Back to search

The Open University of Tanzania

Kuchunguza Mchomozo Katika Fasihi ya Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Ushairi Katika Diwani ya Ustadhi Andanenga

Abstract

dc:description.abstract

Lengo la utafiti huu kama lilivyobainishwa katika sura ya kwanza ilikuwa ni kuchunguza Mchomozo katikaDiwani ya Ustadh Andanenga ili kubaini vipengele vya Mchomozovilivyotumika katika kufikisha ujumbe kwa jamii. Utafiti huu ulitumia mbinu moja ya ukusanyaji data ambayo ni; maktaba.Aidha data za utafiti huu zilichambuliwa kwa kutumia mbinu ya uchambuzi linganishi. Utafiti huu uliongozwa na Nadharia ya Karl Maks katika Uchambuzi wa Matini za Kifasihi. Utafiti umegundua kuwa, Diwani ya Ustadh Andanenga imetumia vipengele vya mchomozo ambavyo ni takriri na ukengeushi .Aidha utafiti huu umebaini kuwa, kipengele cha takriri silabi / mizani ndicho kimejitokza zaidi. Utafiti huu umebaini kuwa diwani hii iliandikwa katika cha mwaka 1990, msanii akiwataka wananchi kufanya kazi na kujitegemea ili kuepuka kutegemea misaada kwa Wazungu. Diwani inawataka watu waishi kwa kupendana , wathamini lugha ya Kiswahili kwani huo ni ukombozi wa kifikra endapo tutathamini utamaduni wetu.

Degree

thesis:*
Level dc:type.qualificationlevel
masters
Grantor dc:publisher.institution
The Open University of Tanzania
Year dc:date.issued
2017

Author and committee

dc:creator, dc:contributor.*
Author dc:creator
  • Tendwa, John Augustino

Subjects

dc:subject × 1

Rights

Language dc:language
en

Chain of custody

source
Harvested from
Open University of Tanzania
Base URL
repository.out.ac.tz/cgi/oai2
Last updated
2026-07-24
Source record
OAI-PMH GetRecord
citation

Tendwa, John Augustino. Kuchunguza Mchomozo Katika Fasihi ya Kiswahili: Utafiti Linganishi wa Ushairi Katika Diwani ya Ustadhi Andanenga. masters thesis, The Open University of Tanzania, 2017.