{"id":{"repo_id":"ou-tanzania","oai_identifier":"oai:repository.out.ac.tz:1134"},"canonical_url":"https://search.dev.ndltd.org/etd/ou-tanzania/oai:repository.out.ac.tz:1134","repository":{"repo_id":"ou-tanzania","name":"Open University of Tanzania","base_url":"http://repository.out.ac.tz/cgi/oai2"},"display":{"title":"Kuchunguza Dhamira za Kijamii na Kisiasa katika Riwaya ya Siri za Maisha.","abstract":"Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii na kisiasa katika riwaya ya Siri za Maisha. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni kuchambua dhamira za kijamii zinazojitokeza katika riwaya ya Siri za Maisha, kuchambua dhamira za kisiasa zinazojitokeza katika riwaya ya Siri za Maisha na kuelezea mbinu za kisanaa zinazowasilisha dhamira za kijamii na kisiasa katika riwaya ya Siri za Maisha. Ili kukamilisha malengo haya mahususi, data za utafiti zilikusanywa kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka na kuchambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia za Simiotiki na Saikolojia Changanuzi. Utafiti umepata matokeo yanayoonesha kuwa katika riwaya ya Siri za Maisha kuna dhamira za kijamii kama vile umasikini, ulevi na uvivu na uzembe. Dhamira za kisiasa ni ukombozi wa kifikra, usawa wa binadamu na nafasi ya mwanamke katika jamii. Mbinu za kisanaa zilizotumiwa na mwandishi kuwasilishia dhamira hizi ni mbinu za kidrama, kishairi, sitiari na misemo.","abstract_html":"Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii na kisiasa katika riwaya ya Siri za Maisha. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni kuchambua dhamira za kijamii zinazojitokeza katika riwaya ya Siri za Maisha, kuchambua dhamira za kisiasa zinazojitokeza katika riwaya ya Siri za Maisha na kuelezea mbinu za kisanaa zinazowasilisha dhamira za kijamii na kisiasa katika riwaya ya Siri za Maisha. Ili kukamilisha malengo haya mahususi, data za utafiti zilikusanywa kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka na kuchambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia za Simiotiki na Saikolojia Changanuzi. Utafiti umepata matokeo yanayoonesha kuwa katika riwaya ya Siri za Maisha kuna dhamira za kijamii kama vile umasikini, ulevi na uvivu na uzembe. Dhamira za kisiasa ni ukombozi wa kifikra, usawa wa binadamu na nafasi ya mwanamke katika jamii. Mbinu za kisanaa zilizotumiwa na mwandishi kuwasilishia dhamira hizi ni mbinu za kidrama, kishairi, sitiari na misemo.","abstract_has_math":false,"creators":["Msacky, Eva Yeronimo"],"institution":"The Open University Of Tanzania","degree_name":null,"degree_level":"masters","degree_discipline":null,"degree_department":null,"school":null,"contributors":[],"advisors":[],"committee_chairs":[],"committee_members":[],"year":2015,"date_issued":"2015","date_published":"2015","updated_at":"2026-07-24T03:40:25Z","subjects":["490 Other languages"],"languages":["en"],"rights":[],"rights_urls":[],"identifier_entries":[]},"links":{"outbound_url":null,"outbound_label":null,"outbound_source":null},"metadata_groups":[{"id":"people","label":"People","entries":[{"key":"dc:creator","label":"Author","values":["Msacky, Eva Yeronimo"]}]},{"id":"academic_context","label":"Academic Context","entries":[{"key":"dc:date","label":"Dc Date","values":["2015"]},{"key":"dc:date.issued","label":"Date","values":["2015"]},{"key":"dc:publisher.department","label":"Dc Publisher Department","values":["Linguistics and Literary studies"]},{"key":"dc:publisher.institution","label":"Dc Publisher Institution","values":["The Open University Of Tanzania"]},{"key":"dc:relation.isreferencedby","label":"Dc Relation Isreferencedby","values":["http://repository.out.ac.tz/1134/"]},{"key":"dc:type","label":"Dc