{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:990"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:990","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kimakunduchi katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Shuleni Makunduchi Zanzibar","abstract":"Utafiti huu uliwalenga wanafunzi wa skuli za msingi na sekondari za Makunduchi zilizo katika wilaya ya Kusini Unguja katika kuchunguza athari za Kimakunduchi katika Kiswahili Sanifu. Pia, walimu wa somo la Kiswahili walishirikishwa kikamilifu. Kwa upande wa wanafunzi, waliotafitiwa ni watoto wenye umri kati ya miaka 10-14 ambao ni wanafunzi wa msingi; na miaka 15 – 20 wanaosoma sekondari. Mbinu kadhaa zilitumika ikiwemo mbinu ya usaili, mbinu ya kutumia hojaji, mbinu ya maktaba, mbinu ya uchunguzi wa maskanini na mbinu ya majaribio. Kila mbinu ilimsaidia mtafiti kwa namna moja au nyingine wakati wa ukusanyaji wa data; na pia wakati wa uchambuzi. Utafiti huu una sura tano. Sura ya kwanza imefafanua usuli wa mada, tatizo la utafiti, malengo na maswali ya utafiti, umuhimu, upeo wake na pia imebainisha kiunzi cha nadharia kilichotumiwa na utafiti huu. Sura ya pili imeelezea mapitio ya maandiko ambapo mna mjadala wa namna fulani kuhusiana maandiko hayo na namna yalivyomsaidia mtafiti katika kazi yake. Sura ya tatu imezungumzia mbinu alizotumia mwandishi katika ukusanyaji wa data yake. Sura ya nne imewasilisha uchambuzi wa data. Katika uwasilishaji huo, sura imeanza kwa kubainisha sifa za kiisimu za lahaja ya Kimakunduchi kwa ujumla, pia imebainisha matumizi ya Kimakunduchi madarasani pamoja na kuonesha athari za lahaja hiyo kwa Kiswahili Sanifu. Sura ya tano imeonesha matokeo ya utafiti ambapo imebainika kwamba yamekidhi haja ya maswali ya utafiti yaliyotumika kama dira ya ukusanyaji wa data. Mwisho, sura ya sita imemalizia kwa kuonesha muhtasari na mapendekezo ya utafiti.","abstract_html":"Utafiti huu uliwalenga wanafunzi wa skuli za msingi na sekondari za Makunduchi zilizo katika wilaya ya Kusini Unguja katika kuchunguza athari za Kimakunduchi katika Kiswahili Sanifu. Pia, walimu wa somo la Kiswahili walishirikishwa kikamilifu. Kwa upande wa wanafunzi, waliotafitiwa ni watoto wenye umri kati ya miaka 10-14 ambao ni wanafunzi wa msingi; na miaka 15 – 20 wanaosoma sekondari. Mbinu kadhaa zilitumika ikiwemo mbinu ya usaili, mbinu ya kutumia hojaji, mbinu ya maktaba, mbinu ya uchunguzi wa maskanini na mbinu ya majaribio. Kila mbinu ilimsaidia mtafiti kwa namna moja au nyingine wakati wa ukusanyaji wa data; na pia wakati wa uchambuzi. Utafiti huu una sura tano. Sura ya kwanza imefafanua usuli wa mada, tatizo la utafiti, malengo na maswali ya utafiti, umuhimu, upeo wake na pia imebainisha kiunzi cha nadharia kilichotumiwa na utafiti huu. Sura ya pili imeelezea mapitio ya maandiko ambapo mna mjadala wa namna fulani kuhusiana maandiko hayo na namna yalivyomsaidia mtafiti katika kazi yake. Sura ya tatu imezungumzia mbinu alizotumia mwandishi katika ukusanyaji wa data yake. Sura ya nne imewasilisha uchambuzi wa data. Katika uwasilishaji huo, sura imeanza kwa kubainisha sifa za kiisimu za lahaja ya Kimakunduchi kwa ujumla, pia imebainisha matumizi ya Kimakunduchi madarasani pamoja na kuonesha athari za lahaja hiyo kwa Kiswahili Sanifu. Sura ya tano imeonesha matokeo ya utafiti ambapo imebainika kwamba yamekidhi haja ya maswali ya utafiti yaliyotumika kama dira ya ukusanyaji wa data. Mwisho, sura ya sita imemalizia kwa kuonesha muhtasari na mapendekezo ya utafiti.","abstract_has_math":false,"creators":["Saleh, Saleh Abdelsalam Mohammed"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2013,"date_issued":"2013","date_published":"2013","updated_at":"2026-07-24T03:40:17Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Saleh, Saleh Abdelsalam Mohammed"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2013"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2013"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary Studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/990/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/990/1/ATHARI_ZA_KIISIMU._002.