{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1278"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1278","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Etimolojia ya Majina ya Mahali ya Kaskazini Pemba Kuwa Utambulisho wa Utamaduni wa Wapemba","abstract":"Utafiti huu ulihusu Etimolojia ya majina ya mahali. Ulichunguza etimolojia ya majina ya mahali ya Kaskazini Pemba kuwa utambulisho wa utamaduni wa Wapemba. Mtafiti aliongozwa na malengo matatu. Kwanza, kubainisha etimolojia ya majina ya mahali yanayopatikana Kaskazini Pemba; pili, kufafanua vigezo vinavyotumika kutoa majina ya mahali ya Kaskazini Pemba; na tatu, kubainisha utamaduni wa Wapemba jinsi ulivyoakisiwa na majina ya mahali ya Kaskazini Pemba. Ili kufikia lengo kuu lililokusudiwa mbinu mbali mbali za utafiti zilihusika. Mbinu hizo ni pamoja na mahojiano, hojaji pamoja na mjadala wa vikundi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia jumuishi ambayo iliakisi data za utafiti huu kutokana na maoni yaliyotolewa na watafitiwa na wanajamii kwa ujumla yaliunda data za utafiti huu. Kwa upande wa matokeo ya utafiti, mtafiti aligundua kuwa majina ya mahali yana mfungamano na jamii na utamaduni wa jamii husika. Baadhi ya majina yanaakisi moja kwa moja shughuli wanazofanya wanajamii. Pia amebaini kuwa baadhi ya majina huwa ni ya hali ya kimazingira ya maeneo hayo kama jiografia inavyoonekana. Hata hivyo kuna majina ya mahali hutokana na watu maarufu au matendo ya kihistoria yaliyofanywa na wakazi wa zamani wa maeneo hayo. Mtafiti katika kazi yake amegundua pengo ambalo linahitaji kufanyiwa kazi, uibukaji wa majina mapya yanaathiri utamaduni wa jamii. Mtafiti anapendekeza kufanyika kwa utafiti utakaoeleza sababu zinazopelekea kuibuka kwa majina mapya ya mahali. Na pia maumbo ya majina ya mahali katika kipengele cha mofolojia na fonolojia kinaweza kufanyiwa utafiti kuona jinsi majina ya mahali yalivyo na maumbo mbali mbali.","abstract_html":"Utafiti huu ulihusu Etimolojia ya majina ya mahali. Ulichunguza etimolojia ya majina ya mahali ya Kaskazini Pemba kuwa utambulisho wa utamaduni wa Wapemba. Mtafiti aliongozwa na malengo matatu. Kwanza, kubainisha etimolojia ya majina ya mahali yanayopatikana Kaskazini Pemba; pili, kufafanua vigezo vinavyotumika kutoa majina ya mahali ya Kaskazini Pemba; na tatu, kubainisha utamaduni wa Wapemba jinsi ulivyoakisiwa na majina ya mahali ya Kaskazini Pemba. Ili kufikia lengo kuu lililokusudiwa mbinu mbali mbali za utafiti zilihusika. Mbinu hizo ni pamoja na mahojiano, hojaji pamoja na mjadala wa vikundi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia jumuishi ambayo iliakisi data za utafiti huu kutokana na maoni yaliyotolewa na watafitiwa na wanajamii kwa ujumla yaliunda data za utafiti huu. Kwa upande wa matokeo ya utafiti, mtafiti aligundua kuwa majina ya mahali yana mfungamano na jamii na utamaduni wa jamii husika. Baadhi ya majina yanaakisi moja kwa moja shughuli wanazofanya wanajamii. Pia amebaini kuwa baadhi ya majina huwa ni ya hali ya kimazingira ya maeneo hayo kama jiografia inavyoonekana. Hata hivyo kuna majina ya mahali hutokana na watu maarufu au matendo ya kihistoria yaliyofanywa na wakazi wa zamani wa maeneo hayo. Mtafiti katika kazi yake amegundua pengo ambalo linahitaji kufanyiwa kazi, uibukaji wa majina mapya yanaathiri utamaduni wa jamii. Mtafiti anapendekeza kufanyika kwa utafiti utakaoeleza sababu zinazopelekea kuibuka kwa majina mapya ya mahali. Na pia maumbo ya majina ya mahali katika kipengele cha mofolojia na fonolojia kinaweza kufanyiwa utafiti kuona jinsi majina ya mahali yalivyo na maumbo mbali mbali.","abstract_has_math":false,"creators":["Zubeir, Zuwena Suleiman"],"institution":"The Open University Of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2015,"date_issued":"2015","date_published":"2015","updated_at":"2026-07-24T03:40:29Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Zubeir, Zuwena Suleiman"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2015"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2015"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University Of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1278/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1278/1/DISSERTATION_-_BI_ZUWENA_FINAL.