{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1533"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1533","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Tofauti za Kimofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini.","abstract":"Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kuchunguza tofauti za kimofofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na Kipemba cha Kusini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuitafiti lahaja ya Kipemba . Data ya uwandani ya utafiti huu ilikusanywa kwa kutumia mbinu za dodoso, mahojiano na ushuhudiaji ambapo sampuli-kusudio na sampuli eneo zilitumika kwa ajili ya kuchagua watoa taarifa kwa vigezo vya umri na ukazi. Nadharia ya Isimu Historia na Linganishi imetumika katika kukusanya na kuchambua data ya utafiti huu. Nadharia hii imesaidia kubaini tofauti za kimofofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini. Katika kipengele cha kifonolojia ambacho kimechunguzwa, matokeo ya utafiti yanaonyesha kwamba kuna tofauti za kifonolojia zinazotokana na mpishano wa sauti, uchopekaji na udondoshaji wa sauti, ukaakaaishaji na matumizi ya mpumuo. Kwa upande wa tofauti za kimofolojia, nazo zimejibainisha katika viambishi awali vya ngeli za nomino na uhamaji wa ngeli. Pia, kuna tofauti katika maumbo ya kitenzi katika viambishi vya nafsi, njeo, miishio ya baadhi ya vitenzi,utangamano wa irabu na kauli ya usababishi. Pamoja na kubainisha kuwa kuna tofauti za kifonolojia na kimofolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini, utafiti huu haukutoa hitimisho la moja kwa moja. Badala yake, tunapendekeza uchunguzi zaidi ufanyike kuchunguza asili na chimbuko la Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini.","abstract_html":"Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kuchunguza tofauti za kimofofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na Kipemba cha Kusini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuitafiti lahaja ya Kipemba . Data ya uwandani ya utafiti huu ilikusanywa kwa kutumia mbinu za dodoso, mahojiano na ushuhudiaji ambapo sampuli-kusudio na sampuli eneo zilitumika kwa ajili ya kuchagua watoa taarifa kwa vigezo vya umri na ukazi. Nadharia ya Isimu Historia na Linganishi imetumika katika kukusanya na kuchambua data ya utafiti huu. Nadharia hii imesaidia kubaini tofauti za kimofofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini. Katika kipengele cha kifonolojia ambacho kimechunguzwa, matokeo ya utafiti yanaonyesha kwamba kuna tofauti za kifonolojia zinazotokana na mpishano wa sauti, uchopekaji na udondoshaji wa sauti, ukaakaaishaji na matumizi ya mpumuo. Kwa upande wa tofauti za kimofolojia, nazo zimejibainisha katika viambishi awali vya ngeli za nomino na uhamaji wa ngeli. Pia, kuna tofauti katika maumbo ya kitenzi katika viambishi vya nafsi, njeo, miishio ya baadhi ya vitenzi,utangamano wa irabu na kauli ya usababishi. Pamoja na kubainisha kuwa kuna tofauti za kifonolojia na kimofolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini, utafiti huu haukutoa hitimisho la moja kwa moja. Badala yake, tunapendekeza uchunguzi zaidi ufanyike kuchunguza asili na chimbuko la Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini.","abstract_has_math":false,"creators":["Sharabil, Asha Bakari"],"institution":"The Open University of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2017,"date_issued":"2017","date_published":"2017","updated_at":"2026-07-24T03:40:37Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Sharabil, Asha Bakari"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2017"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2017"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary Studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1533/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1533/1/BI_ASHA_-_TASNIFU-23-01-2017.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kuchunguza tofauti za kimofofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na Kipemba cha Kusini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuitafiti lahaja ya Kipemba . Data ya uwandani ya utafiti huu ilikusanywa kwa kutumia mbinu za dodoso, mahojiano na ushuhudiaji ambapo sampuli-kusudio na sampuli eneo zilitumika kwa ajili ya kuchagua watoa taarifa kwa vigezo vya umri na ukazi. Nadharia ya Isimu Historia na Linganishi imetumika katika kukusanya na kuchambua data ya utafiti huu. Nadharia hii imesaidia kubaini tofauti za kimofofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini. Katika kipengele cha kifonolojia ambacho kimechunguzwa, matokeo ya utafiti yanaonyesha kwamba kuna tofauti za kifonolojia zinazotokana na mpishano wa sauti, uchopekaji na udondoshaji wa sauti, ukaakaaishaji na matumizi ya mpumuo. Kwa upande wa tofauti za kimofolojia, nazo zimejibainisha katika viambishi awali vya ngeli za nomino na uhamaji wa ngeli. Pia, kuna tofauti katika maumbo ya kitenzi katika viambishi vya nafsi, njeo, miishio ya baadhi ya vitenzi,utangamano wa irabu na kauli ya usababishi. Pamoja na kubainisha kuwa kuna tofauti za kifonolojia na kimofolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini, utafiti huu haukutoa hitimisho la moja kwa moja. Badala yake, tunapendekeza uchunguzi zaidi ufanyike kuchunguza asili na chimbuko la Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Tofauti za Kimofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini."]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Sharabil, Asha Bakari"],"dc:date":["2017"],"dc:date.issued":["2017"],"dc:description.abstract":["Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kuchunguza tofauti za kimofofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na Kipemba cha Kusini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuitafiti lahaja ya Kipemba . Data ya uwandani ya utafiti huu ilikusanywa kwa kutumia mbinu za dodoso, mahojiano na ushuhudiaji ambapo sampuli-kusudio na sampuli eneo zilitumika kwa ajili ya kuchagua watoa taarifa kwa vigezo vya umri na ukazi. Nadharia ya Isimu Historia na Linganishi imetumika katika kukusanya na kuchambua data ya utafiti huu. Nadharia hii imesaidia kubaini tofauti za kimofofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini. Katika kipengele cha kifonolojia ambacho kimechunguzwa, matokeo ya utafiti yanaonyesha kwamba kuna tofauti za kifonolojia zinazotokana na mpishano wa sauti, uchopekaji na udondoshaji wa sauti, ukaakaaishaji na matumizi ya mpumuo. Kwa upande wa tofauti za kimofolojia, nazo zimejibainisha katika viambishi awali vya ngeli za nomino na uhamaji wa ngeli. Pia, kuna tofauti katika maumbo ya kitenzi katika viambishi vya nafsi, njeo, miishio ya baadhi ya vitenzi,utangamano wa irabu na kauli ya usababishi. Pamoja na kubainisha kuwa kuna tofauti za kifonolojia na kimofolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini, utafiti huu haukutoa hitimisho la moja kwa moja. Badala yake, tunapendekeza uchunguzi zaidi ufanyike kuchunguza asili na chimbuko la Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1533/1/BI_ASHA_-_TASNIFU-23-01-2017.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary Studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1533/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Tofauti za Kimofonolojia baina ya Kipemba cha Kaskazini na cha Kusini."],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:37Z"}