{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1275"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1275","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Kuchunguza Dhima za Nyimbo za Ngoma ya Msondo wa Pembe","abstract":"Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ya Kengeja, Mwambe na Mkungu- Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini- Pemba. Lengo kuu la utafiti huu ni kukusanya, kuchunguza na kuzianisha dhima za nyimbo za ngoma ya msondo [wa kike]. Nadharia zilizoongoza utafiti huu ni nadharia ya Uamilifu, nadharia ya Simiotiki (Uashiriji), na nadharia ya Sosholojia (Ujamii). Data zilikusanywa kutoka uwandani kwa kutumia mbinu ya usaili na mbinu ya kushirki. Aidha njia ya maktabani ilitumika kwa kusomwa tasnifu tafauti, vitabu na majarida. Matokeo ya utafiti ni dhima zilizopatikana ni dhima ya kuelimisha kwa kuonya, kufunza, na kuhimiza maadili mazuri katika maisha ya ndoa. Aidha, dhima ya kuburudisha maharusi imejitokeza katika nyimbo za ngoma ya msondo. Mafunzo ya nyimbo hizi ambayo yamejitokeza ni ustahamilivu wa shida na matatizo katika ndoa, kumuenzi na kumdhibiti mume au mke, kuwapenda na kuwathamini wakwe, kutunza usafi na kujipamba mke mbele ya mume wake, kuwacha tabia mbaya, kumuheshimu na kumtii mume. Kwa upande wa vipengele vya fani vilivyosaidia kufikisha mafunzo kwa walengwa ni lugha ya ishara, taswira, tashhisi, tauria, tashbiha, kejeli, na kadhalika kama vinavyojitokeza katika uchambuzi wa vipengele hivyo katika sura ya nne.","abstract_html":"Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ya Kengeja, Mwambe na Mkungu- Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini- Pemba. Lengo kuu la utafiti huu ni kukusanya, kuchunguza na kuzianisha dhima za nyimbo za ngoma ya msondo [wa kike]. Nadharia zilizoongoza utafiti huu ni nadharia ya Uamilifu, nadharia ya Simiotiki (Uashiriji), na nadharia ya Sosholojia (Ujamii). Data zilikusanywa kutoka uwandani kwa kutumia mbinu ya usaili na mbinu ya kushirki. Aidha njia ya maktabani ilitumika kwa kusomwa tasnifu tafauti, vitabu na majarida. Matokeo ya utafiti ni dhima zilizopatikana ni dhima ya kuelimisha kwa kuonya, kufunza, na kuhimiza maadili mazuri katika maisha ya ndoa. Aidha, dhima ya kuburudisha maharusi imejitokeza katika nyimbo za ngoma ya msondo. Mafunzo ya nyimbo hizi ambayo yamejitokeza ni ustahamilivu wa shida na matatizo katika ndoa, kumuenzi na kumdhibiti mume au mke, kuwapenda na kuwathamini wakwe, kutunza usafi na kujipamba mke mbele ya mume wake, kuwacha tabia mbaya, kumuheshimu na kumtii mume. Kwa upande wa vipengele vya fani vilivyosaidia kufikisha mafunzo kwa walengwa ni lugha ya ishara, taswira, tashhisi, tauria, tashbiha, kejeli, na kadhalika kama vinavyojitokeza katika uchambuzi wa vipengele hivyo katika sura ya nne.","abstract_has_math":false,"creators":["Mohd, Asha Rashid"],"institution":"The Open University Of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2015,"date_issued":"2015","date_published":"2015","updated_at":"2026-07-24T03:40:29Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Mohd, Asha Rashid"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2015"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2015"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University Of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1275/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1275/1/DISSERTATION_-_ASHA_FINAL_KISWAHILI_ASHA.pdf"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ya Kengeja, Mwambe na Mkungu- Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini- Pemba. Lengo kuu la utafiti huu ni kukusanya, kuchunguza na kuzianisha dhima za nyimbo za ngoma ya msondo [wa kike]. Nadharia zilizoongoza utafiti huu ni nadharia ya Uamilifu, nadharia ya Simiotiki (Uashiriji), na nadharia ya Sosholojia (Ujamii). Data zilikusanywa kutoka uwandani kwa kutumia mbinu ya usaili na mbinu ya kushirki. Aidha njia ya maktabani ilitumika kwa kusomwa tasnifu tafauti, vitabu na majarida. Matokeo ya utafiti ni dhima zilizopatikana ni dhima ya kuelimisha kwa kuonya, kufunza, na kuhimiza maadili mazuri katika maisha ya ndoa. Aidha, dhima ya kuburudisha maharusi imejitokeza katika nyimbo za ngoma ya msondo. Mafunzo ya nyimbo hizi ambayo yamejitokeza ni ustahamilivu wa shida na matatizo katika ndoa, kumuenzi na kumdhibiti mume au mke, kuwapenda na kuwathamini wakwe, kutunza usafi na kujipamba mke mbele ya mume wake, kuwacha tabia mbaya, kumuheshimu na kumtii mume. Kwa upande wa vipengele vya fani vilivyosaidia kufikisha mafunzo kwa walengwa ni lugha ya ishara, taswira, tashhisi, tauria, tashbiha, kejeli, na kadhalika kama vinavyojitokeza katika uchambuzi wa vipengele hivyo katika sura ya nne."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Kuchunguza Dhima za Nyimbo za Ngoma ya Msondo wa Pembe"]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Mohd, Asha Rashid"],"dc:date":["2015"],"dc:date.issued":["2015"],"dc:description.abstract":["Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ya Kengeja, Mwambe na Mkungu- Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini- Pemba. Lengo kuu la utafiti huu ni kukusanya, kuchunguza na kuzianisha dhima za nyimbo za ngoma ya msondo [wa kike]. Nadharia zilizoongoza utafiti huu ni nadharia ya Uamilifu, nadharia ya Simiotiki (Uashiriji), na nadharia ya Sosholojia (Ujamii). Data zilikusanywa kutoka uwandani kwa kutumia mbinu ya usaili na mbinu ya kushirki. Aidha njia ya maktabani ilitumika kwa kusomwa tasnifu tafauti, vitabu na majarida. Matokeo ya utafiti ni dhima zilizopatikana ni dhima ya kuelimisha kwa kuonya, kufunza, na kuhimiza maadili mazuri katika maisha ya ndoa. Aidha, dhima ya kuburudisha maharusi imejitokeza katika nyimbo za ngoma ya msondo. Mafunzo ya nyimbo hizi ambayo yamejitokeza ni ustahamilivu wa shida na matatizo katika ndoa, kumuenzi na kumdhibiti mume au mke, kuwapenda na kuwathamini wakwe, kutunza usafi na kujipamba mke mbele ya mume wake, kuwacha tabia mbaya, kumuheshimu na kumtii mume. Kwa upande wa vipengele vya fani vilivyosaidia kufikisha mafunzo kwa walengwa ni lugha ya ishara, taswira, tashhisi, tauria, tashbiha, kejeli, na kadhalika kama vinavyojitokeza katika uchambuzi wa vipengele hivyo katika sura ya nne."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1275/1/DISSERTATION_-_ASHA_FINAL_KISWAHILI_ASHA.pdf"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University Of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1275/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Kuchunguza Dhima za Nyimbo za Ngoma ya Msondo wa Pembe"],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:29Z"}