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Utafiti huu ulihusu Etimolojia ya majina ya mahali. Ulichunguza etimolojia ya majina ya mahali ya Kaskazini Pemba kuwa utambulisho wa utamaduni wa Wapemba. Mtafiti aliongozwa na malengo matatu. Kwanza, kubainisha etimolojia ya majina ya mahali yanayopatikana Kaskazini Pemba; pili, kufafanua vigezo vinavyotumika kutoa majina ya mahali ya Kaskazini Pemba; na tatu, kubainisha utamaduni wa Wapemba jinsi ulivyoakisiwa na majina ya mahali ya Kaskazini Pemba. Ili kufikia lengo kuu lililokusudiwa mbinu mbali mbali za utafiti zilihusika. Mbinu hizo ni pamoja na mahojiano, hojaji pamoja na mjadala wa vikundi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia jumuishi ambayo iliakisi data za utafiti huu kutokana na maoni yaliyotolewa na watafitiwa na wanajamii kwa ujumla yaliunda data za utafiti huu. Kwa upande wa matokeo ya utafiti, mtafiti aligundua kuwa majina ya mahali yana mfungamano na jamii na utamaduni wa jamii husika. Baadhi ya majina yanaakisi moja kwa moja shughuli wanazofanya wanajamii. Pia amebaini kuwa baadhi ya majina huwa ni ya hali ya kimazingira ya maeneo hayo kama jiografia inavyoonekana. Hata hivyo kuna majina ya mahali hutokana na watu maarufu au matendo ya kihistoria yaliyofanywa na wakazi wa zamani wa maeneo hayo. Mtafiti katika kazi yake amegundua pengo ambalo linahitaji kufanyiwa kazi, uibukaji wa majina mapya yanaathiri utamaduni wa jamii. Mtafiti anapendekeza kufanyika kwa utafiti utakaoeleza sababu zinazopelekea kuibuka kwa majina mapya ya mahali. Na pia maumbo ya majina ya mahali katika kipengele cha mofolojia na fonolojia kinaweza kufanyiwa utafiti kuona jinsi majina ya mahali yalivyo na maumbo mbali mbali."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Etimolojia ya Majina ya Mahali ya Kaskazini Pemba Kuwa Utambulisho wa Utamaduni wa Wapemba"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Zubeir, Zuwena Suleiman"],"dc:date":["2015"],"dc:date.issued":["2015"],"dc:description.abstract":["Utafiti huu ulihusu Etimolojia ya majina ya mahali. Ulichunguza etimolojia ya majina ya mahali ya Kaskazini Pemba kuwa utambulisho wa utamaduni wa Wapemba. Mtafiti aliongozwa na malengo matatu. Kwanza, kubainisha etimolojia ya majina ya mahali yanayopatikana Kaskazini Pemba; pili, kufafanua vigezo vinavyotumika kutoa majina ya mahali ya Kaskazini Pemba; na tatu, kubainisha utamaduni wa Wapemba jinsi ulivyoakisiwa na majina ya mahali ya Kaskazini Pemba. Ili kufikia lengo kuu lililokusudiwa mbinu mbali mbali za utafiti zilihusika. Mbinu hizo ni pamoja na mahojiano, hojaji pamoja na mjadala wa vikundi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia jumuishi ambayo iliakisi data za utafiti huu kutokana na maoni yaliyotolewa na watafitiwa na wanajamii kwa ujumla yaliunda data za utafiti huu. Kwa upande wa matokeo ya utafiti, mtafiti aligundua kuwa majina ya mahali yana mfungamano na jamii na utamaduni wa jamii husika. Baadhi ya majina yanaakisi moja kwa moja shughuli wanazofanya wanajamii. Pia amebaini kuwa baadhi ya majina huwa ni ya hali ya kimazingira ya maeneo hayo kama jiografia inavyoonekana. Hata hivyo kuna majina ya mahali hutokana na watu maarufu au matendo ya kihistoria yaliyofanywa na wakazi wa zamani wa maeneo hayo. Mtafiti katika kazi yake amegundua pengo ambalo linahitaji kufanyiwa kazi, uibukaji wa majina mapya yanaathiri utamaduni wa jamii. Mtafiti anapendekeza kufanyika kwa utafiti utakaoeleza sababu zinazopelekea kuibuka kwa majina mapya ya mahali. Na pia maumbo ya majina ya mahali katika kipengele cha mofolojia na fonolojia kinaweza kufanyiwa utafiti kuona jinsi majina ya mahali yalivyo na maumbo mbali mbali."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1278/1/DISSERTATION_-_BI_ZUWENA_FINAL.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University Of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1278/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Etimolojia ya Majina ya Mahali ya Kaskazini Pemba Kuwa Utambulisho wa Utamaduni wa Wapemba"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:29Z"}