
en

Chain of custody

source
Harvested from
Open University of Tanzania
Base URL
repository.out.ac.tz/cgi/oai2
Last updated
2026-07-24
Source record
OAI-PMH GetRecord
citation

Ame, Pandu Machano. Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika katika Shule za Tumbatu Zanzibar. masters thesis, The Open University of Tanzania, 2017.