{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:927"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:927","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Lugha ya Kiswahili katika Kufundishia na Kujifunzia Elimu Shule za Sekondari","abstract":"Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kufundishia na kujifunzia Elimu shuleni na Vyuoni. Utafiti huu umefanywa Wilayani Mvomero.Taasisi tatu zilishirikishwa. Shule za Msingi, Shule za Sekondari, Vyuo vya elimu. Masomo mawili Kiswahili na Kiingereza yalichunguzwa. Njia zilizotumika katika utafiti huu zilikuwa ni utafiti wa Maktabani, ana kwa ana na Masikanini .Matokeo ya Utafiti huu yamebaini kwamba; Kiswahili ni Lugha inayoeleweka vizuri zaidi katika kufundishia na kujifunzia elimu shuleni kuliko lugha ya kiingereza. Watoto wengi hawaelewi lugha ya Kiingereza pale inapotumiwa kama lugha ya kufundishia na kuwafanya watoto wasiweze kupata elimu ambayo wangeipata shuleni kwa ajili ya kuliendeleza Taifa.","abstract_html":"Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kufundishia na kujifunzia Elimu shuleni na Vyuoni. Utafiti huu umefanywa Wilayani Mvomero.Taasisi tatu zilishirikishwa. Shule za Msingi, Shule za Sekondari, Vyuo vya elimu. Masomo mawili Kiswahili na Kiingereza yalichunguzwa. Njia zilizotumika katika utafiti huu zilikuwa ni utafiti wa Maktabani, ana kwa ana na Masikanini .Matokeo ya Utafiti huu yamebaini kwamba; Kiswahili ni Lugha inayoeleweka vizuri zaidi katika kufundishia na kujifunzia elimu shuleni kuliko lugha ya kiingereza. Watoto wengi hawaelewi lugha ya Kiingereza pale inapotumiwa kama lugha ya kufundishia na kuwafanya watoto wasiweze kupata elimu ambayo wangeipata shuleni kwa ajili ya kuliendeleza Taifa.","abstract_has_math":false,"creators":["Yoradi, Sikombe Yizukanji"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2013,"date_issued":"2013","date_published":"2013","updated_at":"2026-07-24T03:40:17Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Yoradi, Sikombe Yizukanji"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2013"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2013"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary Studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/927/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/927/1/LUGHA_YA_KISWAHILI__KATIKA__KUFUNDISHIA__NA_KUJIFUNZIA_ELIMU_SHULE__ZA__SEKONDARI.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kufundishia na kujifunzia Elimu shuleni na Vyuoni. Utafiti huu umefanywa Wilayani Mvomero.Taasisi tatu zilishirikishwa. Shule za Msingi, Shule za Sekondari, Vyuo vya elimu. Masomo mawili Kiswahili na Kiingereza yalichunguzwa. Njia zilizotumika katika utafiti huu zilikuwa ni utafiti wa Maktabani, ana kwa ana na Masikanini .Matokeo ya Utafiti huu yamebaini kwamba; Kiswahili ni Lugha inayoeleweka vizuri zaidi katika kufundishia na kujifunzia elimu shuleni kuliko lugha ya kiingereza. Watoto wengi hawaelewi lugha ya Kiingereza pale inapotumiwa kama lugha ya kufundishia na kuwafanya watoto wasiweze kupata elimu ambayo wangeipata shuleni kwa ajili ya kuliendeleza Taifa."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Lugha ya Kiswahili katika Kufundishia na Kujifunzia Elimu Shule za Sekondari"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Yoradi, Sikombe Yizukanji"],"dc:date":["2013"],"dc:date.issued":["2013"],"dc:description.abstract":["Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kufundishia na kujifunzia Elimu shuleni na Vyuoni. Utafiti huu umefanywa Wilayani Mvomero.Taasisi tatu zilishirikishwa. Shule za Msingi, Shule za Sekondari, Vyuo vya elimu. Masomo mawili Kiswahili na Kiingereza yalichunguzwa. Njia zilizotumika katika utafiti huu zilikuwa ni utafiti wa Maktabani, ana kwa ana na Masikanini .Matokeo ya Utafiti huu yamebaini kwamba; Kiswahili ni Lugha inayoeleweka vizuri zaidi katika kufundishia na kujifunzia elimu shuleni kuliko lugha ya kiingereza. Watoto wengi hawaelewi lugha ya Kiingereza pale inapotumiwa kama lugha ya kufundishia na kuwafanya watoto wasiweze kupata elimu ambayo wangeipata shuleni kwa ajili ya kuliendeleza Taifa."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/927/1/LUGHA_YA_KISWAHILI__KATIKA__KUFUNDISHIA__NA_KUJIFUNZIA_ELIMU_SHULE__ZA__SEKONDARI.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary Studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/927/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Lugha ya Kiswahili katika Kufundishia na Kujifunzia Elimu Shule za Sekondari"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:17Z"}