{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1595"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1595","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika katika Shule za Tumbatu Zanzibar","abstract":"Utafiti huuumejadili “Athari za Kiisimu za Lahaja za Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Katika Shule za Tumbatu Zanzibar”.Utafiti ulifanyika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja na uliongozwa na Nadharia Kidhi ya Mawasiliano. Nadharia hiyo ilianzishwa na Howard (1973) ambayo lengo lake kuu ni kueleza sababu za kubadili mtindo wa matamshi wakati wa mawasiliano wa kijamii na kuangalia athari zake katika jamii. Katika utafiti huu, data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya hojaji, usaili na uchunguzi shirikishi. Jumla ya watafitiwa walikuwa 68. Miongoni mwao walimu walikuwa 29, na wanafunzi walikuwa 39. Vilevile utafiti huu umeonesha matokeo. Miongoni mwa matokeo hayo ni kwamba lahaja ya Kitumbatu baadhi ya wakati maumbo ya maneno hutumia ulahaja. Pia, lahaja ya Kitumbatu hudondosha viambishi katika maneno.Mwisho, sura imehitimisha kwa kutoa mapendekezo ambayo yatasaidia wanajamii kufanya tafiti kwa za lahaja mbalimbali kwa lengo la kuweka kumbukumbu kwa vizazi vya baadaye.","abstract_html":"Utafiti huuumejadili “Athari za Kiisimu za Lahaja za Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Katika Shule za Tumbatu Zanzibar”.Utafiti ulifanyika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja na uliongozwa na Nadharia Kidhi ya Mawasiliano. Nadharia hiyo ilianzishwa na Howard (1973) ambayo lengo lake kuu ni kueleza sababu za kubadili mtindo wa matamshi wakati wa mawasiliano wa kijamii na kuangalia athari zake katika jamii. Katika utafiti huu, data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya hojaji, usaili na uchunguzi shirikishi. Jumla ya watafitiwa walikuwa 68. Miongoni mwao walimu walikuwa 29, na wanafunzi walikuwa 39. Vilevile utafiti huu umeonesha matokeo. Miongoni mwa matokeo hayo ni kwamba lahaja ya Kitumbatu baadhi ya wakati maumbo ya maneno hutumia ulahaja. Pia, lahaja ya Kitumbatu hudondosha viambishi katika maneno.Mwisho, sura imehitimisha kwa kutoa mapendekezo ambayo yatasaidia wanajamii kufanya tafiti kwa za lahaja mbalimbali kwa lengo la kuweka kumbukumbu kwa vizazi vya baadaye.","abstract_has_math":false,"creators":["Ame, Pandu Machano"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2017,"date_issued":"2017","date_published":"2017","updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Ame, Pandu Machano"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2017"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2017"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1595/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1595/1/MW._PANDU__%28UTAFITI_2%29_-_HABIBA.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Utafiti huuumejadili “Athari za Kiisimu za Lahaja za Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Katika Shule za Tumbatu Zanzibar”.Utafiti ulifanyika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja na uliongozwa na Nadharia Kidhi ya Mawasiliano. Nadharia hiyo ilianzishwa na Howard (1973) ambayo lengo lake kuu ni kueleza sababu za kubadili mtindo wa matamshi wakati wa mawasiliano wa kijamii na kuangalia athari zake katika jamii. Katika utafiti huu, data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya hojaji, usaili na uchunguzi shirikishi. Jumla ya watafitiwa walikuwa 68. Miongoni mwao walimu walikuwa 29, na wanafunzi walikuwa 39. Vilevile utafiti huu umeonesha matokeo. Miongoni mwa matokeo hayo ni kwamba lahaja ya Kitumbatu baadhi ya wakati maumbo ya maneno hutumia ulahaja. Pia, lahaja ya Kitumbatu hudondosha viambishi katika maneno.Mwisho, sura imehitimisha kwa kutoa mapendekezo ambayo yatasaidia wanajamii kufanya tafiti kwa za lahaja mbalimbali kwa lengo la kuweka kumbukumbu kwa vizazi vya baadaye."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika katika Shule za Tumbatu Zanzibar"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Ame, Pandu Machano"],"dc:date":["2017"],"dc:date.issued":["2017"],"dc:description.abstract":["Utafiti huuumejadili “Athari za Kiisimu za Lahaja za Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Katika Shule za Tumbatu Zanzibar”.Utafiti ulifanyika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja na uliongozwa na Nadharia Kidhi ya Mawasiliano. Nadharia hiyo ilianzishwa na Howard (1973) ambayo lengo lake kuu ni kueleza sababu za kubadili mtindo wa matamshi wakati wa mawasiliano wa kijamii na kuangalia athari zake katika jamii. Katika utafiti huu, data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya hojaji, usaili na uchunguzi shirikishi. Jumla ya watafitiwa walikuwa 68. Miongoni mwao walimu walikuwa 29, na wanafunzi walikuwa 39. Vilevile utafiti huu umeonesha matokeo. Miongoni mwa matokeo hayo ni kwamba lahaja ya Kitumbatu baadhi ya wakati maumbo ya maneno hutumia ulahaja. Pia, lahaja ya Kitumbatu hudondosha viambishi katika maneno.Mwisho, sura imehitimisha kwa kutoa mapendekezo ambayo yatasaidia wanajamii kufanya tafiti kwa za lahaja mbalimbali kwa lengo la kuweka kumbukumbu kwa vizazi vya baadaye."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1595/1/MW._PANDU__%28UTAFITI_2%29_-_HABIBA.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1595/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika katika Shule za Tumbatu Zanzibar"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z"}