Global ETD Search

Search theses and dissertations gathered from participating repositories worldwide. Every result links back to the library that holds it. No account is needed.

Results

Showing 1 to 20 of 87 for “"Kiswahili"”.

  1. Ujidhihirishaji wa Mofu Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu

    … wa Mofu zinazowakilisha Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti linganishi wa lahaja ya Kipemba na Kiswahili sanifu. Utafiti huu ulikuwa na malengo mawili ambayo ni kulinganisha ujidhihirishaji wa mofu nafsi na njeo baina ya Kiswahili sanifu na Kipemba pamoja na kuchunguza namna mabadiliko ya …

    ou-tanzania Repository record for Ujidhihirishaji wa Mofu Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu (opens in a new tab)

  2. Tofauti za Msamaiti Baina ya Kiswahili cha Chake Chake na Kiswahili cha Micheweni katika Kisiwa cha Pemba

    … ni kuchunguza tofauti za msamiati baina ya Kiswahili kizungumzwacho Micheweni na Chake Chake katika kisiwa cha Pemba. Utafiti ulitumia data za uwandani; watoa data walikuwa; watu wazima, wanawake na wanaume wenye umri kuanzia miaka 45. Data zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya usaili na hojaji …

    ou-tanzania Repository record for Tofauti za Msamaiti Baina ya Kiswahili cha Chake Chake na Kiswahili cha Micheweni katika Kisiwa cha Pemba (opens in a new tab)

  3. Tofauti za Sentensi za Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu Zinavyokwamisha Mawasiliano Fanisi baina ya wazungumzaji wa Kiswahili

    … ya ‘Tofauti za Sentensi za Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu Zinavyokwamisha Mawasiliano Fanisi [Baina ya wazungumzaji wa Kiswahili]’. Sentensi ni kipashio cha juu cha kimuundo chenye maana kamili. Sentensi ni kipashio cha juu cha uzungumzaji katika lugha yoyote iwayo. Wazungumzaji …

    ou-tanzania Repository record for Tofauti za Sentensi za Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu Zinavyokwamisha Mawasiliano Fanisi baina ya wazungumzaji wa Kiswahili (opens in a new tab)

  4. Nomino za Kiarabu katika Ngeli za Kiswahili

    … unaohusu Nomino za Kiarabu Katika Ngeli za Kiswahili.. Nadharia iliyotumika katika kazi hii kuhusu uwasilishaji na uchanganuzi wa data ni ile inayohusu maumbo ya maneno katika lugha; yaani nadharia yakimofolojia. Tasnifu nzima imeundwa na sura sitae Sura ya kwanza inahusu utangulizi wa kazi …

    ou-tanzania Repository record for Nomino za Kiarabu katika Ngeli za Kiswahili (opens in a new tab)

  5. Computational Implementation of Underspecification Theories: Kiswahili Example

    … these competing theories. The test case of the Kiswahili phoneme set was given as an example. The computer program, PUCA (Phonological Underspecification Computationally Assisted), implemented in HyperCard 2.0 on the Macintosh computer, provides the user of the program with the opportunity to …

    uiuc Repository record for Computational Implementation of Underspecification Theories: Kiswahili Example (opens in a new tab)

  6. Athari za lugha ya Kijita katika kujifunza Kiswahili

    … Athari ya lugha ya Kijita Katika Kujifunza lugha Kiswahili Kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi, sababu za athari hizo na mbinu za kutatua athari hizo. Utafiti huu umefanywa Wilaya ya Musoma vijijini na Manispaa ya Musoma katika mkoa wa Mara. Kata mbili zilishirikishwa ambazo ni kata ya Suguti na …

    ou-tanzania Repository record for Athari za lugha ya Kijita katika kujifunza Kiswahili (opens in a new tab)

