Global ETD Search
Search theses and dissertations gathered from participating repositories worldwide. Every result links back to the library that holds it. No account is needed.
Results
Showing 1 to 20 of 563 for “"WA)"”.
-
Nkanelo wa swin'wana swa swixevo swa ndhavuko wa Vatsonga
See the attached abstract below
-
Kuchunguza Sifa za Kifani za Utendi wa Kiswahili: Mfano Utendi wa Fumo Liyongo
… kuchunguza sifa za kifani za Utendi au Utenzi wa Kiswahili. Utafiti huu ulichunguza vipengele vya fani kama vile; muundo, mtindo, wahusika, mandhari na matumizi ya lugha katika Utendi wa Kiswahili. Mfano, Utendi wa Fumo Liyongo, ili, kuona ni jinsi gani sifa za kifani zinavyojidhihirisha katika …
-
Etimolojia ya Majina ya Mahali ya Kaskazini Pemba Kuwa Utambulisho wa Utamaduni wa Wapemba
… ya majina ya mahali ya Kaskazini Pemba kuwa utambulisho wa utamaduni wa Wapemba. Mtafiti aliongozwa na malengo matatu. Kwanza, kubainisha etimolojia ya majina ya mahali yanayopatikana Kaskazini Pemba; pili, kufafanua vigezo vinavyotumika kutoa majina ya mahali ya Kaskazini Pemba; na tatu, …
-
Usawiri wa Mwanamke Kama Kiongozi Katika Tamthiliya: Uchunguzi wa Kivuli Kinaishi na Nguzo Mama
Kazi hii ilichunguza dhima ya usawiri wa mwanamke kama kiongozi katika tamthiliya: Uchunguzi wa Kivuli kinaishi na Nguzo mama. Lengo la jumla ya utafiti huu ilikuwa kutafiti na kubainisha usawiri wa mwanamke kama kiongozi na kuonesha suala la uongozi linavyoibua visa na linavyojenga dhamira katika …
-
Usawiri Wa Mwanamke Kama Kiongozi Katika Tamthiliya: Uchunguzi Wa Kivuli Kinaishi Na Nguzo Mama
Ndugu msomaji wangu, waswahili wanamsemo wao kuwa “chanda chema huvishwa pete” na mimi kutoka moyoni mwangu naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu, kwanza Baba yangu mpendwa, Cleopa Elinisafi Mapunjo Mpembeni na Mama yangu Kalolina Kitungutu waliopenda sana kunihimiza nisome kwa bidii. Kwani maisha …
-
Usawiri wa Ujinsia Katika Filamu: Uchunguzi wa Matumzi ya Lugha Katika Filamu za Steven Kanumba
Utafiti huu unahusu usawiri wa ujinsia katika filamu uchunguzi wa matumizi ya lugha katika filamu za Steven Kanumba. Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa kijinsia katika lugha ya filamu za Steven Kanumba ili kuona ni jinsi gani lugha inatumika kusawiri masuala ya kijinsia katika jamii. …
-
Usawiri wa Mama wa Kambo Ndani ya Ngano za Kiswahili za Zanzibar katika Kipengele cha Malezi
… ya Zanzibar bali katika sehemu nyingi duniani, kuwa Mama wa Kambo ni wakatili, waovu, watesaji na hata wauaji wa watoto wanaowalea. Ni dhana hiyo ndiyo iliyotushawishi kutafuta ukweli. Jee!, katika uhalisia ni kweli Mama wa Kambo ni waovu kama walivyo katika ngano? Ili kupata ukweli huo, …
-
Ushujaa wa Shujaa wa Motifu za Safari na Msako Katika Ngano za Waikizu, Wabondei na Wazanzibari
Lengo kuu la utafiti huu, lilikuwa ni kubainisha nduni bainifu za Ushujaa wa Shujaa wa Motifu za Safari na Msako katika ngano za Waikizu. Utafiti huu umefanywa Ikizu. Njia zilizotumika katika utafiti huu zilikuwa ni utafiti wa Maktabani na uwandani. Nadharia zilizotumika katika utafiti huu ni; …
-
Ujidhihirishaji wa Mofu Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu
Kazi hii ilihusika na Ujidhihirishaji wa Mofu zinazowakilisha Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti linganishi wa lahaja ya Kipemba na Kiswahili sanifu. Utafiti huu ulikuwa na malengo mawili ambayo ni kulinganisha ujidhihirishaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na Kipemba pamoja …
