{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:874"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:874","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Dhima ya Ufutuhi Katika Riwaya za Shaabani Robert","abstract":"Tasnifu hii imejaribu kuchangia mawazo na fikra za jinsi ya kutumia fasihi ya lugha katika kufikisha ujumbe uliokusudiwa kupitiya fani ya ufutuhi. Dhima ya ufutuhi katika Riwaya za Shaaban Robert imeathiri wasomaji, watunzi na wapenzi wa lugha ya Kiswahili kwa kiwango cha juu sana. Sura ya kwanza inatoa utangulizi wa ujumla historia ya marehemu Shaaban Robert, maisha yake, familia yake, kazi na ajira zake, mbari zake kwa ujumla na kazi zake za fasihi alizofanya. Sura ya pili inaelezea mawanda yakinadharia, mkabala wakinadharia ambao umetoa mchango katika kazi hii yaani nadharia tete na nadharia kiongozi. Sura ya tatu ni tahakiki za kazi mbalimbali zilizotangulia ikielezea kazi mbalimbali kuhusu ufutuhi na Dhima ya ufutuhi pamoja na maudhui yake katika Riwaya zilizo lengwa. Sura ya nne inafafanua mbinu za utafiti ambazo zimetumika ikiwa ni pamoja na umakinifu, usaili na hojaji. Sura ya tano imewasilisha matokeo ya utafiti. Yanaonesha kuwa uhai wa fasihi ya Lugha unategemea ufundi na umakini wa mpangilio wa maneno. Kiini ikiwa ni dhima ya ufutuhi ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Kutokana na kukua kwa lugha ya Kiswahili na uwanda wake mpana wa fasihi imeonesha wazi kuwa, Dhima ya ufutuhi ni muhimu sana katika fasihi ili kuamsha ari na kuleta mvuto wa Lugha ya Kiswahili hususani katika kizazi hiki kilichopo. Hatimaye ni hitimishi na mapendekezo yaliyotolewa kama vile kuhimiza misingi bora ya ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili, mbinu shirikishi za dhima ya ufutuhi kulingana na wakati uliopo na kuhamasisha jamii na Taifa letu kuipenda na kuithamini lugha ya Kiswahili kama Lugha ya Taifa. Kusoma vitabu vyake Shaaban Robert, kuzuru maeneo ya asili yake na kuviingiza vitabu vyake katika mtalaa wa Elimu na somo la Kiswahili kwa ngazi zinazohusika.","abstract_html":"Tasnifu hii imejaribu kuchangia mawazo na fikra za jinsi ya kutumia fasihi ya lugha katika kufikisha ujumbe uliokusudiwa kupitiya fani ya ufutuhi. Dhima ya ufutuhi katika Riwaya za Shaaban Robert imeathiri wasomaji, watunzi na wapenzi wa lugha ya Kiswahili kwa kiwango cha juu sana. Sura ya kwanza inatoa utangulizi wa ujumla historia ya marehemu Shaaban Robert, maisha yake, familia yake, kazi na ajira zake, mbari zake kwa ujumla na kazi zake za fasihi alizofanya. Sura ya pili inaelezea mawanda yakinadharia, mkabala wakinadharia ambao umetoa mchango katika kazi hii yaani nadharia tete na nadharia kiongozi. Sura ya tatu ni tahakiki za kazi mbalimbali zilizotangulia ikielezea kazi mbalimbali kuhusu ufutuhi na Dhima ya ufutuhi pamoja na maudhui yake katika Riwaya zilizo lengwa. Sura ya nne inafafanua mbinu za utafiti ambazo zimetumika ikiwa ni pamoja na umakinifu, usaili na hojaji. Sura ya tano imewasilisha matokeo ya utafiti. Yanaonesha kuwa uhai wa fasihi ya Lugha unategemea ufundi na umakini wa mpangilio wa maneno. Kiini ikiwa ni dhima ya ufutuhi ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Kutokana na kukua kwa lugha ya Kiswahili na uwanda wake mpana wa fasihi imeonesha wazi kuwa, Dhima ya ufutuhi ni muhimu sana katika fasihi ili kuamsha ari na kuleta mvuto wa Lugha ya Kiswahili hususani katika kizazi hiki kilichopo. Hatimaye ni hitimishi na mapendekezo yaliyotolewa kama vile kuhimiza misingi bora ya ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili, mbinu shirikishi za dhima ya ufutuhi kulingana na wakati uliopo na kuhamasisha jamii na Taifa letu kuipenda na kuithamini lugha ya Kiswahili kama Lugha ya Taifa. Kusoma vitabu vyake Shaaban Robert, kuzuru maeneo ya asili yake na kuviingiza vitabu vyake katika mtalaa wa Elimu na somo la Kiswahili kwa ngazi zinazohusika.","abstract_has_math":false,"creators":["Kabeja, Fortunata Moses"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2013,"date_issued":"2013","date_published":"2013","updated_at":"2026-07-24T03:40:13Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Kabeja, Fortunata Moses"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2013"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2013"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary Studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/874/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/874/1/DISSERTATION_-_KABEJA.