{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1475"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1475","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Kuchunguza Dhana Zilizobebwa na Wahusika na Zinavyolandana na Majina yao: Uchunguzi katika Riwaya ya Kiu na Kiu ya Haki","abstract":"Utafiti huu unahusu kuchunguza dhana zilizobebwa na wahusika na zinavyolandana na majina yao katika riwaya ya Kiu na Kiu ya Haki. Ili kufikia lengo, mtafiti alichunguza na kubainisha wahusika, pia alichunguza mlandano wa wahusika kupitia mbinu mbali mbali na alichambua dhamira mbali mbali zilizobebwa na wahusika hao na jinsi zinavyolandana na majina yao katika riwaya teuliwa. Utafiti huu ulitumia mbinu ya maktabani. Riwaya teuliwa ziliteuliwa kwa kutumia mbinu ya malengo maalumu. Aidha, data za utafiti huu zilikusanywa na kuchambuliwa kwa mbinu ya kimaelezo kutoka katika riwaya teuliwa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya sosholojia na nadharia ya mwitiko wa msomaji. Utafiti huu uligundua kuwa, kazi hizo teuliwa zimetumia wahusika wakuu, wahusika wasaidizi na wahusika wajenzi. Pia, utafiti umegundua kuwa, waandishi wa riwaya hizo teuliwa wametumia mbinu mbali mbali za kuwasawiri wahusika na kuwafanya walandane na majina yao. Mbinu hizo ni pamoja na mbinu ya majazi au majina, kimaelezi, kidrama kuwatumia wahusika wengine, ulinganuzi na usambamba na uzungumzi nafsi wa ndani. Pia, utafiti umegundua kuwa, dhamira katika riwaya teuliwa zimelandana na majina ya wahusika. Dhamira hizo ni pamoja na umasikini, wizi na ujambazi, utamaduni, dhamira ya malezi, dhamira ya ujirani, dhamira ya mapenzi, umuhimu wa elimu, nakadhalika.","abstract_html":"Utafiti huu unahusu kuchunguza dhana zilizobebwa na wahusika na zinavyolandana na majina yao katika riwaya ya Kiu na Kiu ya Haki. Ili kufikia lengo, mtafiti alichunguza na kubainisha wahusika, pia alichunguza mlandano wa wahusika kupitia mbinu mbali mbali na alichambua dhamira mbali mbali zilizobebwa na wahusika hao na jinsi zinavyolandana na majina yao katika riwaya teuliwa. Utafiti huu ulitumia mbinu ya maktabani. Riwaya teuliwa ziliteuliwa kwa kutumia mbinu ya malengo maalumu. Aidha, data za utafiti huu zilikusanywa na kuchambuliwa kwa mbinu ya kimaelezo kutoka katika riwaya teuliwa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya sosholojia na nadharia ya mwitiko wa msomaji. Utafiti huu uligundua kuwa, kazi hizo teuliwa zimetumia wahusika wakuu, wahusika wasaidizi na wahusika wajenzi. Pia, utafiti umegundua kuwa, waandishi wa riwaya hizo teuliwa wametumia mbinu mbali mbali za kuwasawiri wahusika na kuwafanya walandane na majina yao. Mbinu hizo ni pamoja na mbinu ya majazi au majina, kimaelezi, kidrama kuwatumia wahusika wengine, ulinganuzi na usambamba na uzungumzi nafsi wa ndani. Pia, utafiti umegundua kuwa, dhamira katika riwaya teuliwa zimelandana na majina ya wahusika. Dhamira hizo ni pamoja na umasikini, wizi na ujambazi, utamaduni, dhamira ya malezi, dhamira ya ujirani, dhamira ya mapenzi, umuhimu wa elimu, nakadhalika.","abstract_has_math":false,"creators":["Ali, Amour Rashid"],"institution":"The Open University Of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2015,"date_issued":"2015","date_published":"2015","updated_at":"2026-07-24T03:40:37Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Ali, Amour Rashid"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2015"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2015"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University Of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1475/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1475/1/Tasinifu_ya_Amour_Rashid_M.A_Kiswahili.