Global ETD Search
Search theses and dissertations gathered from participating repositories worldwide. Every result links back to the library that holds it. No account is needed.
Results
Showing 1 to 20 of 31 for “"SurA"”.
-
Zur Substratspezifität und Substratbindung des periplasmatischen Chaperons SurA aus <i>Escherichia coli</i>
… (PPIase) und Chaperon charakterisierte Protein SurA aus Escherichia coli ist an der Reifung von trimeren Porinen der äußeren Membran beteiligt. Das Protein ist aus drei Regionen aufgebaut: der N-terminalen Region, zwei aufeinander-folgenden Parvulin-ähnlichen PPIase-Domänen (PI und PII) und …
-
Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kimakunduchi katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika Shuleni Makunduchi Zanzibar
… na pia wakati wa uchambuzi. Utafiti huu una sura tano. Sura ya kwanza imefafanua usuli wa mada, tatizo la utafiti, malengo na maswali ya utafiti, umuhimu, upeo wake na pia imebainisha kiunzi cha nadharia kilichotumiwa na utafiti huu. Sura ya pili imeelezea mapitio ya maandiko ambapo mna …
-
Matatizo Wanayoyapata Wanafunzi Walibya katika Kujifunza Viambishi vya Njeo katika Lugha ya Kiswahili
… na kwa ufanisi. Maelezo haya yatafanywa katika sura tano kwa utaratibu ufuatao: Sura ya Kwanza itakuwa ni utangulizi unaoonyesha tatizo la utafiti, malengo ya utafiti, na mbinu zilizotumika katika utafiti. Sura hii pia inapitia maandishi mbalimbali hasa yale yaliyohusu viambishi vya njeo na …
-
Mchango wa Mashairi ya Bi Madina Ali El-Buhriy Katika Arudhi ya Kiswahili Tanga
… tamathali za usemi nane. Tasinifu hii ina sura kuu sita. Katika Sura ya Kwanza kuna utangulizi wa jumla, historia fupi ya Bi Madina Ali El-Buhriy, Usuli wa mada ya utafiti, Usuli wa tatizo la utafiti, Tatizo la utafiti, Nia kuu ya utafiti, Malengo maalumu ya utafiti, Maswali ya utafiti, …
-
Nomino za Kiarabu katika Ngeli za Kiswahili
… yakimofolojia. Tasnifu nzima imeundwa na sura sitae Sura ya kwanza inahusu utangulizi wa kazi nzima. Katika utangulizi, usuli wa tatizo umewekwa bayana. Dhana ya mwingiliano wa lugha imejadiliwa kwa kuhusishwa na kuingiliana kwa Kiswahili na Kiarabu, na matokeo ya kiisimu ya mwingiliano …
-
Nafasi ya hadithi Simulizi katika kufunza Maadili mema shule za sekondari, Visiwani Zanzibar.
… mtafiti ni hadithi za ngano, vigano na soga. Sura ya kwanza, inazungumzia usuli wa mada na kugusia nafasi ya hadithi simulizi katika kufunza maadili mema Shule za Sekondari Visiwani Zanzibar, lengo la utafiti, madhumuni mahsusi, maswali ya utafiti, umuhimu wa utafiti, eneo na mipaka ya …
-
Nafasi ya hadithi Simulizi katika kufunza Maadili mema shule za sekondari, Visiwani Zanzibar
… mtafiti ni hadithi za ngano, vigano na soga. Sura ya kwanza, inazungumzia usuli wa mada na kugusia nafasi ya hadithi simulizi katika kufunza maadili mema Shule za Sekondari Visiwani Zanzibar, lengo la utafiti, madhumuni mahsusi, maswali ya utafiti, umuhimu wa utafiti, eneo na mipaka ya …
-
Athari za Kiisimu za Lugha ya Kiswahili katika Lugha ya Kiyao.
