{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1453"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1453","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti Linganishi wa Tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo","abstract":"Utafiti huu unahusu Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti linganishi wa tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kufanya tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo, kwa kulinganisha tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi (1988) na Fumo Liongo (2009), ili kubaini jinsi mtunzi huyo anavyofumbata mbinu ya mwingilianomatini katika kazi zake za fasihi, na namna mbinu hiyo inavyotumika kuibua dhamira za tamthiliya hizo. Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kwa kutumia mbinu ya uteuzi wa madhumuni maalum, wakati ambapo data zilikusanywa kwa kutumia mbinu tatu, ambazo ni mapitio ya maandiko, usaili na majadiliano ya vikundi. Uchambuzi wa data ulifanyika kwa kutumia mbinu ya uchambuzi maudhui. Aidha nadharia ya mwingilianomatini ilitumika kukusanya, kuchambua na kujadili data za utafiti huu. Matokeo ya utafiti huu yameonesha kuwa, mtunzi ameendelea kufumbata mbinu ya mwingilianomatini katika utunzi wake, pamoja na kuwa kazi hizo zina mpishano wa takribani muongo mmoja katika kutungwa kwake. Aidha, tamthiliya zote mbili ni matokeo ya athari za mapokeo simulizi ya Kiafrika, ambapo mtunzi ameathiriwa na mapokeo simulizi ya ngano za kabila la Wasukuma kama dafina ya utunzi wa tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na mapokeo simulizi ya utendi wa “Fumo Liongo” kama dafina ya utunzi wa tamthiliya ya Fumo Liongo.","abstract_html":"Utafiti huu unahusu Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti linganishi wa tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kufanya tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo, kwa kulinganisha tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi (1988) na Fumo Liongo (2009), ili kubaini jinsi mtunzi huyo anavyofumbata mbinu ya mwingilianomatini katika kazi zake za fasihi, na namna mbinu hiyo inavyotumika kuibua dhamira za tamthiliya hizo. Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kwa kutumia mbinu ya uteuzi wa madhumuni maalum, wakati ambapo data zilikusanywa kwa kutumia mbinu tatu, ambazo ni mapitio ya maandiko, usaili na majadiliano ya vikundi. Uchambuzi wa data ulifanyika kwa kutumia mbinu ya uchambuzi maudhui. Aidha nadharia ya mwingilianomatini ilitumika kukusanya, kuchambua na kujadili data za utafiti huu. Matokeo ya utafiti huu yameonesha kuwa, mtunzi ameendelea kufumbata mbinu ya mwingilianomatini katika utunzi wake, pamoja na kuwa kazi hizo zina mpishano wa takribani muongo mmoja katika kutungwa kwake. Aidha, tamthiliya zote mbili ni matokeo ya athari za mapokeo simulizi ya Kiafrika, ambapo mtunzi ameathiriwa na mapokeo simulizi ya ngano za kabila la Wasukuma kama dafina ya utunzi wa tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na mapokeo simulizi ya utendi wa “Fumo Liongo” kama dafina ya utunzi wa tamthiliya ya Fumo Liongo.","abstract_has_math":false,"creators":["Mningo,, Rehema Adam"],"institution":"The Open University Of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2015,"date_issued":"2015","date_published":"2015","updated_at":"2026-07-24T03:40:37Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Mningo,, Rehema Adam"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2015"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2015"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University Of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1453/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1453/1/REHEMA_FINAL_TASNIFU_%28MPYA%29-1_%283%29.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Utafiti huu unahusu Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti linganishi wa tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kufanya tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo, kwa kulinganisha tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi (1988) na Fumo Liongo (2009), ili kubaini jinsi mtunzi huyo anavyofumbata mbinu ya mwingilianomatini katika kazi zake za fasihi, na namna mbinu hiyo inavyotumika kuibua dhamira za tamthiliya hizo. Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kwa kutumia mbinu ya uteuzi wa madhumuni maalum, wakati ambapo data zilikusanywa kwa kutumia mbinu tatu, ambazo ni mapitio ya maandiko, usaili na majadiliano ya vikundi. Uchambuzi wa data ulifanyika kwa kutumia mbinu ya uchambuzi maudhui. Aidha nadharia ya mwingilianomatini ilitumika kukusanya, kuchambua na kujadili data za utafiti huu. Matokeo ya utafiti huu yameonesha kuwa, mtunzi ameendelea kufumbata mbinu ya mwingilianomatini katika utunzi wake, pamoja na kuwa kazi hizo zina mpishano wa takribani muongo mmoja katika kutungwa kwake. Aidha, tamthiliya zote mbili ni matokeo ya athari za mapokeo simulizi ya Kiafrika, ambapo mtunzi ameathiriwa na mapokeo simulizi ya ngano za kabila la Wasukuma kama dafina ya utunzi wa tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na mapokeo simulizi ya utendi wa “Fumo Liongo” kama dafina ya utunzi wa tamthiliya ya Fumo Liongo."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti Linganishi wa Tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Mningo,, Rehema Adam"],"dc:date":["2015"],"dc:date.issued":["2015"],"dc:description.abstract":["Utafiti huu unahusu Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti linganishi wa tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kufanya tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo, kwa kulinganisha tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi (1988) na Fumo Liongo (2009), ili kubaini jinsi mtunzi huyo anavyofumbata mbinu ya mwingilianomatini katika kazi zake za fasihi, na namna mbinu hiyo inavyotumika kuibua dhamira za tamthiliya hizo. Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kwa kutumia mbinu ya uteuzi wa madhumuni maalum, wakati ambapo data zilikusanywa kwa kutumia mbinu tatu, ambazo ni mapitio ya maandiko, usaili na majadiliano ya vikundi. Uchambuzi wa data ulifanyika kwa kutumia mbinu ya uchambuzi maudhui. Aidha nadharia ya mwingilianomatini ilitumika kukusanya, kuchambua na kujadili data za utafiti huu. Matokeo ya utafiti huu yameonesha kuwa, mtunzi ameendelea kufumbata mbinu ya mwingilianomatini katika utunzi wake, pamoja na kuwa kazi hizo zina mpishano wa takribani muongo mmoja katika kutungwa kwake. Aidha, tamthiliya zote mbili ni matokeo ya athari za mapokeo simulizi ya Kiafrika, ambapo mtunzi ameathiriwa na mapokeo simulizi ya ngano za kabila la Wasukuma kama dafina ya utunzi wa tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na mapokeo simulizi ya utendi wa “Fumo Liongo” kama dafina ya utunzi wa tamthiliya ya Fumo Liongo."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1453/1/REHEMA_FINAL_TASNIFU_%28MPYA%29-1_%283%29.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University Of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1453/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti Linganishi wa Tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:37Z"}