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Utafiti huu uliwalenga wanafunzi wa skuli za msingi na sekondari za Makunduchi zilizo katika wilaya ya Kusini Unguja katika kuchunguza athari za Kimakunduchi katika Kiswahili Sanifu. Pia, walimu wa somo la Kiswahili walishirikishwa kikamilifu. Kwa upande wa wanafunzi, waliotafitiwa ni watoto wenye umri kati ya miaka 10-14 ambao ni wanafunzi wa msingi; na miaka 15 – 20 wanaosoma sekondari. Mbinu kadhaa zilitumika ikiwemo mbinu ya usaili, mbinu ya kutumia hojaji, mbinu ya maktaba, mbinu ya uchunguzi wa maskanini na mbinu ya majaribio. Kila mbinu ilimsaidia mtafiti kwa namna moja au nyingine wakati wa ukusanyaji wa data; na pia wakati wa uchambuzi. Utafiti huu una sura tano. Sura ya kwanza imefafanua usuli wa mada, tatizo la utafiti, malengo na maswali ya utafiti, umuhimu, upeo wake na pia imebainisha kiunzi cha nadharia kilichotumiwa na utafiti huu. Sura ya pili imeelezea mapitio ya maandiko ambapo mna mjadala wa namna fulani kuhusiana maandiko hayo na namna yalivyomsaidia mtafiti katika kazi yake. Sura ya tatu imezungumzia mbinu alizotumia mwandishi katika ukusanyaji wa data yake. Sura ya nne imewasilisha uchambuzi wa data. Katika uwasilishaji huo, sura imeanza kwa kubainisha sifa za kiisimu za lahaja ya Kimakunduchi kwa ujumla, pia imebainisha matumizi ya Kimakunduchi madarasani pamoja na kuonesha athari za lahaja hiyo kwa Kiswahili Sanifu. Sura ya tano imeonesha matokeo ya utafiti ambapo imebainika kwamba yamekidhi haja ya maswali ya utafiti yaliyotumika kama dira ya ukusanyaji wa data. Mwisho, sura ya sita imemalizia kwa kuonesha muhtasari na mapendekezo ya utafiti."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kimakunduchi katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Shuleni Makunduchi Zanzibar"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Saleh, Saleh Abdelsalam Mohammed"],"dc:date":["2013"],"dc:date.issued":["2013"],"dc:description.abstract":["Utafiti huu uliwalenga wanafunzi wa skuli za msingi na sekondari za Makunduchi zilizo katika wilaya ya Kusini Unguja katika kuchunguza athari za Kimakunduchi katika Kiswahili Sanifu. Pia, walimu wa somo la Kiswahili walishirikishwa kikamilifu. Kwa upande wa wanafunzi, waliotafitiwa ni watoto wenye umri kati ya miaka 10-14 ambao ni wanafunzi wa msingi; na miaka 15 – 20 wanaosoma sekondari. Mbinu kadhaa zilitumika ikiwemo mbinu ya usaili, mbinu ya kutumia hojaji, mbinu ya maktaba, mbinu ya uchunguzi wa maskanini na mbinu ya majaribio. Kila mbinu ilimsaidia mtafiti kwa namna moja au nyingine wakati wa ukusanyaji wa data; na pia wakati wa uchambuzi. Utafiti huu una sura tano. Sura ya kwanza imefafanua usuli wa mada, tatizo la utafiti, malengo na maswali ya utafiti, umuhimu, upeo wake na pia imebainisha kiunzi cha nadharia kilichotumiwa na utafiti huu. Sura ya pili imeelezea mapitio ya maandiko ambapo mna mjadala wa namna fulani kuhusiana maandiko hayo na namna yalivyomsaidia mtafiti katika kazi yake. Sura ya tatu imezungumzia mbinu alizotumia mwandishi katika ukusanyaji wa data yake. Sura ya nne imewasilisha uchambuzi wa data. Katika uwasilishaji huo, sura imeanza kwa kubainisha sifa za kiisimu za lahaja ya Kimakunduchi kwa ujumla, pia imebainisha matumizi ya Kimakunduchi madarasani pamoja na kuonesha athari za lahaja hiyo kwa Kiswahili Sanifu. Sura ya tano imeonesha matokeo ya utafiti ambapo imebainika kwamba yamekidhi haja ya maswali ya utafiti yaliyotumika kama dira ya ukusanyaji wa data. Mwisho, sura ya sita imemalizia kwa kuonesha muhtasari na mapendekezo ya utafiti."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/990/1/ATHARI_ZA_KIISIMU._002.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary Studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/990/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kimakunduchi katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Shuleni Makunduchi Zanzibar"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:17Z"}