  7. Uchambuzi wa Viangama Katika Kiswahili cha Mazungumzo Unguja

    Utafiti huu unaohusu uchambuzi wa viangama katika Kiswahili cha mazungumzo lengo lake kuu ni kuchambua viangama katika Kiswahili cha mazungumzo Unguja. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya viangama ya Zwicky (1977) amechambua viangama sahili, viangama maalumu na viangama funge. Utafiti umetumia …

    ou-tanzania Repository record for Uchambuzi wa Viangama Katika Kiswahili cha Mazungumzo Unguja (opens in a new tab)

  8. Ulinganishi Changanuzi wa Mofu Njeo za Kikara na Kiswahili

    … mofu njeo za kitenzi cha Kikara na za Kiswahili ili kujua idadi yake, mazingira zinapotokea na athari ya maumbo yake inayotokana na mazingira zilimo. Utafiti huu ulifanywa katika kata za Bukiko na Nyamanga wilaya ya Ukerewe kwa kuwatumia watoa habari 45 waliosailiwa na kujibu maswali. …

    ou-tanzania Repository record for Ulinganishi Changanuzi wa Mofu Njeo za Kikara na Kiswahili (opens in a new tab)

  9. Deverbal nominals in Kiswahili: Underspecification morphology and the lexicon

    … rules required to generate five common types of Kiswahili nouns based on verbal roots and stems, as illustrated by the data below, all derived from -kata 'cut'. (UNFORMATTED TABLE OR EQUATION FOLLOWS)$$\vbox{\halign{#\hfil&&\enspace#\hfil\cr&a.&Action Nominals in -{\it o}:&{\it …

    uiuc Repository record for Deverbal nominals in Kiswahili: Underspecification morphology and the lexicon (opens in a new tab)

  10. Athari za Lugha ya Kinyamwezi Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili

    … Athari za Kinyamwezi Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili.Umetumia nadharia ya Fonolojia Zalishi Asilia ili kuweka bayana athari hizo. Sura ya Kwanza imeshughulikia Utangulizi, Tatizo la Utafiti, Malengo ya Utafiti, Umuhimu wa Utafiti, Mawanda na Mipaka ya Utafiti na Mpango wa Utafiti.Sura ya …

    ou-tanzania Repository record for Athari za Lugha ya Kinyamwezi Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili (opens in a new tab)

  11. Athari za Kiisimu za Lugha ya Kiswahili katika Lugha ya Kiyao.

    Utafiti huu umechunguza jinsi lugha ya Kiswahili inavyoiathiri kiisimu lugha ya Kiyao. Lugha hizi zinatumiwa na Wayao kwa muda mrefu. Wataalamu wengi wanakubaliana kuwa lugha zinapokutana huwa zinaathiriana. Kwa hivyo utafiti huu umechunguza athari ya Kiswahili katika Kiyao. Eneo lililohusika …

    ou-tanzania Repository record for Athari za Kiisimu za Lugha ya Kiswahili katika Lugha ya Kiyao. (opens in a new tab)

  12. Lugha ya Kiswahili katika Kufundishia na Kujifunzia Elimu Shule za Sekondari

    … huu, ilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kufundishia na kujifunzia Elimu shuleni na Vyuoni. Utafiti huu umefanywa Wilayani Mvomero.Taasisi tatu zilishirikishwa. Shule za Msingi, Shule za Sekondari, Vyuo vya elimu. Masomo mawili Kiswahili na Kiingereza yalichunguzwa. Njia …

    ou-tanzania Repository record for Lugha ya Kiswahili katika Kufundishia na Kujifunzia Elimu Shule za Sekondari (opens in a new tab)

  13. A comparison of French and Kiswahili native-speaker reactions to nonnative speech

    … linguistic families were used: French and Kiswahili. Ten contextualized and ten decontextualized speech samples were drawn from oral interviews conducted and rated by trained raters using procedures outlined by the American Council on the Teaching of Foreign Languages (ACTFL). Both French …

    uiuc Repository record for A comparison of French and Kiswahili native-speaker reactions to nonnative speech (opens in a new tab)

