{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1621"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1621","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Kuchunguza Dhamira za Nyimbo za Uganga Katika Jamii za Waswahili Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba","abstract":"Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhamira za nyimbo za Uganga katika jammi za waswahili Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba. Ili kutimiza lengo hili kuu tulikuwa na madhumuni mahususi matatu ambayo ni kubainisha dhamira zinazopatikana katika nyimbo za uganga, kufafanua undani wa dhamira za nyimbo za uganga zilimo katika jamii ya watu wa Kusini Pemba na kufafanua vipengele vya kifani vinavyosaidia kuibua dhamira zinazojitokeza katika nyimbo za uganga. Data za utafiti zimekusanywa kwa kutumia njia ya usaili na njia shirikishi katika maskanini. Data hizo zilikusanywa na kuchambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo. Vile vile njia za kimaktaba zilitumika kwa mtafiti kwa ajili ya kujisomea kazi tangulizi na maandiko tafauti kwa lengo la kujiongezea maarifa na kufanikisha utafiti wake. Pia uchambuzi wa data ulifanywa kwa kutumia mkabala wa kinadharia. Nadharia zilizotumika ni Simiotiki na Mwitiko wa Msomaji. Ama kuhusu matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa kwenye nyimbo za uganga kuna siri ambazo zimejificha na zilihitajika kuwekwa bayana na mtafiti. Kwa upande wa dhamira zilizojitokeza katika nyimbo za uganga zilitoa dhamira kama vile suala la Mmongonyoko wa Maadili, umoja na mshikamano, malezi, matabaka na kadhalika. Mwisho matfiti alitoa hitimisho, mapendekezo ya tafiti nyingine zifanyika katika muktadha wa uganga kwa kuangalia misamiati na njungu katika tiba ya uganga na kuiomba jamii yake iziendeleze tiba za asili katika fani ya uganga.","abstract_html":"Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhamira za nyimbo za Uganga katika jammi za waswahili Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba. Ili kutimiza lengo hili kuu tulikuwa na madhumuni mahususi matatu ambayo ni kubainisha dhamira zinazopatikana katika nyimbo za uganga, kufafanua undani wa dhamira za nyimbo za uganga zilimo katika jamii ya watu wa Kusini Pemba na kufafanua vipengele vya kifani vinavyosaidia kuibua dhamira zinazojitokeza katika nyimbo za uganga. Data za utafiti zimekusanywa kwa kutumia njia ya usaili na njia shirikishi katika maskanini. Data hizo zilikusanywa na kuchambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo. Vile vile njia za kimaktaba zilitumika kwa mtafiti kwa ajili ya kujisomea kazi tangulizi na maandiko tafauti kwa lengo la kujiongezea maarifa na kufanikisha utafiti wake. Pia uchambuzi wa data ulifanywa kwa kutumia mkabala wa kinadharia. Nadharia zilizotumika ni Simiotiki na Mwitiko wa Msomaji. Ama kuhusu matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa kwenye nyimbo za uganga kuna siri ambazo zimejificha na zilihitajika kuwekwa bayana na mtafiti. Kwa upande wa dhamira zilizojitokeza katika nyimbo za uganga zilitoa dhamira kama vile suala la Mmongonyoko wa Maadili, umoja na mshikamano, malezi, matabaka na kadhalika. Mwisho matfiti alitoa hitimisho, mapendekezo ya tafiti nyingine zifanyika katika muktadha wa uganga kwa kuangalia misamiati na njungu katika tiba ya uganga na kuiomba jamii yake iziendeleze tiba za asili katika fani ya uganga.","abstract_has_math":false,"creators":["Ali, Mussa Yussuf"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2016,"date_issued":"2016","date_published":"2016","updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Ali, Mussa Yussuf"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2016"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2016"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1621/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1621/1/UTAFITI_-_MUSSA_YUSUF_ALI_-FINAL.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhamira za nyimbo za Uganga katika jammi za waswahili Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba. Ili kutimiza lengo hili kuu tulikuwa na madhumuni mahususi matatu ambayo ni kubainisha dhamira zinazopatikana katika nyimbo za uganga, kufafanua undani wa dhamira za nyimbo za uganga zilimo katika jamii ya watu wa Kusini Pemba na kufafanua vipengele vya kifani vinavyosaidia kuibua dhamira zinazojitokeza katika nyimbo za uganga. Data za utafiti zimekusanywa kwa kutumia njia ya usaili na njia shirikishi katika maskanini. Data hizo zilikusanywa na kuchambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo. Vile vile njia za kimaktaba zilitumika kwa mtafiti kwa ajili ya kujisomea kazi tangulizi na maandiko tafauti kwa lengo la kujiongezea maarifa na kufanikisha utafiti wake. Pia uchambuzi wa data ulifanywa kwa kutumia mkabala wa kinadharia. Nadharia zilizotumika ni Simiotiki na Mwitiko wa Msomaji. Ama kuhusu matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa kwenye nyimbo za uganga kuna siri ambazo zimejificha na zilihitajika kuwekwa bayana na mtafiti. Kwa upande wa dhamira zilizojitokeza katika nyimbo za uganga zilitoa dhamira kama vile suala la Mmongonyoko wa Maadili, umoja na mshikamano, malezi, matabaka na kadhalika. Mwisho matfiti alitoa hitimisho, mapendekezo ya tafiti nyingine zifanyika katika muktadha wa uganga kwa kuangalia misamiati na njungu katika tiba ya uganga na kuiomba jamii yake iziendeleze tiba za asili katika fani ya uganga."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Kuchunguza Dhamira za Nyimbo za Uganga Katika Jamii za Waswahili Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Ali, Mussa Yussuf"],"dc:date":["2016"],"dc:date.issued":["2016"],"dc:description.abstract":["Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhamira za nyimbo za Uganga katika jammi za waswahili Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba. Ili kutimiza lengo hili kuu tulikuwa na madhumuni mahususi matatu ambayo ni kubainisha dhamira zinazopatikana katika nyimbo za uganga, kufafanua undani wa dhamira za nyimbo za uganga zilimo katika jamii ya watu wa Kusini Pemba na kufafanua vipengele vya kifani vinavyosaidia kuibua dhamira zinazojitokeza katika nyimbo za uganga. Data za utafiti zimekusanywa kwa kutumia njia ya usaili na njia shirikishi katika maskanini. Data hizo zilikusanywa na kuchambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo. Vile vile njia za kimaktaba zilitumika kwa mtafiti kwa ajili ya kujisomea kazi tangulizi na maandiko tafauti kwa lengo la kujiongezea maarifa na kufanikisha utafiti wake. Pia uchambuzi wa data ulifanywa kwa kutumia mkabala wa kinadharia. Nadharia zilizotumika ni Simiotiki na Mwitiko wa Msomaji. Ama kuhusu matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa kwenye nyimbo za uganga kuna siri ambazo zimejificha na zilihitajika kuwekwa bayana na mtafiti. Kwa upande wa dhamira zilizojitokeza katika nyimbo za uganga zilitoa dhamira kama vile suala la Mmongonyoko wa Maadili, umoja na mshikamano, malezi, matabaka na kadhalika. Mwisho matfiti alitoa hitimisho, mapendekezo ya tafiti nyingine zifanyika katika muktadha wa uganga kwa kuangalia misamiati na njungu katika tiba ya uganga na kuiomba jamii yake iziendeleze tiba za asili katika fani ya uganga."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1621/1/UTAFITI_-_MUSSA_YUSUF_ALI_-FINAL.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1621/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Kuchunguza Dhamira za Nyimbo za Uganga Katika Jamii za Waswahili Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z"}