{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1612"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1612","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Mtindo katika Riwaya ya Marimba ya Majaliwa ya Edwin Semzaba","abstract":"Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchambua matumizi ya mtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Malengo mahususi yalikuwa mawili ambayo ni kuchambua matumizi ya mtindo yanayohusiana na lugha katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa na kubainisha matumizi ya mtindo yanayohusiana na vipengele vinginevyo vya kimtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Data za utafiti zimekusanywa kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka. Data hizo zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia ya Simiotiki. Kwa upande wa lengo mahususi la kwanza, matokeo ya utafiti yanabainisha kuwa matumizi ya kimtindo ya lugha ni pamoja na tamathali za usemi za tashibiha, chuku na takriri. Pia kuna matumizi ya methali na Kiswahili cha kimaeneo. Kwa upande wa lengo mahususi la pili, matokeo ya utafiti ni kuwa vipengele vingine vya kimtindo vilivyotumika katika riwaya teule ni matumizi ya nyimbo, hadithi ndani ya hadithi, mwingiliano matini, tanzu ndani ya tanzu ndani ya tanzu na uhalisia mazingaombwe.","abstract_html":"Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchambua matumizi ya mtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Malengo mahususi yalikuwa mawili ambayo ni kuchambua matumizi ya mtindo yanayohusiana na lugha katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa na kubainisha matumizi ya mtindo yanayohusiana na vipengele vinginevyo vya kimtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Data za utafiti zimekusanywa kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka. Data hizo zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia ya Simiotiki. Kwa upande wa lengo mahususi la kwanza, matokeo ya utafiti yanabainisha kuwa matumizi ya kimtindo ya lugha ni pamoja na tamathali za usemi za tashibiha, chuku na takriri. Pia kuna matumizi ya methali na Kiswahili cha kimaeneo. Kwa upande wa lengo mahususi la pili, matokeo ya utafiti ni kuwa vipengele vingine vya kimtindo vilivyotumika katika riwaya teule ni matumizi ya nyimbo, hadithi ndani ya hadithi, mwingiliano matini, tanzu ndani ya tanzu ndani ya tanzu na uhalisia mazingaombwe.","abstract_has_math":false,"creators":["Silavwe, Martha Isaack"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2016,"date_issued":"2016","date_published":"2016","updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Silavwe, Martha Isaack"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2016"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2016"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1612/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1612/1/TASINIFU_YA_MARTHA_23-12-2016-2.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchambua matumizi ya mtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Malengo mahususi yalikuwa mawili ambayo ni kuchambua matumizi ya mtindo yanayohusiana na lugha katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa na kubainisha matumizi ya mtindo yanayohusiana na vipengele vinginevyo vya kimtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Data za utafiti zimekusanywa kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka. Data hizo zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia ya Simiotiki. Kwa upande wa lengo mahususi la kwanza, matokeo ya utafiti yanabainisha kuwa matumizi ya kimtindo ya lugha ni pamoja na tamathali za usemi za tashibiha, chuku na takriri. Pia kuna matumizi ya methali na Kiswahili cha kimaeneo. Kwa upande wa lengo mahususi la pili, matokeo ya utafiti ni kuwa vipengele vingine vya kimtindo vilivyotumika katika riwaya teule ni matumizi ya nyimbo, hadithi ndani ya hadithi, mwingiliano matini, tanzu ndani ya tanzu ndani ya tanzu na uhalisia mazingaombwe."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Mtindo katika Riwaya ya Marimba ya Majaliwa ya Edwin Semzaba"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Silavwe, Martha Isaack"],"dc:date":["2016"],"dc:date.issued":["2016"],"dc:description.abstract":["Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchambua matumizi ya mtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Malengo mahususi yalikuwa mawili ambayo ni kuchambua matumizi ya mtindo yanayohusiana na lugha katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa na kubainisha matumizi ya mtindo yanayohusiana na vipengele vinginevyo vya kimtindo katika riwaya ya Marimba ya Majaliwa. Data za utafiti zimekusanywa kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka. Data hizo zilizokusanywa zilichambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia ya Simiotiki. Kwa upande wa lengo mahususi la kwanza, matokeo ya utafiti yanabainisha kuwa matumizi ya kimtindo ya lugha ni pamoja na tamathali za usemi za tashibiha, chuku na takriri. Pia kuna matumizi ya methali na Kiswahili cha kimaeneo. Kwa upande wa lengo mahususi la pili, matokeo ya utafiti ni kuwa vipengele vingine vya kimtindo vilivyotumika katika riwaya teule ni matumizi ya nyimbo, hadithi ndani ya hadithi, mwingiliano matini, tanzu ndani ya tanzu ndani ya tanzu na uhalisia mazingaombwe."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1612/1/TASINIFU_YA_MARTHA_23-12-2016-2.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1612/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Mtindo katika Riwaya ya Marimba ya Majaliwa ya Edwin Semzaba"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z"}