  14. The Englishization of Tanzanian Kiswahili: A study in language contact and convergence

    … is to examine the Englishization of Tanzanian Kiswahili resulting from the contact between Kiswahili and English. A cusory examination of the research on bilingualism and multilingualism indicates that the vast majority of studies on language variation and change in African languages have …

    uiuc Repository record for The Englishization of Tanzanian Kiswahili: A study in language contact and convergence (opens in a new tab)

  15. Matatizo Wanayoyapata Wanafunzi Walibya katika Kujifunza Viambishi vya Njeo katika Lugha ya Kiswahili

    … katika Kujifunza Viambishi vya Njeo katika Kiswahili' ni wa kwanza na wa aina yake katika ulimwengu wa lugha ya Kiswahili. Hii ni kwa sababu kwa mara ya kwanza sasa tunapata utafiti unaohusu baadhi ya matumizi yanayowakwamisha wanafunzi wengi kama vile Walibya kujifunza kurnudu lugha ya …

    ou-tanzania Repository record for Matatizo Wanayoyapata Wanafunzi Walibya katika Kujifunza Viambishi vya Njeo katika Lugha ya Kiswahili (opens in a new tab)

  16. Maana za Majina ya Watu wa Pemba Katika Lugha ya Kiswahili: Uchunguzi Kifani

    Utafiti huu ulichunguza maana za majina ya watu wa Pemba. Utafiti huu ulifanyika katika kisiwa cha Pemba mkoa wa kusini, Wilaya ya Chake-Chake. Mtafiti aliongozwa na malengo mahususi matatu. Kwanza, kubainisha maana za majina ya watu katika jamii ya Wapemba, pili kueleza mazingira yanayosababisha …

    ou-tanzania Repository record for Maana za Majina ya Watu wa Pemba Katika Lugha ya Kiswahili: Uchunguzi Kifani (opens in a new tab)

  17. Kuchunguza Sifa za Kifani za Utendi wa Kiswahili: Mfano Utendi wa Fumo Liyongo

    … kuchunguza sifa za kifani za Utendi au Utenzi wa Kiswahili. Utafiti huu ulichunguza vipengele vya fani kama vile; muundo, mtindo, wahusika, mandhari na matumizi ya lugha katika Utendi wa Kiswahili. Mfano, Utendi wa Fumo Liyongo, ili, kuona ni jinsi gani sifa za kifani zinavyojidhihirisha katika …

    ou-tanzania Repository record for Kuchunguza Sifa za Kifani za Utendi wa Kiswahili: Mfano Utendi wa Fumo Liyongo (opens in a new tab)

  18. Kuchunguza Jinsi Methali za Kiswahili Zinavyosawiri Suala la Mapenzi na Ndoa Visiwani Zanzibar

    … hamu ya kutaka kuelewa kwa namna gani methali za Kiswahili zinasawiri masuala ya mapenzi na ndoa za Wazanzibari. Utafiti huu ulifanyika katika wilaya ya mjini, Shehia ya Kiembe Samaki katika Mtaa wa Mombasa visiwani Zanzibar. Watu kadhaa walipata kuhojiwa kuhusiana na masuala ya methali, waswahili …

    ou-tanzania Repository record for Kuchunguza Jinsi Methali za Kiswahili Zinavyosawiri Suala la Mapenzi na Ndoa Visiwani Zanzibar (opens in a new tab)

  19. Narrative voice and focalization in the narration of generational conflicts in selected Kiswahili novels

    … of generational conflict. The focus is on four Kiswahili novels: Vuta n’kuvute, (Shafi, 1999) Kufa Kuzikana, (Walibora, 2003) Kipimo cha Mizani (Burhani, 2004) and Tumaini (2006). The study is motivated by the fact that little attention has been paid on the theme of generational conflict in the …

    bayreuth Repository record for Narrative voice and focalization in the narration of generational conflicts in selected Kiswahili novels (opens in a new tab)

Page 1 of 5