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Tasnifu hii imejaribu kuchangia mawazo na fikra za jinsi ya kutumia fasihi ya lugha katika kufikisha ujumbe uliokusudiwa kupitiya fani ya ufutuhi. Dhima ya ufutuhi katika Riwaya za Shaaban Robert imeathiri wasomaji, watunzi na wapenzi wa lugha ya Kiswahili kwa kiwango cha juu sana. Sura ya kwanza inatoa utangulizi wa ujumla historia ya marehemu Shaaban Robert, maisha yake, familia yake, kazi na ajira zake, mbari zake kwa ujumla na kazi zake za fasihi alizofanya. Sura ya pili inaelezea mawanda yakinadharia, mkabala wakinadharia ambao umetoa mchango katika kazi hii yaani nadharia tete na nadharia kiongozi. Sura ya tatu ni tahakiki za kazi mbalimbali zilizotangulia ikielezea kazi mbalimbali kuhusu ufutuhi na Dhima ya ufutuhi pamoja na maudhui yake katika Riwaya zilizo lengwa. Sura ya nne inafafanua mbinu za utafiti ambazo zimetumika ikiwa ni pamoja na umakinifu, usaili na hojaji. Sura ya tano imewasilisha matokeo ya utafiti. Yanaonesha kuwa uhai wa fasihi ya Lugha unategemea ufundi na umakini wa mpangilio wa maneno. Kiini ikiwa ni dhima ya ufutuhi ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Kutokana na kukua kwa lugha ya Kiswahili na uwanda wake mpana wa fasihi imeonesha wazi kuwa, Dhima ya ufutuhi ni muhimu sana katika fasihi ili kuamsha ari na kuleta mvuto wa Lugha ya Kiswahili hususani katika kizazi hiki kilichopo. Hatimaye ni hitimishi na mapendekezo yaliyotolewa kama vile kuhimiza misingi bora ya ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili, mbinu shirikishi za dhima ya ufutuhi kulingana na wakati uliopo na kuhamasisha jamii na Taifa letu kuipenda na kuithamini lugha ya Kiswahili kama Lugha ya Taifa. Kusoma vitabu vyake Shaaban Robert, kuzuru maeneo ya asili yake na kuviingiza vitabu vyake katika mtalaa wa Elimu na somo la Kiswahili kwa ngazi zinazohusika."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Dhima ya Ufutuhi Katika Riwaya za Shaabani Robert"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Kabeja, Fortunata Moses"],"dc:date":["2013"],"dc:date.issued":["2013"],"dc:description.abstract":["Tasnifu hii imejaribu kuchangia mawazo na fikra za jinsi ya kutumia fasihi ya lugha katika kufikisha ujumbe uliokusudiwa kupitiya fani ya ufutuhi. Dhima ya ufutuhi katika Riwaya za Shaaban Robert imeathiri wasomaji, watunzi na wapenzi wa lugha ya Kiswahili kwa kiwango cha juu sana. Sura ya kwanza inatoa utangulizi wa ujumla historia ya marehemu Shaaban Robert, maisha yake, familia yake, kazi na ajira zake, mbari zake kwa ujumla na kazi zake za fasihi alizofanya. Sura ya pili inaelezea mawanda yakinadharia, mkabala wakinadharia ambao umetoa mchango katika kazi hii yaani nadharia tete na nadharia kiongozi. Sura ya tatu ni tahakiki za kazi mbalimbali zilizotangulia ikielezea kazi mbalimbali kuhusu ufutuhi na Dhima ya ufutuhi pamoja na maudhui yake katika Riwaya zilizo lengwa. Sura ya nne inafafanua mbinu za utafiti ambazo zimetumika ikiwa ni pamoja na umakinifu, usaili na hojaji. Sura ya tano imewasilisha matokeo ya utafiti. Yanaonesha kuwa uhai wa fasihi ya Lugha unategemea ufundi na umakini wa mpangilio wa maneno. Kiini ikiwa ni dhima ya ufutuhi ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Kutokana na kukua kwa lugha ya Kiswahili na uwanda wake mpana wa fasihi imeonesha wazi kuwa, Dhima ya ufutuhi ni muhimu sana katika fasihi ili kuamsha ari na kuleta mvuto wa Lugha ya Kiswahili hususani katika kizazi hiki kilichopo. Hatimaye ni hitimishi na mapendekezo yaliyotolewa kama vile kuhimiza misingi bora ya ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili, mbinu shirikishi za dhima ya ufutuhi kulingana na wakati uliopo na kuhamasisha jamii na Taifa letu kuipenda na kuithamini lugha ya Kiswahili kama Lugha ya Taifa. Kusoma vitabu vyake Shaaban Robert, kuzuru maeneo ya asili yake na kuviingiza vitabu vyake katika mtalaa wa Elimu na somo la Kiswahili kwa ngazi zinazohusika."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/874/1/DISSERTATION_-_KABEJA.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary Studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/874/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Dhima ya Ufutuhi Katika Riwaya za Shaabani Robert"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:13Z"}