{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:434"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:434","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Kuchunguza Dhamira za Kijamii na Kiutamaduni Katika Riwaya ya Kiswahili: Mifano Kutoka Kuli na Vuta N’kuvute","abstract":"Riwaya za Kuli na Vuta N’kuvute zimepata umaarufu na kuwa riwaya nzuri na imara za mtunzi Shafi Adam Shafi. Utafiti huu ulifanywa kwa nia kuu ya kuchunguza dhamira za kijamii na kiutamaduni zinazojitokeza katika riwaya hizo mbili (Kuli na Vuta N’kuvute). Katika kutimiza nia hii, tulikusanya data kwa kutumia mbinu za maktabani, mahojiano ya ana kwa ana kufanya na uchambuzi wa kimaudhui. Data zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mbinu za mkabala wa kimaelezo na ule wa kidhamira. Nadharia za Simiotiki, Saikolojia Changanuzi na dhima na kazi, ndizo zilizotumika katika kuhakiki riwaya hizo mbili. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, dhamira zinazojitokeza zaidi katika riwaya hizo mbili ni matabaka katika jamii, ndoa za kulazimishwa, mapenzi na ukarimu katika riwaya ya Vuta N’kuvute. Katika Kuli, dhamira zinazojitokeza zaidi ni busara na hekima, umuhimu wa elimu, umasikini, utamaduni na mabadiliko yake, ukombozi katika jamii na masuala ya uzazi. Dhamira hizo zimesheheni uhalisia katika maisha ya sasa ya jamii ya leo. Pia matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, mbinu za kisanaa zinazotumiwa na mtunzi katika uwasilishaji wake wa dhamira ni upambaji wa wahusika, usimulizi, kuingiliana kwa tanzu, tashibiha, misemo, takriri, taswira, motifu na matumizi ya barua.","abstract_html":"Riwaya za Kuli na Vuta N’kuvute zimepata umaarufu na kuwa riwaya nzuri na imara za mtunzi Shafi Adam Shafi. Utafiti huu ulifanywa kwa nia kuu ya kuchunguza dhamira za kijamii na kiutamaduni zinazojitokeza katika riwaya hizo mbili (Kuli na Vuta N’kuvute). Katika kutimiza nia hii, tulikusanya data kwa kutumia mbinu za maktabani, mahojiano ya ana kwa ana kufanya na uchambuzi wa kimaudhui. Data zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mbinu za mkabala wa kimaelezo na ule wa kidhamira. Nadharia za Simiotiki, Saikolojia Changanuzi na dhima na kazi, ndizo zilizotumika katika kuhakiki riwaya hizo mbili. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, dhamira zinazojitokeza zaidi katika riwaya hizo mbili ni matabaka katika jamii, ndoa za kulazimishwa, mapenzi na ukarimu katika riwaya ya Vuta N’kuvute. Katika Kuli, dhamira zinazojitokeza zaidi ni busara na hekima, umuhimu wa elimu, umasikini, utamaduni na mabadiliko yake, ukombozi katika jamii na masuala ya uzazi. Dhamira hizo zimesheheni uhalisia katika maisha ya sasa ya jamii ya leo. Pia matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, mbinu za kisanaa zinazotumiwa na mtunzi katika uwasilishaji wake wa dhamira ni upambaji wa wahusika, usimulizi, kuingiliana kwa tanzu, tashibiha, misemo, takriri, taswira, motifu na matumizi ya barua.","abstract_has_math":false,"creators":["Adam, Omar Abdalla"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":"phd","degree_level":"doctoral","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2014,"date_issued":"2014","date_published":"2014","updated_at":"2026-07-24T03:39:56Z","subjects":["410 Linguistics"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Adam, Omar Abdalla"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2014"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2014"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary Studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/434/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["doctoral"]},{"key":"dc:type.qualificationname","label":"Dc Type Qualificationname","values":["phd"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["410 Linguistics"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/434/1/THESIS_-_OMAR_ADAM_MPYA_LEO.