{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:417"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:417","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Usawiri Wa Mwanamke Kama Kiongozi Katika Tamthiliya: Uchunguzi Wa Kivuli Kinaishi Na Nguzo Mama","abstract":"Ndugu msomaji wangu, waswahili wanamsemo wao kuwa “chanda chema huvishwa pete” na mimi kutoka moyoni mwangu naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu, kwanza Baba yangu mpendwa, Cleopa Elinisafi Mapunjo Mpembeni na Mama yangu Kalolina Kitungutu waliopenda sana kunihimiza nisome kwa bidii. Kwani maisha ni magumu na bila elimu utanyanyaswa. Alipenda kusema “unamsomea nani au unamwandikia nani”, kwa ufupi tu na kwa ujasiri nilijibu kuwa; nawaandikia wote ili waelimike. Pili, Mama yangu mpendwa Dkt Rose Cleopa Mapunjo Mpembeni kwa ushauri wake wa mara kwa mara kuhusu umuhimu wa elimu. Nawapenda wote na Mungu awabariki.","abstract_html":"Ndugu msomaji wangu, waswahili wanamsemo wao kuwa “chanda chema huvishwa pete” na mimi kutoka moyoni mwangu naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu, kwanza Baba yangu mpendwa, Cleopa Elinisafi Mapunjo Mpembeni na Mama yangu Kalolina Kitungutu waliopenda sana kunihimiza nisome kwa bidii. Kwani maisha ni magumu na bila elimu utanyanyaswa. Alipenda kusema “unamsomea nani au unamwandikia nani”, kwa ufupi tu na kwa ujasiri nilijibu kuwa; nawaandikia wote ili waelimike. Pili, Mama yangu mpendwa Dkt Rose Cleopa Mapunjo Mpembeni kwa ushauri wake wa mara kwa mara kuhusu umuhimu wa elimu. Nawapenda wote na Mungu awabariki.","abstract_has_math":false,"creators":["Mapunjo, G. C."],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2014,"date_issued":"2014","date_published":"2014","updated_at":"2026-07-24T03:39:56Z","subjects":["410 Linguistics"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Mapunjo, G. C."]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2014"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2014"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary Studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/417/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["410 Linguistics"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/417/1/MA_FINAL_1-_FINAL.doc"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Ndugu msomaji wangu, waswahili wanamsemo wao kuwa “chanda chema huvishwa pete” na mimi kutoka moyoni mwangu naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu, kwanza Baba yangu mpendwa, Cleopa Elinisafi Mapunjo Mpembeni na Mama yangu Kalolina Kitungutu waliopenda sana kunihimiza nisome kwa bidii. Kwani maisha ni magumu na bila elimu utanyanyaswa. Alipenda kusema “unamsomea nani au unamwandikia nani”, kwa ufupi tu na kwa ujasiri nilijibu kuwa; nawaandikia wote ili waelimike. Pili, Mama yangu mpendwa Dkt Rose Cleopa Mapunjo Mpembeni kwa ushauri wake wa mara kwa mara kuhusu umuhimu wa elimu. Nawapenda wote na Mungu awabariki."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/msword"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Usawiri Wa Mwanamke Kama Kiongozi Katika Tamthiliya: Uchunguzi Wa Kivuli Kinaishi Na Nguzo Mama"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Mapunjo, G. C."],"dc:date":["2014"],"dc:date.issued":["2014"],"dc:description.abstract":["Ndugu msomaji wangu, waswahili wanamsemo wao kuwa “chanda chema huvishwa pete” na mimi kutoka moyoni mwangu naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu, kwanza Baba yangu mpendwa, Cleopa Elinisafi Mapunjo Mpembeni na Mama yangu Kalolina Kitungutu waliopenda sana kunihimiza nisome kwa bidii. Kwani maisha ni magumu na bila elimu utanyanyaswa. Alipenda kusema “unamsomea nani au unamwandikia nani”, kwa ufupi tu na kwa ujasiri nilijibu kuwa; nawaandikia wote ili waelimike. Pili, Mama yangu mpendwa Dkt Rose Cleopa Mapunjo Mpembeni kwa ushauri wake wa mara kwa mara kuhusu umuhimu wa elimu. Nawapenda wote na Mungu awabariki."],"dc:format":["application/msword"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/417/1/MA_FINAL_1-_FINAL.doc"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary Studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/417/"],"dc:subject":["410 Linguistics"],"dc:title":["Usawiri Wa Mwanamke Kama Kiongozi Katika Tamthiliya: Uchunguzi Wa Kivuli Kinaishi Na Nguzo Mama"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:39:56Z"}