{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:444"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:444","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Kuchunguza Masuala ya Kisiasa Katika Riwaya za Shaaban Robert: Mfano wa Kusadikika na Kufikirika","abstract":"Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kisiasa katika Riwaya za Shaaban Robert: Mfano wa Kusadikika na Kufikirika. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kutathimini masuala ya kisiasa katika riwaya za Shaaban Robert kupitia riwaya za Kusadikika na Kufikirika. Lengo kuu la utafiti huu limefikiwa baada ya madhumuni mahususi matatu kukamilika. Madhumuni hayo ni Kubainisha masuala ya kisiasa katika riwaya za Shaaban Robert, Kubainisha mchango wa Shaaban Robert katika maendeleo ya kisiasa nchini Tanzania na kuchunguza mbinu za kisanaa zinazotumiwa na Shaaban Robert kusawiri masuala ya kisiasa katika Kusadikika na Kufikirika. Data za utafiti huu zilikusanywa kwa kutumia mbinu za usaili na uchambuzi wa kimaudhui. Mikabala wa kidhamira na kimaelezo ndio iliyotumika kuchambua data za utafiti huu. Utafiti umebaini kuwa, masuala ya kisiasa yanayojitokeza katika riwaya za Kusadikika na Kufikirika ni uongozi mzuri, uongozi mbaya, utii wa sheria, masuala ya jinsia na kujifunza kutoka kwa wengine. Masuala haya yanawasilishwa na Shaaban Robert kwa kutumia mbinu za kisanaa za matumizi ya methali, misemo,tashibiha, kejeli, mandhari ya kidhanaishi na wahusika bapa. Masuala ya kisiasa yanayowasilishwa na Shaaban Robert yametoa mchango mkubwa katika kuimarisha uongozi wa nchi huru ya Tanganyika na baadae Tanzania.","abstract_html":"Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kisiasa katika Riwaya za Shaaban Robert: Mfano wa Kusadikika na Kufikirika. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kutathimini masuala ya kisiasa katika riwaya za Shaaban Robert kupitia riwaya za Kusadikika na Kufikirika. Lengo kuu la utafiti huu limefikiwa baada ya madhumuni mahususi matatu kukamilika. Madhumuni hayo ni Kubainisha masuala ya kisiasa katika riwaya za Shaaban Robert, Kubainisha mchango wa Shaaban Robert katika maendeleo ya kisiasa nchini Tanzania na kuchunguza mbinu za kisanaa zinazotumiwa na Shaaban Robert kusawiri masuala ya kisiasa katika Kusadikika na Kufikirika. Data za utafiti huu zilikusanywa kwa kutumia mbinu za usaili na uchambuzi wa kimaudhui. Mikabala wa kidhamira na kimaelezo ndio iliyotumika kuchambua data za utafiti huu. Utafiti umebaini kuwa, masuala ya kisiasa yanayojitokeza katika riwaya za Kusadikika na Kufikirika ni uongozi mzuri, uongozi mbaya, utii wa sheria, masuala ya jinsia na kujifunza kutoka kwa wengine. Masuala haya yanawasilishwa na Shaaban Robert kwa kutumia mbinu za kisanaa za matumizi ya methali, misemo,tashibiha, kejeli, mandhari ya kidhanaishi na wahusika bapa. Masuala ya kisiasa yanayowasilishwa na Shaaban Robert yametoa mchango mkubwa katika kuimarisha uongozi wa nchi huru ya Tanganyika na baadae Tanzania.","abstract_has_math":false,"creators":["Massawe , Bibiana"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2014,"date_issued":"2014","date_published":"2014","updated_at":"2026-07-24T03:39:56Z","subjects":["410 Linguistics"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Massawe , Bibiana"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2014"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2014"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistic and literary studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/444/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["410 Linguistics"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/444/1/BIBIANA_MASSAWE_AMBROSE.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kisiasa katika Riwaya za Shaaban Robert: Mfano wa Kusadikika na Kufikirika. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kutathimini masuala ya kisiasa katika riwaya za Shaaban Robert kupitia riwaya za Kusadikika na Kufikirika. Lengo kuu la utafiti huu limefikiwa baada ya madhumuni mahususi matatu kukamilika. Madhumuni hayo ni Kubainisha masuala ya kisiasa katika riwaya za Shaaban Robert, Kubainisha mchango wa Shaaban Robert katika maendeleo ya kisiasa nchini Tanzania na kuchunguza mbinu za kisanaa zinazotumiwa na Shaaban Robert kusawiri masuala ya kisiasa katika Kusadikika na Kufikirika. Data za utafiti huu zilikusanywa kwa kutumia mbinu za usaili na uchambuzi wa kimaudhui. Mikabala wa kidhamira na kimaelezo ndio iliyotumika kuchambua data za utafiti huu. Utafiti umebaini kuwa, masuala ya kisiasa yanayojitokeza katika riwaya za Kusadikika na Kufikirika ni uongozi mzuri, uongozi mbaya, utii wa sheria, masuala ya jinsia na kujifunza kutoka kwa wengine. Masuala haya yanawasilishwa na Shaaban Robert kwa kutumia mbinu za kisanaa za matumizi ya methali, misemo,tashibiha, kejeli, mandhari ya kidhanaishi na wahusika bapa. Masuala ya kisiasa yanayowasilishwa na Shaaban Robert yametoa mchango mkubwa katika kuimarisha uongozi wa nchi huru ya Tanganyika na baadae Tanzania."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Kuchunguza Masuala ya Kisiasa Katika Riwaya za Shaaban Robert: Mfano wa Kusadikika na Kufikirika"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Massawe , Bibiana"],"dc:date":["2014"],"dc:date.issued":["2014"],"dc:description.abstract":["Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kisiasa katika Riwaya za Shaaban Robert: Mfano wa Kusadikika na Kufikirika. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kutathimini masuala ya kisiasa katika riwaya za Shaaban Robert kupitia riwaya za Kusadikika na Kufikirika. Lengo kuu la utafiti huu limefikiwa baada ya madhumuni mahususi matatu kukamilika. Madhumuni hayo ni Kubainisha masuala ya kisiasa katika riwaya za Shaaban Robert, Kubainisha mchango wa Shaaban Robert katika maendeleo ya kisiasa nchini Tanzania na kuchunguza mbinu za kisanaa zinazotumiwa na Shaaban Robert kusawiri masuala ya kisiasa katika Kusadikika na Kufikirika. Data za utafiti huu zilikusanywa kwa kutumia mbinu za usaili na uchambuzi wa kimaudhui. Mikabala wa kidhamira na kimaelezo ndio iliyotumika kuchambua data za utafiti huu. Utafiti umebaini kuwa, masuala ya kisiasa yanayojitokeza katika riwaya za Kusadikika na Kufikirika ni uongozi mzuri, uongozi mbaya, utii wa sheria, masuala ya jinsia na kujifunza kutoka kwa wengine. Masuala haya yanawasilishwa na Shaaban Robert kwa kutumia mbinu za kisanaa za matumizi ya methali, misemo,tashibiha, kejeli, mandhari ya kidhanaishi na wahusika bapa. Masuala ya kisiasa yanayowasilishwa na Shaaban Robert yametoa mchango mkubwa katika kuimarisha uongozi wa nchi huru ya Tanganyika na baadae Tanzania."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/444/1/BIBIANA_MASSAWE_AMBROSE.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistic and literary studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/444/"],"dc:subject":["410 Linguistics"],"dc:title":["Kuchunguza Masuala ya Kisiasa Katika Riwaya za Shaaban Robert: Mfano wa Kusadikika na Kufikirika"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:39:56Z"}