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Riwaya za Kuli na Vuta N’kuvute zimepata umaarufu na kuwa riwaya nzuri na imara za mtunzi Shafi Adam Shafi. Utafiti huu ulifanywa kwa nia kuu ya kuchunguza dhamira za kijamii na kiutamaduni zinazojitokeza katika riwaya hizo mbili (Kuli na Vuta N’kuvute). Katika kutimiza nia hii, tulikusanya data kwa kutumia mbinu za maktabani, mahojiano ya ana kwa ana kufanya na uchambuzi wa kimaudhui. Data zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mbinu za mkabala wa kimaelezo na ule wa kidhamira. Nadharia za Simiotiki, Saikolojia Changanuzi na dhima na kazi, ndizo zilizotumika katika kuhakiki riwaya hizo mbili. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, dhamira zinazojitokeza zaidi katika riwaya hizo mbili ni matabaka katika jamii, ndoa za kulazimishwa, mapenzi na ukarimu katika riwaya ya Vuta N’kuvute. Katika Kuli, dhamira zinazojitokeza zaidi ni busara na hekima, umuhimu wa elimu, umasikini, utamaduni na mabadiliko yake, ukombozi katika jamii na masuala ya uzazi. Dhamira hizo zimesheheni uhalisia katika maisha ya sasa ya jamii ya leo. Pia matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, mbinu za kisanaa zinazotumiwa na mtunzi katika uwasilishaji wake wa dhamira ni upambaji wa wahusika, usimulizi, kuingiliana kwa tanzu, tashibiha, misemo, takriri, taswira, motifu na matumizi ya barua."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Kuchunguza Dhamira za Kijamii na Kiutamaduni Katika Riwaya ya Kiswahili: Mifano Kutoka Kuli na Vuta N’kuvute"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Adam, Omar Abdalla"],"dc:date":["2014"],"dc:date.issued":["2014"],"dc:description.abstract":["Riwaya za Kuli na Vuta N’kuvute zimepata umaarufu na kuwa riwaya nzuri na imara za mtunzi Shafi Adam Shafi. Utafiti huu ulifanywa kwa nia kuu ya kuchunguza dhamira za kijamii na kiutamaduni zinazojitokeza katika riwaya hizo mbili (Kuli na Vuta N’kuvute). Katika kutimiza nia hii, tulikusanya data kwa kutumia mbinu za maktabani, mahojiano ya ana kwa ana kufanya na uchambuzi wa kimaudhui. Data zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mbinu za mkabala wa kimaelezo na ule wa kidhamira. Nadharia za Simiotiki, Saikolojia Changanuzi na dhima na kazi, ndizo zilizotumika katika kuhakiki riwaya hizo mbili. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, dhamira zinazojitokeza zaidi katika riwaya hizo mbili ni matabaka katika jamii, ndoa za kulazimishwa, mapenzi na ukarimu katika riwaya ya Vuta N’kuvute. Katika Kuli, dhamira zinazojitokeza zaidi ni busara na hekima, umuhimu wa elimu, umasikini, utamaduni na mabadiliko yake, ukombozi katika jamii na masuala ya uzazi. Dhamira hizo zimesheheni uhalisia katika maisha ya sasa ya jamii ya leo. Pia matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, mbinu za kisanaa zinazotumiwa na mtunzi katika uwasilishaji wake wa dhamira ni upambaji wa wahusika, usimulizi, kuingiliana kwa tanzu, tashibiha, misemo, takriri, taswira, motifu na matumizi ya barua."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/434/1/THESIS_-_OMAR_ADAM_MPYA_LEO.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary Studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/434/"],"dc:subject":["410 Linguistics"],"dc:title":["Kuchunguza Dhamira za Kijamii na Kiutamaduni Katika Riwaya ya Kiswahili: Mifano Kutoka Kuli na Vuta N’kuvute"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["doctoral"],"dc:type.qualificationname":["phd"]},"updated_at":"2026-07-24T03:39:56Z"}