{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1397"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1397","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Mchango wa Mashairi ya Bi Madina Ali El-Buhriy Katika Arudhi ya Kiswahili Tanga","abstract":"Utafiti huu ulilenga kuchunguza dhamira zinazojitokeza katika mashairi ya Bi Madina Ali El-Buhriy na namna tamatali za usemi zinavyosaidia kujenga dhamira hizo. Tumefikia malengo kwa kuibua dhamira kumi na mbili na kuchambua tamathali za usemi nane. Tasinifu hii ina sura kuu sita. Katika Sura ya Kwanza kuna utangulizi wa jumla, historia fupi ya Bi Madina Ali El-Buhriy, Usuli wa mada ya utafiti, Usuli wa tatizo la utafiti, Tatizo la utafiti, Nia kuu ya utafiti, Malengo maalumu ya utafiti, Maswali ya utafiti, Umuhimu wa utafiti, Eneo la utafiti. Sura ya Pili, kuna Uhakiki wa kazi za mashairi, Utafiti uliofanyika katika ushairi na hitimishi. Kuna mikabala ya kinadharia, Maana ya Nadharia, Ufafanuzi wa Nadharia. Sura ya Tatu, kuna maelezo juu ya mbinu na njia zilizotumiwa na mtafiti katika ukusanyaji wa data na zana za utafiti, Ratiba ya mtafiti, bajeti. Katika Sura ya Nne,kuna uwasilishaji wa matokeo ya utafiti, dhamira kumi na mbili zimejadiliwa; Dhamira ya kutenda na kutendewa mema, Dhamira ya utunzaji wa Mazingira,Dhamira ya Kuhamasisha wanawake katika utunzi wa mashairi,Dhamira ya umalaya katika jamii, Dhamira ya umuhimu wa Wazazi, Dhamira ya hulka za binadamu, Dhamira ya kumbukizi, Dhamira ya matatizo ya maji katika Jiji la Dar Es Salaam, Dhamira ya Rushwa, Dhamira ya mabomu ya Mbagala, Dhamira ya ugomvi/mafarakano. Katika Sura ya Tano, kuna matumizi ya fani, kipengele kilichopewa uzito ni; lugha, tamathali za usemi zimechambuliwa kulingana na muktadha wa utunzi wa mshairi, tashibiha, taswira, stiari, nidaa, takriri, tashihisi, ritifaa, kejeli. Sura ya sita kuna maoni na mapendekezo kwa ajili ya jamii na tafiti zijazo.","abstract_html":"Utafiti huu ulilenga kuchunguza dhamira zinazojitokeza katika mashairi ya Bi Madina Ali El-Buhriy na namna tamatali za usemi zinavyosaidia kujenga dhamira hizo. Tumefikia malengo kwa kuibua dhamira kumi na mbili na kuchambua tamathali za usemi nane. Tasinifu hii ina sura kuu sita. Katika Sura ya Kwanza kuna utangulizi wa jumla, historia fupi ya Bi Madina Ali El-Buhriy, Usuli wa mada ya utafiti, Usuli wa tatizo la utafiti, Tatizo la utafiti, Nia kuu ya utafiti, Malengo maalumu ya utafiti, Maswali ya utafiti, Umuhimu wa utafiti, Eneo la utafiti. Sura ya Pili, kuna Uhakiki wa kazi za mashairi, Utafiti uliofanyika katika ushairi na hitimishi. Kuna mikabala ya kinadharia, Maana ya Nadharia, Ufafanuzi wa Nadharia. Sura ya Tatu, kuna maelezo juu ya mbinu na njia zilizotumiwa na mtafiti katika ukusanyaji wa data na zana za utafiti, Ratiba ya mtafiti, bajeti. Katika Sura ya Nne,kuna uwasilishaji wa matokeo ya utafiti, dhamira kumi na mbili zimejadiliwa; Dhamira ya kutenda na kutendewa mema, Dhamira ya utunzaji wa Mazingira,Dhamira ya Kuhamasisha wanawake katika utunzi wa mashairi,Dhamira ya umalaya katika jamii, Dhamira ya umuhimu wa Wazazi, Dhamira ya hulka za binadamu, Dhamira ya kumbukizi, Dhamira ya matatizo ya maji katika Jiji la Dar Es Salaam, Dhamira ya Rushwa, Dhamira ya mabomu ya Mbagala, Dhamira ya ugomvi/mafarakano. Katika Sura ya Tano, kuna matumizi ya fani, kipengele kilichopewa uzito ni; lugha, tamathali za usemi zimechambuliwa kulingana na muktadha wa utunzi wa mshairi, tashibiha, taswira, stiari, nidaa, takriri, tashihisi, ritifaa, kejeli. Sura ya sita kuna maoni na mapendekezo kwa ajili ya jamii na tafiti zijazo.","abstract_has_math":false,"creators":["kaguo, Joyce"],"institution":"The Open University Of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2015,"date_issued":"2015","date_published":"2015","updated_at":"2026-07-24T03:40:33Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["kaguo, Joyce"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2015"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2015"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University Of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1397/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1397/1/Joy_mwisho-_FINAL.