The Open University of Tanzania
Lugha ya Kiswahili katika Kufundishia na Kujifunzia Elimu Shule za Sekondari
Abstract
dc:description.abstractAzma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kufundishia na kujifunzia Elimu shuleni na Vyuoni. Utafiti huu umefanywa Wilayani Mvomero.Taasisi tatu zilishirikishwa. Shule za Msingi, Shule za Sekondari, Vyuo vya elimu. Masomo mawili Kiswahili na Kiingereza yalichunguzwa. Njia zilizotumika katika utafiti huu zilikuwa ni utafiti wa Maktabani, ana kwa ana na Masikanini .Matokeo ya Utafiti huu yamebaini kwamba; Kiswahili ni Lugha inayoeleweka vizuri zaidi katika kufundishia na kujifunzia elimu shuleni kuliko lugha ya kiingereza. Watoto wengi hawaelewi lugha ya Kiingereza pale inapotumiwa kama lugha ya kufundishia na kuwafanya watoto wasiweze kupata elimu ambayo wangeipata shuleni kwa ajili ya kuliendeleza Taifa.
Degree
thesis:*- Level dc:type.qualificationlevel
- masters
- Grantor dc:publisher.institution
- The Open University of Tanzania
- Year dc:date.issued
- 2013
Author and committee
dc:creator, dc:contributor.*- Author dc:creator
-
- Yoradi, Sikombe Yizukanji
Subjects
dc:subject × 1Rights
- Language dc:language
- en