{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1712"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1712","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Viambishi njeo katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba : Uchanganuzi wa kimofofonolojia kuonesha muundo ndani na muundo nje","abstract":"Kazi hii inachambua mofofonolojia ya vitenzi vya lahaja ya Kipemba kuonesha muundo ndani na muundo nje . Utafiti ulilenga ubainisha mambo matatu; kwanza kuchunguza viambishi njeo katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba; pili kueleza michakato ya kimofofonolojia inayojitokeza katika kubadilisha miundo ndani na miundo nje; na tatu kudhihirisha kanuni zinazotawala mabadiliko ya muundo ndani na muundo nje katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba. Utafiti huu ulifanyika katika Shehia ya Mtambwe Kaskazini katika jimbo la Mtambwe ambalo lilihusisha kijiji cha Kele, Uondwe, Mpakanjia, Jambaji, Kiapaka na Chanjaani. Watoa taarifa za utafiti walikuwa wakaazi asilia wa Mtambwe Kaskazini wenye umri kati ya miaka sitini nakuendelea ambao waliteuliwa kumi kutoka kila kijiji kwa njia ya usampulishaji bahati nasibu. Mbinu mbalimbali za utafiti zilitumika katika utafiti huu zikiwemo mbinu ya dodoso, usaili na uchunguzi makini. Matokeo ya utafiti yameonyesha michakato ya kimofofonolojia inavyojitokeza kwenye mabadiliko kutoka muundo ndani kwenda muundo nje katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba na kubainisha kanuni zinazotawala mabadiliko yanayotokea kutoka muundo ndani kwenda muundo nje katika vitenzi vya lahaja za Kipemba.","abstract_html":"Kazi hii inachambua mofofonolojia ya vitenzi vya lahaja ya Kipemba kuonesha muundo ndani na muundo nje . Utafiti ulilenga ubainisha mambo matatu; kwanza kuchunguza viambishi njeo katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba; pili kueleza michakato ya kimofofonolojia inayojitokeza katika kubadilisha miundo ndani na miundo nje; na tatu kudhihirisha kanuni zinazotawala mabadiliko ya muundo ndani na muundo nje katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba. Utafiti huu ulifanyika katika Shehia ya Mtambwe Kaskazini katika jimbo la Mtambwe ambalo lilihusisha kijiji cha Kele, Uondwe, Mpakanjia, Jambaji, Kiapaka na Chanjaani. Watoa taarifa za utafiti walikuwa wakaazi asilia wa Mtambwe Kaskazini wenye umri kati ya miaka sitini nakuendelea ambao waliteuliwa kumi kutoka kila kijiji kwa njia ya usampulishaji bahati nasibu. Mbinu mbalimbali za utafiti zilitumika katika utafiti huu zikiwemo mbinu ya dodoso, usaili na uchunguzi makini. Matokeo ya utafiti yameonyesha michakato ya kimofofonolojia inavyojitokeza kwenye mabadiliko kutoka muundo ndani kwenda muundo nje katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba na kubainisha kanuni zinazotawala mabadiliko yanayotokea kutoka muundo ndani kwenda muundo nje katika vitenzi vya lahaja za Kipemba.","abstract_has_math":false,"creators":["Abdulla, Halima Salim"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2016,"date_issued":"2016","date_published":"2016","updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Abdulla, Halima Salim"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2016"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2016"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary Studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1712/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1712/1/HALIMA_SALIM_ABDULLA.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Kazi hii inachambua mofofonolojia ya vitenzi vya lahaja ya Kipemba kuonesha muundo ndani na muundo nje . Utafiti ulilenga ubainisha mambo matatu; kwanza kuchunguza viambishi njeo katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba; pili kueleza michakato ya kimofofonolojia inayojitokeza katika kubadilisha miundo ndani na miundo nje; na tatu kudhihirisha kanuni zinazotawala mabadiliko ya muundo ndani na muundo nje katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba. Utafiti huu ulifanyika katika Shehia ya Mtambwe Kaskazini katika jimbo la Mtambwe ambalo lilihusisha kijiji cha Kele, Uondwe, Mpakanjia, Jambaji, Kiapaka na Chanjaani. Watoa taarifa za utafiti walikuwa wakaazi asilia wa Mtambwe Kaskazini wenye umri kati ya miaka sitini nakuendelea ambao waliteuliwa kumi kutoka kila kijiji kwa njia ya usampulishaji bahati nasibu. Mbinu mbalimbali za utafiti zilitumika katika utafiti huu zikiwemo mbinu ya dodoso, usaili na uchunguzi makini. Matokeo ya utafiti yameonyesha michakato ya kimofofonolojia inavyojitokeza kwenye mabadiliko kutoka muundo ndani kwenda muundo nje katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba na kubainisha kanuni zinazotawala mabadiliko yanayotokea kutoka muundo ndani kwenda muundo nje katika vitenzi vya lahaja za Kipemba."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Viambishi njeo katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba : Uchanganuzi wa kimofofonolojia kuonesha muundo ndani na muundo nje"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Abdulla, Halima Salim"],"dc:date":["2016"],"dc:date.issued":["2016"],"dc:description.abstract":["Kazi hii inachambua mofofonolojia ya vitenzi vya lahaja ya Kipemba kuonesha muundo ndani na muundo nje . Utafiti ulilenga ubainisha mambo matatu; kwanza kuchunguza viambishi njeo katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba; pili kueleza michakato ya kimofofonolojia inayojitokeza katika kubadilisha miundo ndani na miundo nje; na tatu kudhihirisha kanuni zinazotawala mabadiliko ya muundo ndani na muundo nje katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba. Utafiti huu ulifanyika katika Shehia ya Mtambwe Kaskazini katika jimbo la Mtambwe ambalo lilihusisha kijiji cha Kele, Uondwe, Mpakanjia, Jambaji, Kiapaka na Chanjaani. Watoa taarifa za utafiti walikuwa wakaazi asilia wa Mtambwe Kaskazini wenye umri kati ya miaka sitini nakuendelea ambao waliteuliwa kumi kutoka kila kijiji kwa njia ya usampulishaji bahati nasibu. Mbinu mbalimbali za utafiti zilitumika katika utafiti huu zikiwemo mbinu ya dodoso, usaili na uchunguzi makini. Matokeo ya utafiti yameonyesha michakato ya kimofofonolojia inavyojitokeza kwenye mabadiliko kutoka muundo ndani kwenda muundo nje katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba na kubainisha kanuni zinazotawala mabadiliko yanayotokea kutoka muundo ndani kwenda muundo nje katika vitenzi vya lahaja za Kipemba."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1712/1/HALIMA_SALIM_ABDULLA.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary Studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1712/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Viambishi njeo katika vitenzi vya lahaja ya Kipemba : Uchanganuzi wa kimofofonolojia kuonesha muundo ndani na muundo nje"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z"}