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Utafiti huu unahusu kuchunguza dhana zilizobebwa na wahusika na zinavyolandana na majina yao katika riwaya ya Kiu na Kiu ya Haki. Ili kufikia lengo, mtafiti alichunguza na kubainisha wahusika, pia alichunguza mlandano wa wahusika kupitia mbinu mbali mbali na alichambua dhamira mbali mbali zilizobebwa na wahusika hao na jinsi zinavyolandana na majina yao katika riwaya teuliwa. Utafiti huu ulitumia mbinu ya maktabani. Riwaya teuliwa ziliteuliwa kwa kutumia mbinu ya malengo maalumu. Aidha, data za utafiti huu zilikusanywa na kuchambuliwa kwa mbinu ya kimaelezo kutoka katika riwaya teuliwa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya sosholojia na nadharia ya mwitiko wa msomaji. Utafiti huu uligundua kuwa, kazi hizo teuliwa zimetumia wahusika wakuu, wahusika wasaidizi na wahusika wajenzi. Pia, utafiti umegundua kuwa, waandishi wa riwaya hizo teuliwa wametumia mbinu mbali mbali za kuwasawiri wahusika na kuwafanya walandane na majina yao. Mbinu hizo ni pamoja na mbinu ya majazi au majina, kimaelezi, kidrama kuwatumia wahusika wengine, ulinganuzi na usambamba na uzungumzi nafsi wa ndani. Pia, utafiti umegundua kuwa, dhamira katika riwaya teuliwa zimelandana na majina ya wahusika. Dhamira hizo ni pamoja na umasikini, wizi na ujambazi, utamaduni, dhamira ya malezi, dhamira ya ujirani, dhamira ya mapenzi, umuhimu wa elimu, nakadhalika."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Kuchunguza Dhana Zilizobebwa na Wahusika na Zinavyolandana na Majina yao: Uchunguzi katika Riwaya ya Kiu na Kiu ya Haki"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Ali, Amour Rashid"],"dc:date":["2015"],"dc:date.issued":["2015"],"dc:description.abstract":["Utafiti huu unahusu kuchunguza dhana zilizobebwa na wahusika na zinavyolandana na majina yao katika riwaya ya Kiu na Kiu ya Haki. Ili kufikia lengo, mtafiti alichunguza na kubainisha wahusika, pia alichunguza mlandano wa wahusika kupitia mbinu mbali mbali na alichambua dhamira mbali mbali zilizobebwa na wahusika hao na jinsi zinavyolandana na majina yao katika riwaya teuliwa. Utafiti huu ulitumia mbinu ya maktabani. Riwaya teuliwa ziliteuliwa kwa kutumia mbinu ya malengo maalumu. Aidha, data za utafiti huu zilikusanywa na kuchambuliwa kwa mbinu ya kimaelezo kutoka katika riwaya teuliwa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya sosholojia na nadharia ya mwitiko wa msomaji. Utafiti huu uligundua kuwa, kazi hizo teuliwa zimetumia wahusika wakuu, wahusika wasaidizi na wahusika wajenzi. Pia, utafiti umegundua kuwa, waandishi wa riwaya hizo teuliwa wametumia mbinu mbali mbali za kuwasawiri wahusika na kuwafanya walandane na majina yao. Mbinu hizo ni pamoja na mbinu ya majazi au majina, kimaelezi, kidrama kuwatumia wahusika wengine, ulinganuzi na usambamba na uzungumzi nafsi wa ndani. Pia, utafiti umegundua kuwa, dhamira katika riwaya teuliwa zimelandana na majina ya wahusika. Dhamira hizo ni pamoja na umasikini, wizi na ujambazi, utamaduni, dhamira ya malezi, dhamira ya ujirani, dhamira ya mapenzi, umuhimu wa elimu, nakadhalika."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1475/1/Tasinifu_ya_Amour_Rashid_M.A_Kiswahili.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University Of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1475/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Kuchunguza Dhana Zilizobebwa na Wahusika na Zinavyolandana na Majina yao: Uchunguzi katika Riwaya ya Kiu na Kiu ya Haki"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:37Z"}