{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1318"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1318","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Kuchunguza Dhamira za Kijamii katika Tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama.","abstract":"Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama. Katika harakati za kuishughulikia mada hii utafiti ulikuwa na malengo mahususi matatu ambayo ni kuelezea dhamira za kijamii zinazojitokeza katika tamthiliya ya Hatia iliyoandikwa na Penina Mlama, kutathimini uhalisia wa dhamira za kijamii zinazojitokeza katika tamthiliya ya Hatia kwa jamii ya leo ya Watanzania na kuchambua mbinu za kisanaa zilizotumika katika kuwasilisha dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Hatia. Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa katika tamthiliya ya Hatia kunajitokeza dhamira za kijamii kama vile, kusema uongo katika jamii, penye ukweli uongo hujitenga, nafasi ya mwanamke katika jamii, umasikini katika jamii na matabaka katika jamii. Dhamira zote hizo zimeonekana kuwa na uhalisia katika maisha ya kila siku ya jamii ya Watanzania. Pamoja na dhamira hizo pia katika tamthiliya ya Hatia tumebaini matumizi ya mbinu mbalimbali za kisanaa katika kuwasilisha dhamira mbalimbali. Mbinu hizo ni pamoja na matumizi ya nyimbo, takriri, tafsida na muundo wa moja kwa moja.","abstract_html":"Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama. Katika harakati za kuishughulikia mada hii utafiti ulikuwa na malengo mahususi matatu ambayo ni kuelezea dhamira za kijamii zinazojitokeza katika tamthiliya ya Hatia iliyoandikwa na Penina Mlama, kutathimini uhalisia wa dhamira za kijamii zinazojitokeza katika tamthiliya ya Hatia kwa jamii ya leo ya Watanzania na kuchambua mbinu za kisanaa zilizotumika katika kuwasilisha dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Hatia. Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa katika tamthiliya ya Hatia kunajitokeza dhamira za kijamii kama vile, kusema uongo katika jamii, penye ukweli uongo hujitenga, nafasi ya mwanamke katika jamii, umasikini katika jamii na matabaka katika jamii. Dhamira zote hizo zimeonekana kuwa na uhalisia katika maisha ya kila siku ya jamii ya Watanzania. Pamoja na dhamira hizo pia katika tamthiliya ya Hatia tumebaini matumizi ya mbinu mbalimbali za kisanaa katika kuwasilisha dhamira mbalimbali. Mbinu hizo ni pamoja na matumizi ya nyimbo, takriri, tafsida na muundo wa moja kwa moja.","abstract_has_math":false,"creators":["Muhando, Roxana Eliamini"],"institution":"The Open University Of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2015,"date_issued":"2015","date_published":"2015","updated_at":"2026-07-24T03:40:29Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Muhando, Roxana Eliamini"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2015"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2015"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University Of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1318/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1318/1/DISSERTATION_-_MUHANDO.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama. Katika harakati za kuishughulikia mada hii utafiti ulikuwa na malengo mahususi matatu ambayo ni kuelezea dhamira za kijamii zinazojitokeza katika tamthiliya ya Hatia iliyoandikwa na Penina Mlama, kutathimini uhalisia wa dhamira za kijamii zinazojitokeza katika tamthiliya ya Hatia kwa jamii ya leo ya Watanzania na kuchambua mbinu za kisanaa zilizotumika katika kuwasilisha dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Hatia. Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa katika tamthiliya ya Hatia kunajitokeza dhamira za kijamii kama vile, kusema uongo katika jamii, penye ukweli uongo hujitenga, nafasi ya mwanamke katika jamii, umasikini katika jamii na matabaka katika jamii. Dhamira zote hizo zimeonekana kuwa na uhalisia katika maisha ya kila siku ya jamii ya Watanzania. Pamoja na dhamira hizo pia katika tamthiliya ya Hatia tumebaini matumizi ya mbinu mbalimbali za kisanaa katika kuwasilisha dhamira mbalimbali. Mbinu hizo ni pamoja na matumizi ya nyimbo, takriri, tafsida na muundo wa moja kwa moja."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Kuchunguza Dhamira za Kijamii katika Tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama."]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Muhando, Roxana Eliamini"],"dc:date":["2015"],"dc:date.issued":["2015"],"dc:description.abstract":["Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama. Katika harakati za kuishughulikia mada hii utafiti ulikuwa na malengo mahususi matatu ambayo ni kuelezea dhamira za kijamii zinazojitokeza katika tamthiliya ya Hatia iliyoandikwa na Penina Mlama, kutathimini uhalisia wa dhamira za kijamii zinazojitokeza katika tamthiliya ya Hatia kwa jamii ya leo ya Watanzania na kuchambua mbinu za kisanaa zilizotumika katika kuwasilisha dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Hatia. Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa katika tamthiliya ya Hatia kunajitokeza dhamira za kijamii kama vile, kusema uongo katika jamii, penye ukweli uongo hujitenga, nafasi ya mwanamke katika jamii, umasikini katika jamii na matabaka katika jamii. Dhamira zote hizo zimeonekana kuwa na uhalisia katika maisha ya kila siku ya jamii ya Watanzania. Pamoja na dhamira hizo pia katika tamthiliya ya Hatia tumebaini matumizi ya mbinu mbalimbali za kisanaa katika kuwasilisha dhamira mbalimbali. Mbinu hizo ni pamoja na matumizi ya nyimbo, takriri, tafsida na muundo wa moja kwa moja."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1318/1/DISSERTATION_-_MUHANDO.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University Of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1318/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Kuchunguza Dhamira za Kijamii katika Tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama."],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:29Z"}