-
Changamoto na mbinu za kiisimu katika ufundishaji wa stadi ya mazungumzo kwa wanafunzi wa elimu ya awali
Lengo la kazi hii ilikuwa ni kuchunguza uhusiano uliopo baina ya ufundishaji wa stadi ya mazungumzo kwa wanafunzi wa shule za elimu ya awali kisiwani Pemba na kukwama kwao kupata maarifa ya stadi hiyo vya kutosha. Utafiti huu umefanywa katika wilaya ya Chake Chake, mkoa wa Kusini, Pemba. Washiriki …
-
Ndeme ya mufumakadzi wa dzekiso musanda namusi
See the attached abstract below
-
Evaluating Floodplain Hydrologic Connectivity, Yakima River, WA
… of these projects. The purpose of this research was to collect baseline data to determine if and how floodplain connectivity affects water quality and quantity in side-channel habitat on the Yakima River. This research compared seasonal differences in habitat quality between connected and …
-
Ngugi wa Thiongo and third world postcolonialism
This study investigates the ambivalent traits of third world postcolonialism. Third world postcolonialism appears as an antithesis against the logical fallacy of the binary oppositions performed by the contemporary first world postcolonial theory and practice. The division between the first and the …
-
Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti Linganishi wa Tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo
… Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti linganishi wa tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kufanya tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo, kwa kulinganisha tamthiliya ya Ngoma ya …
-
Homebirth in WA: Why women make this choice
Background: Homebirths in Western Australia (WA) account for approximately 0.8% of all births. Two consecutive reports from the Perinatal and Infant Mortality Monitoring Committee found increased rates of perinatal mortality in homebirths and recommended a prospective cohort study to assess …
-
Uchambuzi wa Viangama Tamati Katika Lahaja ya Kitumbatu
Utafiti huu umefanyika Unguja katika kisiwa cha Tumbatu, kwenye shehia nne ambazo ni Gomani, Uvivini, Mtakuja na Jongowe. Lengo kuu ni kuchambua viangama tamati katika lahaja ya kitumbatu. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya viangama ya Zwicky (1977). Data zimekusanywa kwa njia ya mahojiano na …
-
Muundo wa Kirai Nomino katika lahaja ya Kimakunduchi
Utafiti huu umechunguza muundo wa kirai nomino katika lahaja ya Kimakunduchi. Malengo ya utafiti yalikuwa ni kubainisha vipengele vya muundo wa kirai nomino katika lahaja ya Kimakunduchi; kuelezea utaratibu au mpangilio wa vipengele vya muundo wa kirai nomino na lengo la tatu; ni kujadili dhima za …
-
Muundo wa Kirai Nomino katika lahaja ya Kimakunduchi
Utafiti huu umechunguza muundo wa kirai nomino katika lahaja ya Kimakunduchi.Malengo ya utafiti yalikuwa ni kubainisha vipengele vya muundo wa kirai nomino katika lahaja ya Kimakunduchi; kuelezea utaratibu au mpangilio wa vipengele vya muundo wa kirai nomino na lengo la tatu; ni kujadili dhima za …
-
Uchambuzi wa Viangama Katika Kiswahili cha Mazungumzo Unguja
Utafiti huu unaohusu uchambuzi wa viangama katika Kiswahili cha mazungumzo lengo lake kuu ni kuchambua viangama katika Kiswahili cha mazungumzo Unguja. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya viangama ya Zwicky (1977) amechambua viangama sahili, viangama maalumu na viangama funge. Utafiti umetumia …
Page 1 of 29