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Utafiti huu ulilenga kuchunguza dhamira zinazojitokeza katika mashairi ya Bi Madina Ali El-Buhriy na namna tamatali za usemi zinavyosaidia kujenga dhamira hizo. Tumefikia malengo kwa kuibua dhamira kumi na mbili na kuchambua tamathali za usemi nane. Tasinifu hii ina sura kuu sita. Katika Sura ya Kwanza kuna utangulizi wa jumla, historia fupi ya Bi Madina Ali El-Buhriy, Usuli wa mada ya utafiti, Usuli wa tatizo la utafiti, Tatizo la utafiti, Nia kuu ya utafiti, Malengo maalumu ya utafiti, Maswali ya utafiti, Umuhimu wa utafiti, Eneo la utafiti. Sura ya Pili, kuna Uhakiki wa kazi za mashairi, Utafiti uliofanyika katika ushairi na hitimishi. Kuna mikabala ya kinadharia, Maana ya Nadharia, Ufafanuzi wa Nadharia. Sura ya Tatu, kuna maelezo juu ya mbinu na njia zilizotumiwa na mtafiti katika ukusanyaji wa data na zana za utafiti, Ratiba ya mtafiti, bajeti. Katika Sura ya Nne,kuna uwasilishaji wa matokeo ya utafiti, dhamira kumi na mbili zimejadiliwa; Dhamira ya kutenda na kutendewa mema, Dhamira ya utunzaji wa Mazingira,Dhamira ya Kuhamasisha wanawake katika utunzi wa mashairi,Dhamira ya umalaya katika jamii, Dhamira ya umuhimu wa Wazazi, Dhamira ya hulka za binadamu, Dhamira ya kumbukizi, Dhamira ya matatizo ya maji katika Jiji la Dar Es Salaam, Dhamira ya Rushwa, Dhamira ya mabomu ya Mbagala, Dhamira ya ugomvi/mafarakano. Katika Sura ya Tano, kuna matumizi ya fani, kipengele kilichopewa uzito ni; lugha, tamathali za usemi zimechambuliwa kulingana na muktadha wa utunzi wa mshairi, tashibiha, taswira, stiari, nidaa, takriri, tashihisi, ritifaa, kejeli. Sura ya sita kuna maoni na mapendekezo kwa ajili ya jamii na tafiti zijazo."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Mchango wa Mashairi ya Bi Madina Ali El-Buhriy Katika Arudhi ya Kiswahili Tanga"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["kaguo, Joyce"],"dc:date":["2015"],"dc:date.issued":["2015"],"dc:description.abstract":["Utafiti huu ulilenga kuchunguza dhamira zinazojitokeza katika mashairi ya Bi Madina Ali El-Buhriy na namna tamatali za usemi zinavyosaidia kujenga dhamira hizo. Tumefikia malengo kwa kuibua dhamira kumi na mbili na kuchambua tamathali za usemi nane. Tasinifu hii ina sura kuu sita. Katika Sura ya Kwanza kuna utangulizi wa jumla, historia fupi ya Bi Madina Ali El-Buhriy, Usuli wa mada ya utafiti, Usuli wa tatizo la utafiti, Tatizo la utafiti, Nia kuu ya utafiti, Malengo maalumu ya utafiti, Maswali ya utafiti, Umuhimu wa utafiti, Eneo la utafiti. Sura ya Pili, kuna Uhakiki wa kazi za mashairi, Utafiti uliofanyika katika ushairi na hitimishi. Kuna mikabala ya kinadharia, Maana ya Nadharia, Ufafanuzi wa Nadharia. Sura ya Tatu, kuna maelezo juu ya mbinu na njia zilizotumiwa na mtafiti katika ukusanyaji wa data na zana za utafiti, Ratiba ya mtafiti, bajeti. Katika Sura ya Nne,kuna uwasilishaji wa matokeo ya utafiti, dhamira kumi na mbili zimejadiliwa; Dhamira ya kutenda na kutendewa mema, Dhamira ya utunzaji wa Mazingira,Dhamira ya Kuhamasisha wanawake katika utunzi wa mashairi,Dhamira ya umalaya katika jamii, Dhamira ya umuhimu wa Wazazi, Dhamira ya hulka za binadamu, Dhamira ya kumbukizi, Dhamira ya matatizo ya maji katika Jiji la Dar Es Salaam, Dhamira ya Rushwa, Dhamira ya mabomu ya Mbagala, Dhamira ya ugomvi/mafarakano. Katika Sura ya Tano, kuna matumizi ya fani, kipengele kilichopewa uzito ni; lugha, tamathali za usemi zimechambuliwa kulingana na muktadha wa utunzi wa mshairi, tashibiha, taswira, stiari, nidaa, takriri, tashihisi, ritifaa, kejeli. Sura ya sita kuna maoni na mapendekezo kwa ajili ya jamii na tafiti zijazo."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1397/1/Joy_mwisho-_FINAL.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University Of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1397/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Mchango wa Mashairi ya Bi Madina Ali El-Buhriy Katika Arudhi ya Kiswahili Tanga"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:33Z"}