Type","values":["Thesis"]},{"key":"dc:type.qualificationlevel","label":"Dc Type Qualificationlevel","values":["masters"]}]},{"id":"subjects_keywords","label":"Subjects and Keywords","entries":[{"key":"dc:subject","label":"Dc Subject","values":["490 Other languages"]}]},{"id":"language_rights","label":"Language and Rights","entries":[{"key":"dc:language","label":"Dc Language","values":["en"]}]},{"id":"identifiers","label":"Identifiers","entries":[{"key":"dc:identifier.uri","label":"Identifier URI","values":["http://repository.out.ac.tz/1134/1/TASINIFU_YA_EVA_MSACK_FINAL.doc"]}]},{"id":"additional","label":"Additional Metadata","entries":[{"key":"dc:description.abstract","label":"Abstract","values":["Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii na kisiasa katika riwaya ya Siri za Maisha. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni kuchambua dhamira za kijamii zinazojitokeza katika riwaya ya Siri za Maisha, kuchambua dhamira za kisiasa zinazojitokeza katika riwaya ya Siri za Maisha na kuelezea mbinu za kisanaa zinazowasilisha dhamira za kijamii na kisiasa katika riwaya ya Siri za Maisha. Ili kukamilisha malengo haya mahususi, data za utafiti zilikusanywa kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka na kuchambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia za Simiotiki na Saikolojia Changanuzi. Utafiti umepata matokeo yanayoonesha kuwa katika riwaya ya Siri za Maisha kuna dhamira za kijamii kama vile umasikini, ulevi na uvivu na uzembe. Dhamira za kisiasa ni ukombozi wa kifikra, usawa wa binadamu na nafasi ya mwanamke katika jamii. Mbinu za kisanaa zilizotumiwa na mwandishi kuwasilishia dhamira hizi ni mbinu za kidrama, kishairi, sitiari na misemo."]},{"key":"dc:format","label":"Dc Format","values":["application/pdf"]},{"key":"dc:title","label":"Title","values":["Kuchunguza Dhamira za Kijamii na Kisiasa katika Riwaya ya Siri za Maisha."]}]}],"canonical_facts":{"dc:creator":["Msacky, Eva Yeronimo"],"dc:date":["2015"],"dc:date.issued":["2015"],"dc:description.abstract":["Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii na kisiasa katika riwaya ya Siri za Maisha. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni kuchambua dhamira za kijamii zinazojitokeza katika riwaya ya Siri za Maisha, kuchambua dhamira za kisiasa zinazojitokeza katika riwaya ya Siri za Maisha na kuelezea mbinu za kisanaa zinazowasilisha dhamira za kijamii na kisiasa katika riwaya ya Siri za Maisha. Ili kukamilisha malengo haya mahususi, data za utafiti zilikusanywa kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka na kuchambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo na nadharia za Simiotiki na Saikolojia Changanuzi. Utafiti umepata matokeo yanayoonesha kuwa katika riwaya ya Siri za Maisha kuna dhamira za kijamii kama vile umasikini, ulevi na uvivu na uzembe. Dhamira za kisiasa ni ukombozi wa kifikra, usawa wa binadamu na nafasi ya mwanamke katika jamii. Mbinu za kisanaa zilizotumiwa na mwandishi kuwasilishia dhamira hizi ni mbinu za kidrama, kishairi, sitiari na misemo."],"dc:format":["application/pdf"],"dc:identifier.uri":["http://repository.out.ac.tz/1134/1/TASINIFU_YA_EVA_MSACK_FINAL.doc"],"dc:language":["en"],"dc:publisher.department":["Linguistics and Literary studies"],"dc:publisher.institution":["The Open University Of Tanzania"],"dc:relation.isreferencedby":["http://repository.out.ac.tz/1134/"],"dc:subject":["490 Other languages"],"dc:title":["Kuchunguza Dhamira za Kijamii na Kisiasa katika Riwaya ya Siri za Maisha."],"dc:type":["Thesis"],"dc:type.qualificationlevel":["masters"]},"updated_at":"2026-07-24T03:40:25Z"}