{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1579"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1579","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Ujidhihirishaji wa Mofu Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu","abstract":"Kazi hii ilihusika na Ujidhihirishaji wa Mofu zinazowakilisha Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti linganishi wa lahaja ya Kipemba na Kiswahili sanifu. Utafiti huu ulikuwa na malengo mawili ambayo ni kulinganisha ujidhihirishaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na Kipemba pamoja na kuchunguza namna mabadiliko ya kimofofonolojia yanavyoathiri maumbo ya mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na lahaja ya Kipemba. Ili kufikia lengo kuu lililokusudiwa mbinu mbalimbali za utafiti zilihusika, ambazo ni hojaji, mahojiano pamoja na mbinu shirikishi. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni nadharia ya Mofofonolojia. Sampuli iliyotumika ni watu sitini na tano kutoka Pemba. Kwa upande wa matokeo ya utafiti, yanabainisha kwamba, kunatofauti kubwa ya udhihirikaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kipemba na Kiswahili sanifu, tofauti ambayo ipo katika vipengele viwili kwanza idadi ya maumbo ya mofu nafsi katika lahaja ya Kipemba ni kubwa kuliko Kiswahili sanifu. Pili mwonekano wa maumbo ya mofu nafsi na njeo na jinsi ya utendaji kazi wake. Aidha utafiti umebaini kuwa kuna mabadiliko ya kimofofonolojia ambayo yanayoathiri maumbo ya mofu nafsi na njeo katika lahaja ya Kipemba. Mabadiliko hayo huathiri muundo wa msingi wa mofu hizo. Utafiti umependekeza mambo kadhaa ya kuyafanyia kazi. Kwanza utafiti wa mofolojia unaohusu ulinganifu wa ujidhihirishaji wa mofu katika lahaja za Kiswahili unahitajika. Pia tunapendekeza kuwa, uchunguzi juu ya mofolojia ya lahaja mbali mbali unahitajika ili tuweze kuziba pengo liliopo.","abstract_html":"Kazi hii ilihusika na Ujidhihirishaji wa Mofu zinazowakilisha Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti linganishi wa lahaja ya Kipemba na Kiswahili sanifu. Utafiti huu ulikuwa na malengo mawili ambayo ni kulinganisha ujidhihirishaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na Kipemba pamoja na kuchunguza namna mabadiliko ya kimofofonolojia yanavyoathiri maumbo ya mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na lahaja ya Kipemba. Ili kufikia lengo kuu lililokusudiwa mbinu mbalimbali za utafiti zilihusika, ambazo ni hojaji, mahojiano pamoja na mbinu shirikishi. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni nadharia ya Mofofonolojia. Sampuli iliyotumika ni watu sitini na tano kutoka Pemba. Kwa upande wa matokeo ya utafiti, yanabainisha kwamba, kunatofauti kubwa ya udhihirikaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kipemba na Kiswahili sanifu, tofauti ambayo ipo katika vipengele viwili kwanza idadi ya maumbo ya mofu nafsi katika lahaja ya Kipemba ni kubwa kuliko Kiswahili sanifu. Pili mwonekano wa maumbo ya mofu nafsi na njeo na jinsi ya utendaji kazi wake. Aidha utafiti umebaini kuwa kuna mabadiliko ya kimofofonolojia ambayo yanayoathiri maumbo ya mofu nafsi na njeo katika lahaja ya Kipemba. Mabadiliko hayo huathiri muundo wa msingi wa mofu hizo. Utafiti umependekeza mambo kadhaa ya kuyafanyia kazi. Kwanza utafiti wa mofolojia unaohusu ulinganifu wa ujidhihirishaji wa mofu katika lahaja za Kiswahili unahitajika. Pia tunapendekeza kuwa, uchunguzi juu ya mofolojia ya lahaja mbali mbali unahitajika ili tuweze kuziba pengo liliopo.","abstract_has_math":false,"creators":["Hassan, Hafsa Sadra"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2016,"date_issued":"2016","date_published":"2016","updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Hassan, Hafsa Sadra"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2016"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2016"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1579/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1579/1/HAFSA-_FINAL_latest.