… silabi zilizounda maneno husika. Utafiti huu una sura tano: Sura ya kwanza imezungumzia vipengele vya utangulizi wa utafiti kama usuli, tamko la utafiti, malengo, sababu na upeo na mipaka ya utafiti huu. Sura ya pili ni ya mapitio ya kazi tangulizi na nadharia za utafiti huu. Sura ya tatu …
-
Kutathmini nyimbo katika kukuza na kuimarisha malezi,mfano wa kabila la Wakaguru
… ya Dini ni Bangi, Tasnifu hii imeundwa na sura sita, ya kwanza inahusu utangulizi kwa ujumla, usuli wa tatizo umewekwa bayana .Dhana ya mwingiliano wa nyimbo za ngoma imejadiliwa kwa kuhusishwa na mwingiliano uliopo kati ya nyimbo za ngoma na utamaduni wa magharibi, unaovinjari Mithili ya …
-
Dhima ya Ufutuhi Katika Riwaya za Shaabani Robert
… wa lugha ya Kiswahili kwa kiwango cha juu sana. Sura ya kwanza inatoa utangulizi wa ujumla historia ya marehemu Shaaban Robert, maisha yake, familia yake, kazi na ajira zake, mbari zake kwa ujumla na kazi zake za fasihi alizofanya. Sura ya pili inaelezea mawanda yakinadharia, mkabala wakinadharia …
-
Prácticas de tratamiento utilizadas en mujeres mayores de 15 años con síntomas urinarios, UCSF Potrero Sura, Chalatenango y UCSF San Matías, La Libertad, Abril - Junio 2017
Se tiene como objetivo determinar las prácticas de tratamiento utilizadas por pacientes con sintomatología urinaria; además clasificar el grupo poblacional, según: edad, procedencia, estado civil, nivel educativo, ocupación, tipo de familia, religión, embarazo y comorbilidades; identificar los …
-
Athari za Lugha ya Kinyamwezi Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili
… Zalishi Asilia ili kuweka bayana athari hizo. Sura ya Kwanza imeshughulikia Utangulizi, Tatizo la Utafiti, Malengo ya Utafiti, Umuhimu wa Utafiti, Mawanda na Mipaka ya Utafiti na Mpango wa Utafiti.Sura ya Pili imeshughulikia Mapitio ya Kitaaluma na ya Kazi Tangulizi ambapo imeelezea …
-
Kuchunguza Mchomozo Katika Fasihi ya Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Ushairi Katika Diwani ya Ustadhi Andanenga
Lengo la utafiti huu kama lilivyobainishwa katika sura ya kwanza ilikuwa ni kuchunguza Mchomozo katikaDiwani ya Ustadh Andanenga ili kubaini vipengele vya Mchomozovilivyotumika katika kufikisha ujumbe kwa jamii. Utafiti huu ulitumia mbinu moja ya ukusanyaji data ambayo ni; maktaba.Aidha data za …
-
Athari za Kiisimu za Lahaja ya Kitumbatu katika Kiswahili Sanifu Kinachotumika katika Shule za Tumbatu Zanzibar
… hudondosha viambishi katika maneno.Mwisho, sura imehitimisha kwa kutoa mapendekezo ambayo yatasaidia wanajamii kufanya tafiti kwa za lahaja mbalimbali kwa lengo la kuweka kumbukumbu kwa vizazi vya baadaye.
-
Kuchunguza Dhima za Nyimbo za Ngoma ya Msondo wa Pembe
… katika uchambuzi wa vipengele hivyo katika sura ya nne.
-
Kuchunguza Vipengele vya fani katika Mashairi ya Kiswahili: Ulinganishi na ulinganuzi wa Mashairi ya Euphrase Kezilahabi na Haji Gora Haji
… mkabala wa kimaelezo kama inavyoonekana katika sura ya nne ya tasinifu hii. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, mashairi ya Euphrase Kezilahabi na yale ya Haji Gora Haji yanaonesha kutofautiana kwa vipengele vya kimuundo katika matumizi ya vina na mizani, kibwagizo, muundo wa tarbia katika …
-
Kuchunguza Dhima ya Mtindo katika Tamthiliya za Kihistoria: Utafiti Linganishi wa Tamthiliya za Morani na Kinjeketile,
Lengo la utafiti huu kama lilivyobainishwa katika sura ya kwanza ilikuwa ni kuchunguza dhima ya vipengele vya kimtindo katika tamthiliya za kihistoria kwa kulinganisha tamthiliya ya Morani na Kinjeketile ili kubaini vipengele vinavyowafananisha na kuwatofautisha wasanii wa vitabu hivyo katika …
-
Kombination von Substratanreicherung und Katalyse als generelles Prinzip von Faltungshelferenzymen
… des periplamatischen Faltungshelfers SurA aus E. coli in die Prolylisomerase hFKBP12 insertiert wurden. Die Insertion dieser Domänen in eine Schleife von hFKBP12 wirkt stark destabilisierend, da durch den Einbau die lokalen Kontakte der Schleife zerstört werden. Durch das Einführen …
-
Athari za lugha ya Kijita katika kujifunza Kiswahili
… Matokeo ya utafiti huu yaliwasilishwa katika sura ya nne, yanaweza kutumiwa na Taasisi ya ukuzaji mitaala kutoa mapendekezo kwa wanaojifunza Kiswahili kwa kuwashirikisha wanafunzi kimazungumzo kwa lengo la kuinua kiwango cha umilisi wa lugha.
-
Prevalence, Predictors and Healthcare Impact of Anticholinergic Medications Use in Elderly Dementia Patients
Objectives: The purpose of this study was (i) to determine the prevalence of anticholinergic drugs use in elderly dementia patients (ii) to determine predictors of anticholinergic drugs use in elderly dementia patients (iii) to assess the association between the use of drugs with anticholinergic …
Page 1 of 2