{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1836"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1836","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Kuchunguza fani na dhamira katika semi zilizoandikwa katika vyombo vya safari vya Baharini Kisiwani Pemba","abstract":"Utafiti huu unalenga kuchunguza fani na dhamira katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani pemba semi hizo zinatumika katika shughuli za maisha ya wapemba ambapo zimeibua dhamira mbalimbali. Utafiti huu ulikua na malengo kama yafuatayo:lengo kuu la utafiti huu ni kuchukunguza fani na dhamira katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani pemba. Malengo mahasusi ni: 1. kubainisha semi katika vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba 2. Kuonesha mbinu za kisanaa zilizotumika katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba 3. Kueleza dhamira zinazopatikana katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba.Utafiti huu umefanyika Tumbe wilaya ya Micheweni na Kojani wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba. Mbinu zilizotumika katika kukusanya data ni mbinu ya uwandani na mbinu ya maktabani, njia zilizotumika ni mahojiano na uchunguzi makini. utafiti huu ulitumia sampuli ya wazee vijana na walimu wa somo la kiswahili shule za sekondari.Nadharia zilizotumika katika utafiti huu ni nadharia ya simiotiki na nadharia ya muitiko wa msomaji. Kwa ujumla matokeo ya utafiti huu yanaonyesha kuwa Wapemba wanazo semi zinazotumika katika vyombo vya baharini. Semi zilizoandikwa katika vyombo vya baharini, zimetumika mbinu mbalimbali za kisanaa, mbinu hizo ni pamoja na tashtiti,taswira, kejeli, methali, misemo,simo, sitiri na kadhalika. Pia mtafiti aligundua kuwa semi hizo zina dhamira mbalimbali.","abstract_html":"Utafiti huu unalenga kuchunguza fani na dhamira katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani pemba semi hizo zinatumika katika shughuli za maisha ya wapemba ambapo zimeibua dhamira mbalimbali. Utafiti huu ulikua na malengo kama yafuatayo:lengo kuu la utafiti huu ni kuchukunguza fani na dhamira katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani pemba. Malengo mahasusi ni: 1. kubainisha semi katika vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba 2. Kuonesha mbinu za kisanaa zilizotumika katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba 3. Kueleza dhamira zinazopatikana katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba.Utafiti huu umefanyika Tumbe wilaya ya Micheweni na Kojani wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba. Mbinu zilizotumika katika kukusanya data ni mbinu ya uwandani na mbinu ya maktabani, njia zilizotumika ni mahojiano na uchunguzi makini. utafiti huu ulitumia sampuli ya wazee vijana na walimu wa somo la kiswahili shule za sekondari.Nadharia zilizotumika katika utafiti huu ni nadharia ya simiotiki na nadharia ya muitiko wa msomaji. Kwa ujumla matokeo ya utafiti huu yanaonyesha kuwa Wapemba wanazo semi zinazotumika katika vyombo vya baharini. Semi zilizoandikwa katika vyombo vya baharini, zimetumika mbinu mbalimbali za kisanaa, mbinu hizo ni pamoja na tashtiti,taswira, kejeli, methali, misemo,simo, sitiri na kadhalika. Pia mtafiti aligundua kuwa semi hizo zina dhamira mbalimbali.","abstract_has_math":false,"creators":["Juma, Nassor Hamad"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2016,"date_issued":"2016","date_published":"2016","updated_at":"2026-07-24T03:40:45Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Juma, Nassor Hamad"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2016"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2016"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary Studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1836/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1836/1/UTAFITI_WA_NASSOOR_PEMBA_3_GLORY_-_Copy.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Utafiti huu unalenga kuchunguza fani na dhamira katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani pemba semi hizo zinatumika katika shughuli za maisha ya wapemba ambapo zimeibua dhamira mbalimbali. Utafiti huu ulikua na malengo kama yafuatayo:lengo kuu la utafiti huu ni kuchukunguza fani na dhamira katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani pemba. Malengo mahasusi ni: 1. kubainisha semi katika vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba 2. Kuonesha mbinu za kisanaa zilizotumika katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba 3. Kueleza dhamira zinazopatikana katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba.Utafiti huu umefanyika Tumbe wilaya ya Micheweni na Kojani wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba. Mbinu zilizotumika katika kukusanya data ni mbinu ya uwandani na mbinu ya maktabani, njia zilizotumika ni mahojiano na uchunguzi makini. utafiti huu ulitumia sampuli ya wazee vijana na walimu wa somo la kiswahili shule za sekondari.Nadharia zilizotumika katika utafiti huu ni nadharia ya simiotiki na nadharia ya muitiko wa msomaji. Kwa ujumla matokeo ya utafiti huu yanaonyesha kuwa Wapemba wanazo semi zinazotumika katika vyombo vya baharini. Semi zilizoandikwa katika vyombo vya baharini, zimetumika mbinu mbalimbali za kisanaa, mbinu hizo ni pamoja na tashtiti,taswira, kejeli, methali, misemo,simo, sitiri na kadhalika. Pia mtafiti aligundua kuwa semi hizo zina dhamira mbalimbali."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Kuchunguza fani na dhamira katika semi zilizoandikwa katika vyombo vya safari vya Baharini Kisiwani Pemba"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Juma, Nassor Hamad"],"dc:date":["2016"],"dc:date.issued":["2016"],"dc:description.abstract":["Utafiti huu unalenga kuchunguza fani na dhamira katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani pemba semi hizo zinatumika katika shughuli za maisha ya wapemba ambapo zimeibua dhamira mbalimbali. Utafiti huu ulikua na malengo kama yafuatayo:lengo kuu la utafiti huu ni kuchukunguza fani na dhamira katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani pemba. Malengo mahasusi ni: 1. kubainisha semi katika vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba 2. Kuonesha mbinu za kisanaa zilizotumika katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba 3. Kueleza dhamira zinazopatikana katika semi za vyombo vya safari vya baharini kisiwani Pemba.Utafiti huu umefanyika Tumbe wilaya ya Micheweni na Kojani wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba. Mbinu zilizotumika katika kukusanya data ni mbinu ya uwandani na mbinu ya maktabani, njia zilizotumika ni mahojiano na uchunguzi makini. utafiti huu ulitumia sampuli ya wazee vijana na walimu wa somo la kiswahili shule za sekondari.Nadharia zilizotumika katika utafiti huu ni nadharia ya simiotiki na nadharia ya muitiko wa msomaji. Kwa ujumla matokeo ya utafiti huu yanaonyesha kuwa Wapemba wanazo semi zinazotumika katika vyombo vya baharini. Semi zilizoandikwa katika vyombo vya baharini, zimetumika mbinu mbalimbali za kisanaa, mbinu hizo ni pamoja na tashtiti,taswira, kejeli, methali, misemo,simo, sitiri na kadhalika. Pia mtafiti aligundua kuwa semi hizo zina dhamira mbalimbali."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1836/1/UTAFITI_WA_NASSOOR_PEMBA_3_GLORY_-_Copy.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary Studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1836/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Kuchunguza fani na dhamira katika semi zilizoandikwa katika vyombo vya safari vya Baharini Kisiwani Pemba"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:45Z"}