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Kazi hii ilihusika na Ujidhihirishaji wa Mofu zinazowakilisha Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti linganishi wa lahaja ya Kipemba na Kiswahili sanifu. Utafiti huu ulikuwa na malengo mawili ambayo ni kulinganisha ujidhihirishaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na Kipemba pamoja na kuchunguza namna mabadiliko ya kimofofonolojia yanavyoathiri maumbo ya mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na lahaja ya Kipemba. Ili kufikia lengo kuu lililokusudiwa mbinu mbalimbali za utafiti zilihusika, ambazo ni hojaji, mahojiano pamoja na mbinu shirikishi. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni nadharia ya Mofofonolojia. Sampuli iliyotumika ni watu sitini na tano kutoka Pemba. Kwa upande wa matokeo ya utafiti, yanabainisha kwamba, kunatofauti kubwa ya udhihirikaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kipemba na Kiswahili sanifu, tofauti ambayo ipo katika vipengele viwili kwanza idadi ya maumbo ya mofu nafsi katika lahaja ya Kipemba ni kubwa kuliko Kiswahili sanifu. Pili mwonekano wa maumbo ya mofu nafsi na njeo na jinsi ya utendaji kazi wake. Aidha utafiti umebaini kuwa kuna mabadiliko ya kimofofonolojia ambayo yanayoathiri maumbo ya mofu nafsi na njeo katika lahaja ya Kipemba. Mabadiliko hayo huathiri muundo wa msingi wa mofu hizo. Utafiti umependekeza mambo kadhaa ya kuyafanyia kazi. Kwanza utafiti wa mofolojia unaohusu ulinganifu wa ujidhihirishaji wa mofu katika lahaja za Kiswahili unahitajika. Pia tunapendekeza kuwa, uchunguzi juu ya mofolojia ya lahaja mbali mbali unahitajika ili tuweze kuziba pengo liliopo."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Ujidhihirishaji wa Mofu Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Hassan, Hafsa Sadra"],"dc:date":["2016"],"dc:date.issued":["2016"],"dc:description.abstract":["Kazi hii ilihusika na Ujidhihirishaji wa Mofu zinazowakilisha Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti linganishi wa lahaja ya Kipemba na Kiswahili sanifu. Utafiti huu ulikuwa na malengo mawili ambayo ni kulinganisha ujidhihirishaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na Kipemba pamoja na kuchunguza namna mabadiliko ya kimofofonolojia yanavyoathiri maumbo ya mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na lahaja ya Kipemba. Ili kufikia lengo kuu lililokusudiwa mbinu mbalimbali za utafiti zilihusika, ambazo ni hojaji, mahojiano pamoja na mbinu shirikishi. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni nadharia ya Mofofonolojia. Sampuli iliyotumika ni watu sitini na tano kutoka Pemba. Kwa upande wa matokeo ya utafiti, yanabainisha kwamba, kunatofauti kubwa ya udhihirikaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kipemba na Kiswahili sanifu, tofauti ambayo ipo katika vipengele viwili kwanza idadi ya maumbo ya mofu nafsi katika lahaja ya Kipemba ni kubwa kuliko Kiswahili sanifu. Pili mwonekano wa maumbo ya mofu nafsi na njeo na jinsi ya utendaji kazi wake. Aidha utafiti umebaini kuwa kuna mabadiliko ya kimofofonolojia ambayo yanayoathiri maumbo ya mofu nafsi na njeo katika lahaja ya Kipemba. Mabadiliko hayo huathiri muundo wa msingi wa mofu hizo. Utafiti umependekeza mambo kadhaa ya kuyafanyia kazi. Kwanza utafiti wa mofolojia unaohusu ulinganifu wa ujidhihirishaji wa mofu katika lahaja za Kiswahili unahitajika. Pia tunapendekeza kuwa, uchunguzi juu ya mofolojia ya lahaja mbali mbali unahitajika ili tuweze kuziba pengo liliopo."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1579/1/HAFSA-_FINAL_latest.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1579/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Ujidhihirishaji wa Mofu Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:41Z"}