{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1853"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1853","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Kuchunguza Dhamira za Nyimbo za Siti Bint Saad","abstract":"Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumuni mahususi mawili yalitimizwa. Madhumuni hayo yalihusu kuchunguza na kutathmini dhamira za nyimbo za Siti binti Saad na kubainisha mbinu za kisanii zilizotumiwa na msanii huyo katika kuibua dhamira. Mtafiti ametumia mbinu za uchambuzi wa kifasihi, usaili katika kukusanya data za utafiti. Mikabala ya kimaelezo na ule wakifasihi ndiyo iliyotumika katika kuchambua data za utafiti wetu.Kwa jumla, utafiti umeweza kukusanya data ambazo zimeweza kujibu maswali yaliyoulizwa kutokana na madhumuni mahsusi yautafiti huu ambapo imedhihirika kwamba, nyimbo za Siti binti Saad zimeshehenidhamira za matabaka utamaduni na mapenzi.Pia imebainika kwamba mbinu za kisanaa zimetumika kujenga dhamira, miongoni mwa dhamira zilizoibuliwa na matabaka utamaduni na mapenzi. Mbinu za kisaniizilizotumika ni kama mbinu ya simulizi, takriri, tashbiha, tash-hisi, ishara, misemo na muingiliano wa tanzu. Mwishoni mwa utafiti, kumetolewa mapendekezo kwa ajili ya tafiti zijazobaadae katika uwanja wa nyimbo za Siti binti Saad katika vipengele vyengine vya fani na maudhui kama vile matumizi ya lugha kwa upana zaidi, muundo, falsafa, ujumbe na maadili, mtazamo na msimamo.","abstract_html":"Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumuni mahususi mawili yalitimizwa. Madhumuni hayo yalihusu kuchunguza na kutathmini dhamira za nyimbo za Siti binti Saad na kubainisha mbinu za kisanii zilizotumiwa na msanii huyo katika kuibua dhamira. Mtafiti ametumia mbinu za uchambuzi wa kifasihi, usaili katika kukusanya data za utafiti. Mikabala ya kimaelezo na ule wakifasihi ndiyo iliyotumika katika kuchambua data za utafiti wetu.Kwa jumla, utafiti umeweza kukusanya data ambazo zimeweza kujibu maswali yaliyoulizwa kutokana na madhumuni mahsusi yautafiti huu ambapo imedhihirika kwamba, nyimbo za Siti binti Saad zimeshehenidhamira za matabaka utamaduni na mapenzi.Pia imebainika kwamba mbinu za kisanaa zimetumika kujenga dhamira, miongoni mwa dhamira zilizoibuliwa na matabaka utamaduni na mapenzi. Mbinu za kisaniizilizotumika ni kama mbinu ya simulizi, takriri, tashbiha, tash-hisi, ishara, misemo na muingiliano wa tanzu. Mwishoni mwa utafiti, kumetolewa mapendekezo kwa ajili ya tafiti zijazobaadae katika uwanja wa nyimbo za Siti binti Saad katika vipengele vyengine vya fani na maudhui kama vile matumizi ya lugha kwa upana zaidi, muundo, falsafa, ujumbe na maadili, mtazamo na msimamo.","abstract_has_math":false,"creators":["khamis, Wahida Ameir"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2016,"date_issued":"2016","date_published":"2016","updated_at":"2026-07-24T03:40:45Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["khamis, Wahida Ameir"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2016"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2016"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary Studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1853/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1853/1/WAHIDA_1_New1.docx"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumuni mahususi mawili yalitimizwa. Madhumuni hayo yalihusu kuchunguza na kutathmini dhamira za nyimbo za Siti binti Saad na kubainisha mbinu za kisanii zilizotumiwa na msanii huyo katika kuibua dhamira. Mtafiti ametumia mbinu za uchambuzi wa kifasihi, usaili katika kukusanya data za utafiti. Mikabala ya kimaelezo na ule wakifasihi ndiyo iliyotumika katika kuchambua data za utafiti wetu.Kwa jumla, utafiti umeweza kukusanya data ambazo zimeweza kujibu maswali yaliyoulizwa kutokana na madhumuni mahsusi yautafiti huu ambapo imedhihirika kwamba, nyimbo za Siti binti Saad zimeshehenidhamira za matabaka utamaduni na mapenzi.Pia imebainika kwamba mbinu za kisanaa zimetumika kujenga dhamira, miongoni mwa dhamira zilizoibuliwa na matabaka utamaduni na mapenzi. Mbinu za kisaniizilizotumika ni kama mbinu ya simulizi, takriri, tashbiha, tash-hisi, ishara, misemo na muingiliano wa tanzu. Mwishoni mwa utafiti, kumetolewa mapendekezo kwa ajili ya tafiti zijazobaadae katika uwanja wa nyimbo za Siti binti Saad katika vipengele vyengine vya fani na maudhui kama vile matumizi ya lugha kwa upana zaidi, muundo, falsafa, ujumbe na maadili, mtazamo na msimamo."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Kuchunguza Dhamira za Nyimbo za Siti Bint Saad"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["khamis, Wahida Ameir"],"dc:date":["2016"],"dc:date.issued":["2016"],"dc:description.abstract":["Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumuni mahususi mawili yalitimizwa. Madhumuni hayo yalihusu kuchunguza na kutathmini dhamira za nyimbo za Siti binti Saad na kubainisha mbinu za kisanii zilizotumiwa na msanii huyo katika kuibua dhamira. Mtafiti ametumia mbinu za uchambuzi wa kifasihi, usaili katika kukusanya data za utafiti. Mikabala ya kimaelezo na ule wakifasihi ndiyo iliyotumika katika kuchambua data za utafiti wetu.Kwa jumla, utafiti umeweza kukusanya data ambazo zimeweza kujibu maswali yaliyoulizwa kutokana na madhumuni mahsusi yautafiti huu ambapo imedhihirika kwamba, nyimbo za Siti binti Saad zimeshehenidhamira za matabaka utamaduni na mapenzi.Pia imebainika kwamba mbinu za kisanaa zimetumika kujenga dhamira, miongoni mwa dhamira zilizoibuliwa na matabaka utamaduni na mapenzi. Mbinu za kisaniizilizotumika ni kama mbinu ya simulizi, takriri, tashbiha, tash-hisi, ishara, misemo na muingiliano wa tanzu. Mwishoni mwa utafiti, kumetolewa mapendekezo kwa ajili ya tafiti zijazobaadae katika uwanja wa nyimbo za Siti binti Saad katika vipengele vyengine vya fani na maudhui kama vile matumizi ya lugha kwa upana zaidi, muundo, falsafa, ujumbe na maadili, mtazamo na msimamo."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1853/1/WAHIDA_1_New1.docx"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary Studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1853/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Kuchunguza Dhamira za Nyimbo za Siti Bint Saad"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:45Z"}